Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

Jifunze kuwa sawa na viumbe wenzio,ndio msingi mkuu wa kiimani,ndio maana hata ukiingia msikitini nyote mnakaa chini kwenye mkeka,hakuna cha rais wala mlala hoi!!
Kuwa sawa? Mbona mnavaa mavazi tofauti? Mbona mnavaa viatu tofauti? Mbona mnaishi nyumba tofauti? Mbona mna vipato tofauti?

Nyumba za Ibada ni kwa ajili ya kila mtu aingiaye humo kujifungamanisha na Mungu.

Masharti ya mkae wapi, mvae nini, na mseme nini ni ya kibinadamu tu.
 
Mama ni mtu humble sana; na naamini hili ni suala la timu yake ya usalama. Pengine waliona kuna tatizo akikalia mabenchi...

Isitoshe hata kwenye Biblia sidhani kama Wafalme waliingia mahekaluni na kwenye masinagogi na kukaa pamoja na commoners. Eti Mfalme Sulemani au babake Daudi wakalie mabenchi ya hekaluni. Aaaa wapi!

IMG-20240223-WA0152.jpg
 
Masuala ya viongozi na namna wanavyoenenda siyo ya kuyajadili sana.

Unaweza kukuta ni kwa ajili ya afya yao
 
Jifunze kuwa sawa na viumbe wenzio,ndio msingi mkuu wa kiimani,ndio maana hata ukiingia msikitini nyote mnakaa chini kwenye mkeka,hakuna cha rais wala mlala hoi!!
Mimi niwe na jibu kwenye matako na nina uwezo wa kwenda na kiti changu chenye godoro wewe unanilazimisha nikakalie benchi ili nijitoneshe kwenye vidonda na jibu? Acha dhiaka ndugu.
 
Mimi niwe na jibu kwenye matako na nina uwezo wa kwenda na kiti changu chenye godoro wewe unanilazimisha nikakalie benchi ili nijitoneshe kwenye vidonda na jibu? Acha dhiaka ndugu.
Jipu tena??
 
Hayo mabenchi ya mbao yanaumiza jaman..so wanaweka kiti chenye sponji ili awe comfortable
Mbona marais wengine walikua wanaenda kukalia mabenchi? Na mbona msikitini huwa anakaa chini.
 
View attachment 2976278
View attachment 2976279
View attachment 2976280
View attachment 2976281
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais.

Hili jambo kwa ujumla linapaswa kukemewa kwa sababu liko kinyume kabisa na maadili ya kiroho.

Inapaswa ieleweke kwamba kuna maeneo huwa binadamu tunapaswa tufanane katika safu moja ili utofauti abaki nao mwenyezimungu peke yake.

Ni wazi kwamba nyumba za ibada ni nyumba za mwenyezimungu,na ni mungu pekee anaepaswa kuenziwa katika nyumba hizo.

Bila kujalisha madaraka uliyonayo,unapofika katika nyumba ya mungu ni vyema kujidunisha na kukubali kuwa sawa na viumbe wengine.

SSH ni muislam na taratibu za kiislam anazifahamu.Anataka kutwambia hata anapokwenda msikitini huenda na kiti cha ikulu kukalia??

Au anataka kusema siku akienda kuhiji Makka atakwenda na kiti cha ikulu kukalia??

Au atakataa kuvaa mavazi ya hija kwa kuwa yeye ni rais??

Nafikiri ufike wakati,binadamu tupunguze kuwakweza binadamu wenzetukwa namna ya kumkufutu mwenyezimungu.

Nafasi ya urais haipo Tanzania tu.Pichani juu ni rais wa Zambia na Rais wa Marekani wakiwa katika nyumba za ibada na wamekalia bench.Huyu wa kwetu anashindwa nini kukalia bench,kwamba utakatifu wake umezidi marais wengine ama vp??

Mungu awabariki sana!!
Kwani kwenda na kitu kuna athari gani?

Kama vipi kuwa wewe Raisi ili uende kanisani bila kiti
 
Mama ni mtu humble sana; na naamini hili ni suala la timu yake ya usalama. Pengine waliona kuna tatizo akikalia mabenchi...

Isitoshe hata kwenye Biblia sidhani kama Wafalme waliingia mahekaluni na kwenye masinagogi na kukaa pamoja na commoners. Eti Mfalme Sulemani au babake Daudi wakalie mabenchi ya hekaluni. Aaaa wapi!

View attachment 2976290
Bhageshi?
 
hilo sio kanisa ni kikundi cha PANYA ROAD
Heshimu imani za watu ...... Hata Mimi kanisa nalosali lingekuwa karibu ningeenda na kiti changu .... Nilipata ajali mngongo siwezi kukaa kwenye mambao Yale muda mrefu....
 
Kwa hao kwenda kanisani na viti vyao ni sahihi kwa sababu ya uhaba wa viti katika makanisa yao.

Hata sisi waislamu huwa tunakwenda na miswala au mabusati misikitini kukiwa na uhaba wa vifaa vya kukali.

Lakini ni kwwli hapo aliposwali mama kuna uhaba wa bench mpaka kiende kiti cha ikulu??
Rais kwenda na kitu chake kanisani,inafanya roho mtakatifu asishuke!?
 
Heshimu imani za watu ...... Hata Mimi kanisa nalosali lingekuwa karibu ningeenda na kiti changu .... Nilipata ajali mngongo siwezi kukaa kwenye mambao Yale muda mrefu....
hicho ni kikundi cha panya road. Hao wote wanaobeba viti wamepata ajali ya mgongo? Kuna shindikana nini kuchangisha mkanunua viti ambavyo comfortable? Mnatoa ujumbe gani kwa watu wa pembeni wanaowatizama? Kwamba mnashindwa kuwa ushuhuda kwa watu wapembeni? Hata viti tu mnabeba, ina maana hamna sehemu ya kuhifadhi? Au mnabeba sababu hamtaki kukaa kwenye mambao? Au wanabeba sababu wamepata ajali za migongo?

Mda mwingine unaweza kuona ni jambo la kawaida ila ni aibu kubwa. Kila siku mnachagisha pesa, mnatoka na viti majumbani kwenu, halafu unamuhubiria mtu injili njoo kwa YESU akuondolee na kukuponya matatizo yako.
Mwambie huyo mchungaji aache utoto kazi ya mungu si lele mama
 
Mimi niwe na jibu kwenye matako na nina uwezo wa kwenda na kiti changu chenye godoro wewe unanilazimisha nikakalie benchi ili nijitoneshe kwenye vidonda na jibu? Acha dhiaka ndugu.
Kwa maana hiyo kuna katatizo wanacho cha kuzuia kukalia sio
 
Mimi nahisi ni utaratibu wa kishamba ambao vyombo vya ulinzi vimeendekeza, hata swala la misafara ya raisi na mawaziri huwa naona ni ushamba tu. Unakuta wanastopisha shughuli barabarqni kwa masaa hata matatu kisa fulani anakuja.
upo sahihi!!!
 
Back
Top Bottom