namba 02.mbili MROMBO alinishinda kwa kitu kidogo sana DHARAU ikiambatana na ujeuri,kiburi na kama majivuno/kujikuta ..ila zaidi dharau ndio iliyonifanya nishindwane naye.
Nashukuru tuliachana mapema mana stress zingenitesa kama ningemngangania.
KONGOLE KWA WAHEHE IRINGA
Iringa imenipatia super woman,wife material,mke mwema sana .Namshukuru Mungu kwa kunipatia mke mwema.Nina amani ya ndoa.
yule mrombo ile jeuri yake na dharau,pasipo huyu my wife wangu wa iringa,ungekuta na mimi pengine ningekuwa (KATAA NDOA).