Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu


Hii haiwezi kuwa sababu ya kuoa, u can connect very well na jamii ikakujali na kukuangalia hata kama una mke.
 
Kuna mdada kafariki last week, alifia ndani majirani walijua baada ya kuanza kuhisi harufu ndani.
Maisha ya upweke ni mazuri lakini pia si mazuri

Sasa alipokufa, ni gharama kwake au kwa majirano, he is gone and may be happy huko mahali. Nyie ndo mwapambana na harufu za mwili.
 
Sasa alipokufa, ni gharama kwake au kwa majirano, he is gone and may be happy huko mahali. Nyie ndo mwapambana na harufu za mwili.
Angekua karibu na mtu inawezekana angepata msaada kunusuru maisha yake
 
Angekua karibu na mtu inawezekana angepata msaada kunusuru maisha yake

Sidhani, mie navyoishi mwenyewe maisha yangu ndo mepesi kuliko chochote, kama nipo likizo, utasema nimesafiri, hata fron door sifungui, utaona mpakaa sisimizi wameanza tengeneza utanado mlangoni, na nikisha pita jikoni, nipo chumbani tu.
 

Sioni kama ndoa ni suluhisho ila put God first
 
we always have one confidant who cares for us, kokote niliko lazima atajua na atanicheck after some period of time
 
You gonna die one day ,am gonna die so issue sio kuoa wapo walio kwenye ndoa wameuana so let wait Kila mtu na kifo chake either kwenye corner or where njia sahihi naona hujapata mtu wakumshirikisha na kushea nae ya moyoni Kuna marafiki waaminifu wapo .... Kupata wakuteta nae ni tiba tosha
 
Ishara ya uchoyo.
 
Hii hali mimi inanitesa, yani naweza pitisha siku mbili hata jua sijaliona, mimi ni ndani tu.
 
Aiseee msitutishe basi daah kwaiyo sisi tunaojifungia wiki hatutoki itakuwaje sasa daaah [emoji17][emoji58]
Siyo kweli, kuna uwezekano mkubwa wa kuepuka kifo.

Siku moja niliumwa. Mwanzo niliuona. Dakika chache baadaye nilizima network. Nilikuja kujitambua saa 4 baadaye. Watu wamejaa wamenizunguka.

Niliwashukuru na kuwaomba wakaendelee na majukumu yao. Niliwaomba watu wawili nibaki nao. Niliwauliza what happened?

Kuna jamaa alikuja kwa shida zake nyumbani kwangu. Piga hodi hakuna jibu. Aliingia sebuleni, hakuna mtu. Kwa kuwa mlango wa sebleni na chumbani ilikuwa wazi, akaamua achungulie chumbani akidhani kuna wizi jmefanyika. Alinikuta nimezima. Aliita watu wakanipa huduma ya kwanza ndo kupata fahamu.

Je bila msaada ule nini kingetokea?
 
Being social nacho ni kipaji kama vipaji tu vingine... na kuwa LONELY, haimaanishi huzuni......
Ni kweli, kunatofauti pia ya mawazo/Stress na msongo/Depression
 
Hata Mimi muda mwingi napenda kuchangamana na watu,
👉 ila wakati mwingi napenda kuwa mwenyewe🤒
👉Sipendi hata kupigiwa kelele ziwe za sauti ya watu au muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…