Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Naona watu wanatafsiri upweke kama ile hali ya kuishi peke yako au kivyako vyako.

Sikia...unaweza ukawa unaishi peke yako bila watu wa karibu na usiwe mpweke.
Na unaweza kuishi na kundi la watu/ ndugu/ marafiki na ukawa mpweke.
 
Hii ni Mimi kabisa , nikiwaga gheto kutoka ni jioni au nisitoke kabisa .Kazi nafanyia ndani , Kuna jirani alijaribu kumizoea tukaingia kwa mahusiano mwisho wa siku hatukujua mahusiano yanahusu nini maana nilikua najilazimisha tu
 
Mmezungumza lkn hao wote mlio wazungumzia na yaliyo wakuta, ukichunguza behind za scene kinacho wavuruga ni kuumizwa na wapenzi wao. Kuna wengine wakitendwa hata akili zao hubadilika kabisa na hata kubadilisha system ya maisha yao (kuna watu wanapenda vibaya hasa Introvert wanaongozwa kuumizwa na mapenzi).

Ndio maana siju hizi ukitaka kuishi kwa amani,akilini mwako weka lolote linaweza kutokea so akilini mwako juwa kuchapiwa au kuachwa na mpenzi wako ni kitu cha kawaida utaishi kwa amani sana.

Nina rafiki yangu yeye sio introvert ni muongeaji sana,ila aliachwa na demu wake alivyo enda kusoma.Jamaa alibadilika sana akawa hana time na mtu, kwenye group shule kajitoa, sio mtu wa kujichanganya kama zamani ikabaki yeye na maisha yake mpaka sasa sijui yupo wapi na anafanya nini.
 
Marrying just because you are lonely is not the right reason to marry
You will still be lonely even if you live with a crowd
You dont need anyone to erase your loneliness
You need you. Look inside you and you will find peace
 
Ukweli ni kwamba uwe introvert au xtrovert utakufa tu!!!!

Uwe unaishi pekeako au uishi na mke/mume still ukifa utaoza tu

nothing exceptional,,, yaan uishi na mtu eti kisa atoe taarifa siku ukifa,, vp yeye ndo akatangulia kufa??? Vp ukifa yy akiwa kasafiri??????
Umeongea point sana
 
Somebody's Love / Passenger

Oh when the winds they blow
You're gonna need somebody to know you
You're gonna need somebody's love to fall into

Oh when the leaves they fall
You're gonna need somebody to call you
You're gonna need somebody's arms to crawl into
To crawl into
Go and get yourself lost
Like you always do
Sail into the blue
With nobody next to you
Oh but when you wanna get yourself found
There may be no one around
You sink without a sound
You know it's true

Oh when the winds they blow
You're gonna need somebody to know you
You're gonna need somebody's love to fall into
Oh when the leaves they fall
You're gonna need somebody to call you
You're gonna need somebody's arms to crawl into.
 
Mmezungumza lkn hao wote mlio wazungumzia na yaliyo wakuta, ukichunguza behind za scene kinacho wavuruga ni kuumizwa na wapenzi wao. Kuna wengine wakitendwa hata akili zao hubadilika kabisa na hata kubadilisha system ya maisha yao (kuna watu wanapenda vibaya hasa Introvert wanaongozwa kuumizwa na mapenzi).

Ndio maana siju hizi ukitaka kuishi kwa amani,akilini mwako weka lolote linaweza kutokea so akilini mwako juwa kuchapiwa au kuachwa na mpenzi wako ni kitu cha kawaida utaishi kwa amani sana.

Nina rafiki yangu yeye sio introvert ni muongeaji sana,ila aliachwa na demu wake alivyo enda kusoma.Jamaa alibadilika sana akawa hana time na mtu, kwenye group shule kajitoa, sio mtu wa kujichanganya kama zamani ikabaki yeye na maisha yake mpaka sasa sijui yupo wapi na anafanya nini.
Kwamba wamekufa ajili ya kuumizwa na mapenzi? Mimi siamini kwamba naweza kulia au kuumwa kisa nimeachwa na mpenzi sembuse kufa.
 
Behind the scenes ya hao wote waliovuta inaijua au unacinclude ni upweke/Introvert?

Mapenzi yanaweza kubadilisha state na behaviour ya mtu.

Kwa ww ni mtizamo wako na moyo wako ila wapo watu hubadilika kabisa baada ya kutendwa.
 
Siwezi kukukatalia wala kukubalia. Yote yanawawezekana.
Ila I can't imagine myself kulia kisa mwanamke
 
Marrying just because you are lonely is not the right reason to marry
You will still be lonely even if you live with a crowd
You dont need anyone to erase your loneliness
You need you. Look inside you and you will find peace
Confidence is not something you have... It's something you create
 
Back
Top Bottom