Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Mwili wake uligunduliwa miaka minne baadae. Alifia kwenye kitanda chake mwaka 2018. NIGERIA ..

Alikuwa Engineer alipata shida na wife wake wakatengana. Wife alikuwa akiishi port harcout...mwamba akaenda ishi Oyo state. Akajenga nyumba yake huko Oyo akiindelea na kazi .. hakua mtu wa kujichanganya kabisa...kama ulivyosema, a loner.

Walipata mtoto mmoja na mke wake, binti ila alienda marekani.. so mzee akawa detached completely na familia yake. Hakuwa na story na majirani ..wala kazini zaidi ya fundi aliyekuwa akimjengea nyumba.

Alikuwa na pressure maana vilikutwa vidonge pembeni.. so katoka ktk mishe zake siku moja kapumzika... Labda alipata stroke.. akaenda moja kwa moja..
Mwaka wa kwanza ukapita...wa pili...wa tatu..wa nne..

Majirani wakashangaa mbona hii nyumba inazidi kuwa msitu... Serikali ya mtaa wakajipanga wafuatilie kulikoni... Walipoanza safisa eneo wakakuta gari nayo ishaanza pigwa kutu... Kwa mbali wakagundua mlango uko wazi... Kwenda kusukuma dirisha ndo wakamuona mzee kalala ka hivyo..
Sad story.
So wakaanza kutafuta ndugu na nini...mambo kibao. Familia ilipatikana baadae after a police struggle..

So kama unavyosema, u loner ukizidi ni ishu.. we have to check on each other.. walau hata kama ni ugenini tafuta mshikaji mmoja tu wa kuwa close.. just in case.
Binafsi sijaona cha kuogopesha kwenye hii stori bado. Mwamba keshajifia zake, mwili uzikwe usizikwe tayari hayupo!

Kwamba nijichanganye na watu ili nikifa wajue kuwa nimekufa? Then what?
 
Nashindwa kuelewa hawa wanaosema tujichanganye na watu eti; ili tu tukifa tupate wa kutuzika..

Sasa najiuliza nizikwe ama nisizikwe mimi inanihusu nini tena? Maana hamna ninachoweza kubadilisha. Au nimekufa watu hawajui, bado kuna shida gani? Si mwili utajiozea tu?
Wewe ni binaadamu na si mnyama. Ndio maana huitwi mzoga. Thamini thamani ya mwili wako ukiwa hai au mfu. Ndio maana hakuna jalala la marehemu
 
Wewe ni binaadamu na si mnyama. Ndio maana huitwi mzoga. Thamini thamani ya mwili wako ukiwa hai au mfu. Ndio maana hakuna jalala la marehemu
Mkuu,

Nithamini kitu ambacho siwezi ku control? How? Why? Then?
 
Back
Top Bottom