Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

Heshimu imani za watu ...... Hata Mimi kanisa nalosali lingekuwa karibu ningeenda na kiti changu .... Nilipata ajali mngongo siwezi kukaa kwenye mambao Yale muda mrefu....
Kwa hiyo na yeye amekuthibitishia kwamba ana shida gani mpaka asikalie bench kanisani ila aweze kukalia busati msikitini???

Ubumunda nao ni kipaji kweli!!!
 
pia niliuliza vyote hukujibu zaidi ya kujifanya na hasira tu. Nilikuuliza wewe taarifa hizo umezipata wapi? Kama unazo basi share nasi, ukabaki unabweka tu
Uliza kwanza ikiwa wamarekani walinunua ardhi oyster bay,dai na taarifa na vielelezo
 
Uliza kwanza ikiwa wamarekani walinunua ardhi oyster bay,dai na taarifa na vielelezo
nili quote hapa kwenye marekani nikauliza serikali inaweza kuuza ardhi bila kuwapa taarifa wananchi, ukawa kama pilipili kichaa. sasa mm nipo hapa kujua, wewe umejuaje kama hizo hati za mauziano unazo embu share nasi hapa tujue wote
 
 
nili quote hapa kwenye marekani nikauliza serikali inaweza kuuza ardhi bila kuwapa taarifa wananchi, ukawa kama pilipili kichaa. sasa mm nipo hapa kujua, wewe umejuaje kama hizo hati za mauziano unazo embu share nasi hapa tujue wote
Share kwanza za marekani ambazo hazikukeri
 
Share kwanza za marekani ambazo hazikukeri
mimi hakuna sehemu ambapo nimesema ardhi imeuzwa. Nilikuuliza baada ya kuona tz imeuza eneo la ostabei kwa marekani. Baadae ukasema na bagamyo nikakuuliza hiz taarifa umezipata wapi? Au ndio uhuru wenyewe unaropoka kama upo chooni tu? Mimi nipo hapa kujua si kubishana. Embu share basi hizo hati za znz kununua bagamyo na hati za marekani kununua ostabei
 
Hilo suala lina shida gani kwa taifa? Kuna sheria yoyote ya nchi iliyovunjwa? Acha ukuda.
We waza sheri tu,kwani kuna sheria nchi hii inayoamrisha mtu kuvaa nguo,baci kesho toka na hayo makengele yako uingie mtaani!!
 
"5000 people ordered to vacate RAZABA area in Bagamoyo - Daily News" https://dailynews.co.tz/5000-people-ordered-to-vacate-razaba-area-in-bagamoyo/

Ulokole unakusumbua
 
Unaugua akili wewe
 
Mna Rais mbaguzi na mdini sana nadhani anaendeshwa na watu nyuma yake ambao ni very immature, Kama Magufuli alikufa kwa Covid 19 ananyanyapaa makanisa kwa lipi? kama ukristo ni najisi kwake aache kwenda makanisani halazimishwi
 
Unaugua akili wewe
nilijua upo sawa kichwani kumbe EBITOKE. Eti unaenda mahakamani ulete ushahidi unaleta maneno matupu kwamba hilo ni eneo la watu wa znz! Haya basi sawa la znz embu tuonyeshe sasa uthibitishe ni eneo lao una rukaruka tu, haya hilo limekushinda tuonyeshe hati za marekani kununua ostabei?
 
Na bado!
Kuna siku mtaona anabebwa kama mkoloni alivyowatesa babu zetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…