Haya mambo yanawezekana, kama mimi nina zaidi ya 100 milioni kwenye akauti wewe unashindwa nini? Tena nina miaka 27

Haya mambo yanawezekana, kama mimi nina zaidi ya 100 milioni kwenye akauti wewe unashindwa nini? Tena nina miaka 27

Pesa ya rushwa,ujambazi na ushirikina
haijawahi kuwa halali hata ingekuwa bilioni ngapi.
Sijawahi ona mwenye biashara halali au mwenye kazi nzuri inayomuingizia mamilioni
ya pesa anakasirikiwa au kuchukiwa. Na ukichukiwa Mungu aliyekutajirisha atakupigania.

Matajiri wengi wa kiafrika utajiri wao ni wa kimagumashi ndo maana wanakuwa na hofu
ya kuchukiwa. Wengi wanajificha kwa kuwaambia wenzao wachape kazi ndo watatoboa bila kutaja aina ya kazi za kuchapa na unazichapia wapi.Ni wafanya biashara wangapi wamefunga biashara zao baada ya kulipishwa kodi inavyostahili? kabla ya hapo msemo wa huwezi kutajirika kwa kuajiriwa ulitamaraki.

Siungi mkono huu msemo wa ukichapa kazi utakuwa na mahela mengi kwenye akaunti yako,
bali naamini ukichapa kazi unajitegemea badala ya kuwa tegemezi.

Mabilioni aliyoyataja CAG kwenye ripoti yake kwamba yamepotea,je ni kweli yameenda
hewani au yapo kwenye akaunti za watu?
Ukitaka kuitwa mzandiki uliza swali la namna hii.
Bila shaka wewe muajiriwa serikali mna makasiriko mengi balaa hii kutokana na nyie kuwa ni wavivu wa kufikiria
 
Zipo
Njoo tutest show

Ulifanikiwa kuzijua "siku zako"?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bwana mdogo tabia za humu ndani ukisema una pesa utawakera, watafadhaika na hasira zitawapanda 😃😃

Sema una laki tano unaomba ushauri wa biashara watatiririka maushauri kama ma waraka, mby zaidi kuna watakao sema hiyo laki tano ni pesa ya lunch dogo 😃😃😃

We achana nao Ila sema la ukweli bandiko lako ni CHAI BARIIIIDI
 
Yan umekaa zako magetoni kwako umeona huna cha kufanya ukaamua uje jf uandike huo utumbo ili ujifariji.
Mwenye pesa hana muda huo wa kuandika na kujisifu kua ana hela kwanza mtu yoyote anayefanya kazi kwa bidii hela haijawahi kumtosha na kuziona nyingi hata ziwe kiasi gani as long as anafanya kazi ya halali na kwa bidii.
 
Ulifanikiwa kuzijua "siku zako"?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hii comment imenikata kabisa. Nilitaka kuandika kitu kizuri tu.

Haya haya mtoa mada 🤗
 
Yan umekaa zako magetoni kwako umeona huna cha kufanya ukaamua uje jf uandike huo utumbo ili ujifariji.
Mwenye pesa hana muda huo wa kuandika na kujisifu kua ana hela kwanza mtu yoyote anayefanya kazi kwa bidii hela haijawahi kumtosha na kuziona nyingi hata ziwe kiasi gani as long as anafanya kazi ya halali na kwa bidii.
Makasiriko Fc
 
Wazandik
Bwana mdogo tabia za humu ndani ukisema una pesa utawakera, watafadhaika na hasira zitawapanda 😃😃

Sema una laki tano unaomba ushauri wa biashara watatiririka maushauri kama ma waraka, mby zaidi kuna watakao sema hiyo laki tano ni pesa ya lunch dogo 😃😃😃

We achana nao Ila sema la ukweli bandiko lako ni CHAI BARIIIIDI
I fc
 
Ulifanikiwa kuzijua "siku zako"?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kenge huyu
 
Ni kweli hyo 100m inawezekana. Lakini bado sio hela ya kujiona tiyari umetoboa. Real estate ni biashara nzuri sema vijana tunapenda vya haraka ndo tatzo. Real estate haitakuacha mtupu
 
Vijana pesa zipo aisee ila hizo pesa ili uzipate unatakiwa kufanya kazi ila kama ukiwa mchele mchele na mpenda starehe utashikishwa ukuta kwa uvivu wakuu ila ukifanya kazi kwa bidii pesa utazipata wakuu.

Firiki mimi kwa sasa nina miaka 27 tu ila kwenye akauti nina zaidi ya milioni 100 wewe mwenzangu kijana utashindwaje? As long as tokeni hapo masikani mkapige kazi hata za kutoa visiki kwwnye shamba langu nawakaribisha.

Sasa ubaya nyie vijana mnaongoza kwa unafiki,majungu,chuki na uzandiki usio na maana ila mkiachana hivyo tu mtatoboa vijana mnashinda.kutwa kijiweni kuwaongelea watu na kuwapiga majungu tu huo.ni ujinga na upuuzi mtupu aisee.

Yaani chuki, majungu na uzandiki.haikufanyi wewe pesa zangu zije kwako! Mtakalia majungu hao hao mje mfe masikini aisee! Poleni kwa umasikini na ufukara vijana wenzangu.

Nakaribisha makasiriko, majungu, chuki, uzandiki na maumivu, karibuni.
Nakumbuka kuna mmoja nadhani ni wewe ulimwambie mpenzi wako kuwa umeota amelumumulia Benzi akakwambia ni.kweli rudi.kalale usingizi tena ukaoendeshe hadi kijijini kwenu

Hizo milioni 100 ulizoota umeweka kwenye akaunti sasa rudi tena kalela kazitoe kwenye akaunti ukiwa usingizini ukaote unazitumia London,new York nk na sisi humu.jamii Forums uote tunakuonea wivu unapotumia pesa zako ndotoni

Kataa bangi haifai ona sasa ulichoota baada ya kupuliza bangi
 
Back
Top Bottom