Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Nilishawahi kuwa na Mpimbwe. Alikuwa rafiki yangu sana na sikuwahi kuona tabia mbaya labda tu ka ego kidogo which was OK....

Ila nashangaa Wanyaki hawajatajwa mpaka dakika hii. Kulikoni? 😲😲
Sijui na wahaya nao imekuwaje mpaka sasa kimyaa, wamerogea wapi na wengine twende tupunguzwe kusemwa semwa
 
Wachaga kwao kukiwa na hela huwaga wana dharau sana wakwe hali huwa mbaya zaidi kama binti naye ana akili za kukopa maana anaskiliza vya nyumbani zaidi. Yani wakwe wanapenda mtu ambaye ana mawe kuliko wao ili wakuheshimu. Kama wana maghorofa kariakoo basi na kwenu muwe nayo hapo mtaenda sawa. Hawatakagi kuona unaoa mtoto wao ilihali maisha yako ni ya kawaida sana. Wanahisi utavuna kwao 🤣
 
Kwa upande wa wamakonde huwa mnawaonea tu kwa kutojua.

Mtu yoyote anayetoka kusini huwa anahesabika ni mmakonde.

Ila kule kuna wamwera, wayao, wamakua nk ambao ni namba chafu kuliko wamakonde
Wamakonde ni jamii bora kabisa katika jamii za kusini. Mleta Mada itakua amemaanisha wamakua au wa mwera.
 
kama mtu akiniambia nimshauri kabila la kuoa nitamshauri aoe makabila ya IRINGA niliko oa mimi na sijawahi kujutia sasa zaidi ya miaka 16.
Tatizo kanda ile wahanga wa Stieglers Gorge ni wengi pamoja na Kihansi na Kidatu. Ni mwendo wa kuungwa kwenye Grid tu ukijipindua. Hongera sana kama umepata mtu alionyooka. Wanawake wa kule ni so reliable kama tugari twa corrolla.
 
Hii ni vita ya hisia against brain. Kwa uzuri na urembo X huwa ni mtamu ila for future use Wife ndio bora zaidi japo hana mvuto kama X.😁
 
Bado watu mnajadili makabila?

Wangekuwa vipi single mothers kama wanaume wasingekimbia majukumu yako?

Ujinga bado ni janga la taifa.
Sasa wewe utakazana na majukumu ya kulea mtu ambaye sio mkeo na hana adabu. We kweli pumbunyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…