Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Bila shaka wewe muajiriwa serikali mna makasiriko mengi balaa hii kutokana na nyie kuwa ni wavivu wa kufikiriaPesa ya rushwa,ujambazi na ushirikina
haijawahi kuwa halali hata ingekuwa bilioni ngapi.
Sijawahi ona mwenye biashara halali au mwenye kazi nzuri inayomuingizia mamilioni
ya pesa anakasirikiwa au kuchukiwa. Na ukichukiwa Mungu aliyekutajirisha atakupigania.
Matajiri wengi wa kiafrika utajiri wao ni wa kimagumashi ndo maana wanakuwa na hofu
ya kuchukiwa. Wengi wanajificha kwa kuwaambia wenzao wachape kazi ndo watatoboa bila kutaja aina ya kazi za kuchapa na unazichapia wapi.Ni wafanya biashara wangapi wamefunga biashara zao baada ya kulipishwa kodi inavyostahili? kabla ya hapo msemo wa huwezi kutajirika kwa kuajiriwa ulitamaraki.
Siungi mkono huu msemo wa ukichapa kazi utakuwa na mahela mengi kwenye akaunti yako,
bali naamini ukichapa kazi unajitegemea badala ya kuwa tegemezi.
Mabilioni aliyoyataja CAG kwenye ripoti yake kwamba yamepotea,je ni kweli yameenda
hewani au yapo kwenye akaunti za watu?
Ukitaka kuitwa mzandiki uliza swali la namna hii.
Zipo
Njoo tutest show
Soma tena nilichoandika; hujakisomaUngempa idea ya kuongeza hiyo pesa ifikie hiko kiasi ingemsaidia sana kiongozi.
Hii comment imenikata kabisa. Nilitaka kuandika kitu kizuri tu.Nifanyeje ili niweze kujua siku zangu?
Kwema, Hi babies samahanini sana naombeni msaada ili niweze kujua siku zangu aisee maana hazieleweki aisee Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujua siku zangu zangu aisee kwa maana sikudhani za period au bleed nimesahau wakuu huu mwezu nimepita bila kuona damu zangu.www.jamiiforums.com
Ulifanikiwa kuzijua "siku zako"?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umeenda kumtumikia bwana wako serikali?Sasa nani kakuletea chuki humu, unawasha nini?? Fala wewe achana na sisi
Makasiriko FcYan umekaa zako magetoni kwako umeona huna cha kufanya ukaamua uje jf uandike huo utumbo ili ujifariji.
Mwenye pesa hana muda huo wa kuandika na kujisifu kua ana hela kwanza mtu yoyote anayefanya kazi kwa bidii hela haijawahi kumtosha na kuziona nyingi hata ziwe kiasi gani as long as anafanya kazi ya halali na kwa bidii.
I fcBwana mdogo tabia za humu ndani ukisema una pesa utawakera, watafadhaika na hasira zitawapanda ππ
Sema una laki tano unaomba ushauri wa biashara watatiririka maushauri kama ma waraka, mby zaidi kuna watakao sema hiyo laki tano ni pesa ya lunch dogo πππ
We achana nao Ila sema la ukweli bandiko lako ni CHAI BARIIIIDI
Kenge huyuNifanyeje ili niweze kujua siku zangu?
Kwema, Hi babies samahanini sana naombeni msaada ili niweze kujua siku zangu aisee maana hazieleweki aisee Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujua siku zangu zangu aisee kwa maana sikudhani za period au bleed nimesahau wakuu huu mwezu nimepita bila kuona damu zangu.www.jamiiforums.com
Ulifanikiwa kuzijua "siku zako"?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbwa fcKenge huyu
Nakumbuka kuna mmoja nadhani ni wewe ulimwambie mpenzi wako kuwa umeota amelumumulia Benzi akakwambia ni.kweli rudi.kalale usingizi tena ukaoendeshe hadi kijijini kwenuVijana pesa zipo aisee ila hizo pesa ili uzipate unatakiwa kufanya kazi ila kama ukiwa mchele mchele na mpenda starehe utashikishwa ukuta kwa uvivu wakuu ila ukifanya kazi kwa bidii pesa utazipata wakuu.
Firiki mimi kwa sasa nina miaka 27 tu ila kwenye akauti nina zaidi ya milioni 100 wewe mwenzangu kijana utashindwaje? As long as tokeni hapo masikani mkapige kazi hata za kutoa visiki kwwnye shamba langu nawakaribisha.
Sasa ubaya nyie vijana mnaongoza kwa unafiki,majungu,chuki na uzandiki usio na maana ila mkiachana hivyo tu mtatoboa vijana mnashinda.kutwa kijiweni kuwaongelea watu na kuwapiga majungu tu huo.ni ujinga na upuuzi mtupu aisee.
Yaani chuki, majungu na uzandiki.haikufanyi wewe pesa zangu zije kwako! Mtakalia majungu hao hao mje mfe masikini aisee! Poleni kwa umasikini na ufukara vijana wenzangu.
Nakaribisha makasiriko, majungu, chuki, uzandiki na maumivu, karibuni.
Kidukulilo,, sijui yupo wapi tu sku hzwalikuwepo akina lugano humu,alikuwa anasema milion 100 kama zako ni mchango wa harusi.
Kumzidi mama yako anayefi?rwa nyumerNilijua mtu wa maana kumbe takataka tu shit