Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

Heshimu imani za watu ...... Hata Mimi kanisa nalosali lingekuwa karibu ningeenda na kiti changu .... Nilipata ajali mngongo siwezi kukaa kwenye mambao Yale muda mrefu....
Kwa hiyo na yeye amekuthibitishia kwamba ana shida gani mpaka asikalie bench kanisani ila aweze kukalia busati msikitini???

Ubumunda nao ni kipaji kweli!!!
 
pia niliuliza vyote hukujibu zaidi ya kujifanya na hasira tu. Nilikuuliza wewe taarifa hizo umezipata wapi? Kama unazo basi share nasi, ukabaki unabweka tu
Uliza kwanza ikiwa wamarekani walinunua ardhi oyster bay,dai na taarifa na vielelezo
 
nili quote hapa kwenye marekani nikauliza serikali inaweza kuuza ardhi bila kuwapa taarifa wananchi, ukawa kama pilipili kichaa. sasa mm nipo hapa kujua, wewe umejuaje kama hizo hati za mauziano unazo embu share nasi hapa tujue wote
 
hicho ni kikundi cha panya road. Hao wote wanaobeba viti wamepata ajali ya mgongo? Kuna shindikana nini kuchangisha mkanunua viti ambavyo comfortable? Mnatoa ujumbe gani kwa watu wa pembeni wanaowatizama? Kwamba mnashindwa kuwa ushuhuda kwa watu wapembeni? Hata viti tu mnabeba, ina maana hamna sehemu ya kuhifadhi? Au mnabeba sababu hamtaki kukaa kwenye mambao? Au wanabeba sababu wamepata ajali za migongo?
Mda mwingine unaweza kuona ni jambo la kawaida ila ni aibu kubwa. Kila siku mnachagisha pesa, mnatoka na viti majumbani kwenu, halafu unamuhubiria mtu injili njoo kwa YESU akuondolee na kukuponya matatizo yako.
Mwambie huyo mchungaji aache utoto kazi ya mungu si lele mama

Share kwanza za marekani ambazo hazikukeri
 
mimi hakuna sehemu ambapo nimesema ardhi imeuzwa. Nilikuuliza baada ya kuona tz imeuza eneo la ostabei kwa marekani. Baadae ukasema na bagamyo nikakuuliza hiz taarifa umezipata wapi? Au ndio uhuru wenyewe unaropoka kama upo chooni tu? Mimi nipo hapa kujua si kubishana. Embu share basi hizo hati za znz kununua bagamyo na hati za marekani kununua ostabei
 
Hilo suala lina shida gani kwa taifa? Kuna sheria yoyote ya nchi iliyovunjwa? Acha ukuda.
We waza sheri tu,kwani kuna sheria nchi hii inayoamrisha mtu kuvaa nguo,baci kesho toka na hayo makengele yako uingie mtaani!!
 
mimi hakuna sehemu ambapo nimesema ardhi imeuzwa. Nilikuuliza baada ya kuona tz imeuza eneo la ostabei kwa marekani. Baadae ukasema na bagamyo nikakuuliza hiz taarifa umezipata wapi? Au ndio uhuru wenyewe unaropoka kama upo chooni tu? Mimi nipo hapa kujua si kubishana. Embu share basi hizo hati za znz kununua bagamyo na hati za marekani kununua ostabei
"5000 people ordered to vacate RAZABA area in Bagamoyo - Daily News" https://dailynews.co.tz/5000-people-ordered-to-vacate-razaba-area-in-bagamoyo/

Ulokole unakusumbua
 
aisee una kichwa kigumu sana. Embu tuonyeshe hati ya mauziano ya kuonyesha znz imenunua hilo eneo na ni mali yao. Hivi wew kwenye hiyo taarifa uliyotuma kuna sehemu wanasema znz alinunua hiyo sehemu? Au kuna sehemu inayoonyesha hati ya mauziano? Uko sawa kweli?
Unaugua akili wewe
 
Mna Rais mbaguzi na mdini sana nadhani anaendeshwa na watu nyuma yake ambao ni very immature, Kama Magufuli alikufa kwa Covid 19 ananyanyapaa makanisa kwa lipi? kama ukristo ni najisi kwake aache kwenda makanisani halazimishwi
 
Unaugua akili wewe
nilijua upo sawa kichwani kumbe EBITOKE. Eti unaenda mahakamani ulete ushahidi unaleta maneno matupu kwamba hilo ni eneo la watu wa znz! Haya basi sawa la znz embu tuonyeshe sasa uthibitishe ni eneo lao una rukaruka tu, haya hilo limekushinda tuonyeshe hati za marekani kununua ostabei?
 
Na bado!
Kuna siku mtaona anabebwa kama mkoloni alivyowatesa babu zetu...
 
Back
Top Bottom