Kuwa sawa? Mbona mnavaa mavazi tofauti? Mbona mnavaa viatu tofauti? Mbona mnaishi nyumba tofauti? Mbona mna vipato tofauti?Jifunze kuwa sawa na viumbe wenzio,ndio msingi mkuu wa kiimani,ndio maana hata ukiingia msikitini nyote mnakaa chini kwenye mkeka,hakuna cha rais wala mlala hoi!!
Afya tena??Masuala ya viongozi na namna wanavyoenenda siyo ya kuyajadili sana.
Unaweza kukuta ni kwa ajili ya afya yao
Mimi niwe na jibu kwenye matako na nina uwezo wa kwenda na kiti changu chenye godoro wewe unanilazimisha nikakalie benchi ili nijitoneshe kwenye vidonda na jibu? Acha dhiaka ndugu.Jifunze kuwa sawa na viumbe wenzio,ndio msingi mkuu wa kiimani,ndio maana hata ukiingia msikitini nyote mnakaa chini kwenye mkeka,hakuna cha rais wala mlala hoi!!
Yale mabusati kule msikitini huwa hayaumizi,mbona hapelekewi kiti kule??Hayo mabenchi ya mbao yanaumiza jaman..so wanaweka kiti chenye sponji ili awe comfortable
Jipu tena??Mimi niwe na jibu kwenye matako na nina uwezo wa kwenda na kiti changu chenye godoro wewe unanilazimisha nikakalie benchi ili nijitoneshe kwenye vidonda na jibu? Acha dhiaka ndugu.
Mbona marais wengine walikua wanaenda kukalia mabenchi? Na mbona msikitini huwa anakaa chini.Hayo mabenchi ya mbao yanaumiza jaman..so wanaweka kiti chenye sponji ili awe comfortable
Na mkeka wa zege msikitini haumuumizi?Hayo mabenchi ya mbao yanaumiza jaman..so wanaweka kiti chenye sponji ili awe comfortable
Kwani kwenda na kitu kuna athari gani?View attachment 2976278
View attachment 2976279
View attachment 2976280
View attachment 2976281
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais.
Hili jambo kwa ujumla linapaswa kukemewa kwa sababu liko kinyume kabisa na maadili ya kiroho.
Inapaswa ieleweke kwamba kuna maeneo huwa binadamu tunapaswa tufanane katika safu moja ili utofauti abaki nao mwenyezimungu peke yake.
Ni wazi kwamba nyumba za ibada ni nyumba za mwenyezimungu,na ni mungu pekee anaepaswa kuenziwa katika nyumba hizo.
Bila kujalisha madaraka uliyonayo,unapofika katika nyumba ya mungu ni vyema kujidunisha na kukubali kuwa sawa na viumbe wengine.
SSH ni muislam na taratibu za kiislam anazifahamu.Anataka kutwambia hata anapokwenda msikitini huenda na kiti cha ikulu kukalia??
Au anataka kusema siku akienda kuhiji Makka atakwenda na kiti cha ikulu kukalia??
Au atakataa kuvaa mavazi ya hija kwa kuwa yeye ni rais??
Nafikiri ufike wakati,binadamu tupunguze kuwakweza binadamu wenzetukwa namna ya kumkufutu mwenyezimungu.
Nafasi ya urais haipo Tanzania tu.Pichani juu ni rais wa Zambia na Rais wa Marekani wakiwa katika nyumba za ibada na wamekalia bench.Huyu wa kwetu anashindwa nini kukalia bench,kwamba utakatifu wake umezidi marais wengine ama vp??
Mungu awabariki sana!!
Bhageshi?Mama ni mtu humble sana; na naamini hili ni suala la timu yake ya usalama. Pengine waliona kuna tatizo akikalia mabenchi...
Isitoshe hata kwenye Biblia sidhani kama Wafalme waliingia mahekaluni na kwenye masinagogi na kukaa pamoja na commoners. Eti Mfalme Sulemani au babake Daudi wakalie mabenchi ya hekaluni. Aaaa wapi!
View attachment 2976290
Heshimu imani za watu ...... Hata Mimi kanisa nalosali lingekuwa karibu ningeenda na kiti changu .... Nilipata ajali mngongo siwezi kukaa kwenye mambao Yale muda mrefu....hilo sio kanisa ni kikundi cha PANYA ROAD
Rais kwenda na kitu chake kanisani,inafanya roho mtakatifu asishuke!?Kwa hao kwenda kanisani na viti vyao ni sahihi kwa sababu ya uhaba wa viti katika makanisa yao.
Hata sisi waislamu huwa tunakwenda na miswala au mabusati misikitini kukiwa na uhaba wa vifaa vya kukali.
Lakini ni kwwli hapo aliposwali mama kuna uhaba wa bench mpaka kiende kiti cha ikulu??
hicho ni kikundi cha panya road. Hao wote wanaobeba viti wamepata ajali ya mgongo? Kuna shindikana nini kuchangisha mkanunua viti ambavyo comfortable? Mnatoa ujumbe gani kwa watu wa pembeni wanaowatizama? Kwamba mnashindwa kuwa ushuhuda kwa watu wapembeni? Hata viti tu mnabeba, ina maana hamna sehemu ya kuhifadhi? Au mnabeba sababu hamtaki kukaa kwenye mambao? Au wanabeba sababu wamepata ajali za migongo?Heshimu imani za watu ...... Hata Mimi kanisa nalosali lingekuwa karibu ningeenda na kiti changu .... Nilipata ajali mngongo siwezi kukaa kwenye mambao Yale muda mrefu....
Msikiti na kiti wapi na wapi!?..Yale mabusati pale bakwata na msikiti wa mtoto,ukikanyaga mguu huzama yalivyo lainiYale mabusati kule msikitini huwa hayaumizi,mbona hapelekewi kiti kule??
wewe nilikuuliza kuhusu znz kununua ardhi bagamoyo hukunijibuRais kwenda na kitu chake kanisani,inafanya roho mtakatifu asishuke!?
Kwa maana hiyo kuna katatizo wanacho cha kuzuia kukalia sioMimi niwe na jibu kwenye matako na nina uwezo wa kwenda na kiti changu chenye godoro wewe unanilazimisha nikakalie benchi ili nijitoneshe kwenye vidonda na jibu? Acha dhiaka ndugu.
upo sahihi!!!Mimi nahisi ni utaratibu wa kishamba ambao vyombo vya ulinzi vimeendekeza, hata swala la misafara ya raisi na mawaziri huwa naona ni ushamba tu. Unakuta wanastopisha shughuli barabarqni kwa masaa hata matatu kisa fulani anakuja.
Kuhusu marekani kununua ardhi oyster bay ulijibu!?wewe nilikuuliza kuhusu znz kununua ardhi bagamoyo hukunijibu