Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

We kikubwa vunga tu dilli na mambo yako hayo mengine waachie wahusika wenyewe
 
Hivi ukigundua mtoto wako anafanya hivi vitendo ila haonyeshi wewe kama mzazi utaona fresh tu kwakuwa anafanya kimya?
Kufanya kimya kimya? Hata pongezi ntampa, yaan mie hata akiwa anajionesha wazi wazi ikiwa yeye ameamua na inampa amani, mbna sina tatizo kabisa.

Kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo, na faragha ya mtu hai ingiliwi.

Maisha hawapangiani eeeh? Upooo?
 
Mungu akusaidie wewe na watoto wako kama unao
 
Bro, kwani kukiwa na mashoga wewe kinachokuuma ni nini?
 
Namuuliza anaumizwa na nini? Mbona kuna mambo mengi ya kuyashughulikia tuje eti kujadili maamuzi ya mtu mwenyewe kuliwa? Je huyo shoger alikuambia hana hela ndio maana analiwa, je utampa hela au mtaji?
Bro jibu Binti Sayuni03
Hata huwazi ndugu yako angekuwa hivyo ungejisikiaje na ungechukua hatua gani, loh! Mungu akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…