Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Kwani ukifa ndani kuna shida gani? Hata ukifia Ikulu hakuna kinachobadilika, Je wale wanaokufa katika ajali za maji na hawaonekani?
 
Kuwa introvert sometimes ni shida sana,Mimi nipo hivyo ni introvert na hali hiyo ilinitesa sana wakati nipo shule na chuo,kuna mazingira yalinilazimu tu nichangamke japo nilishindwa kabisa.Huwa napenda kukaa ndani sana,nikitoka basi jua limeshazama na huwa sichelewi kurudi.Upande wa mahusiano kiukweli nilipitia break up ambayo ilinitesa sana huko nyuma kiasi kwamba moyo umekua mzito hata kuwa na mazoea na wanawake,huwa tunapiga stori lakini ule ukaribu wa kuwa close ndio sina.Pamoja na yote hii hali ya kuwa introvert imenisaidia kusave sana pesa na kufanyia vitu vya kimaendeleo na kujipanga zaidi kimaisha.Na sikuhizi najitahidi kusoma baadhi ya vitabu pdf kuhusu mambo mbalimbali ambayo mwanzoni sikuyajua,love,saikolojia nk,nahisi inanilazimu kuwa na mtu ila introvert linapokuja suala la kuchagua wapenzi au marafiki wa kuwa nao ni mtihani sana,mara nyingi tunapenda kuwa na watu ambao angalau wanafanana na sisi ila hatuwapati na mbaya zaidi watu wengi huwa wanachukulia introvets ni udhaifu wa mtu,looser,ndio maana hata mnapokuwa ktk group flani watu huwa wanatuignore zaidi introvert.Nipo na 28 yrs inanilazimu sasa kujichanganya tu kutafuta patner [emoji38]
 
Mi bora niishi na yeyote kuliko peke yangu.
Kuna wakati unashikwa hata simu washindwa ifata uwataarifu watu wakusaidie.

Utoto unawasumbua wengi
 
I hope y'all are doing just fine, and so Do I.

Straight kwenye mada...
#1:
4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa akiugua ugua ila alitoa taarifa kwenye uongozi wake wa Choir, back then nami nilipenda kushiriki shiriki masuala ya kanisani. Ndipo nilipomjulia huyu mtu japo tulikua maeneo tofauti but... kulikua na taratibu zilizowekwa na makasisi kwamba kila mwisho wa mwezi wahudumu wa kutoka Vigango mbalimbali katika parokia yetu wanakutana.

So that Guy....alikua mgonjwa mgonjwa but he was a loner and eligible bachelor. Alifariki akiwa chumbani kwake aligundulika after 3 days. So Sad![emoji45][emoji22]

#2:
Wiki hii kuna mtu nilienda kumtembelea eneo xxxxx nyumba ya 5 kutoka tulipokua tukasikia kelele watu wanalia na kupiga ukunga. Ikabidi tuende kufaham tatizo ni nini....O my G it was a scarest thing you'll ever see. tulikuta mtu kafariki kajifungia ndani. Alijilaza tu akapitiliza siku 4 haijagundulika kashavimba hata kumuinua haiwezekani.

Naye pia inasemekana alikua anatabia ya upweke upweke. May The almighty rest his/her poor soul[emoji45]
___
See, I also have this inclination and demeanour of being loner and Unsocial.
I don't like to be noticed and cared, I just like to be nobody and always to be the guy in the Corner that no one knows. When someone would ask who that guy(me) and others will answer... That's just a guy in the Corner.

Sipendi Kusema nimeenda wapi, sipendi kuulizwa upo wapi, sipendi kuulizwa vipi haliyo unaendeleaje, Sipendi Kuambiwa Pole. Sipendi kuambiwa All gonna be alright, sipendi kuambiwa I miss you, Sipendi kuambiwa So and So Napenda niwe mimi tu Just me[emoji3526][emoji847]

But hayo matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu hizi. I think I neef to recalibrate my Behavior.
Wito.
Mnaokataa ndoa angalieni yasiwakute hayo matukio unaumwa getho huna hata wa kumtuma Paracetamol pharmacy unakufa ukiwa unajiona. Mwenye ubongo na ajitafakari!

View attachment 2529893
So sad [emoji20], lakini kukaa peke yako kuna vibe ambayo haielezeki . Mm binafsi sipendi kujichachanganya na watu, hata wakija washkaji kunitembelea huwa natamani mda uende waondoke . Sijui kama n tatizo lakini huwa napenda sana kua mwenyewe
 
Kweny maisha lazima uwe na mtu ambae asipoona simu yako siku hyo au ww usipoona yake unahisi kupungukiwa.
Sio lazima awe ni mchumba ako, Mtu huyo anaweza kua yyte yule ambae anajali, anaupendo, kuna baadhi ya vitu mnafanana na kuheshimiana.
Kazi ya kutafuta mtu wa namna hyo si ngum kwa sabb watu wa namna hyo tunao kila siku kweny maisha yetu ni swala la kutambua tu.

Binadamu tukipendana, tukashirikiana, tukashirikishana matatizo yetu na kufarijiana kutapunguza vifo vya namna hyo.
Kifo ni kifo tuu mkuu, ikitimia hayo yote hayana umuhim.
 
Huu uzi unafundisha sana, niliwai kusoma makala moja kutoka ulaya uko, kuna dada alikuja kugundulika kama kafa baada ya miaka miwili polisi walikuta mifupa ndani sababu ndio iyo iyo ya kujifungia ndani kuishi maisha ya umimi. Bila shaka wale wabinafsi uzi huu utawafundisha kitu
 
Mi pia ni introvert... and i hate it. Tatizo kubwa kabisa tulilonalo sisi ma introvert ni kwamba hatuna ile art of interaction. Tunapenda kukaa pekee. Mtu kama unakosa art of interaction hata connection hupati. Maisha sikuhizi yanahitaji connection, kazi, biashara mishe mbali mbali ya kimaisha inahitaji watu. But us we choose to be alone. Nimeanza kujifunza art of interaction taratibu lakin naona nashindwa. Ila tukiwa nyuma ya keybord tunamaneno mengi hatari😅
Akina Da'Vinci hao....ukiwaona jf wanaandika magazeti utajua waongewji. Yaani mazungumzo namtu lazima aboreke tu maana lete Habari, sawa haina shida zinakua nyingi sana😟
 
Kikubwa uwe na watu mnaojuliana hali time after time, mimi hii hali kuna muda inanitokea najikuta naenda kazini nikitoka ni kujifungia mpk siku ya pili na sometimes mood inanituma nisiende job siku ya pili nazima tu simu au naweka kindege nalala sema kuna wanangu wa job wakiona hivyo lazima wafike home kunikurupusha

Sent from my OPPO F1S using JamiiForums mobile app
 
A
Kuogopa kifo ni ujinga kwanza hapa Duniani Kuna kitu gani Cha maana Hadi utamani kuishi miaka mingi?
Dunia iliyojaa wapumbavu wanaouza utu wao kwa pesa !?
Mimi nawachukia Binadamu hasa wanawake kwa 99% yaani Mimi gheto langu siwezi ruhusu wanawake watie mguu hiyo ni tangu na barehe Hadi leo I hate women

Pia Mimi ni introvert sipendi marafiki Kabisa hata iweje kukaa na Watu kujichanganya sipendi I'm enjoying my own company.
Aisee Mkuu kama upo Dom Town em tuwe marafiki maan naona una Slogan kam zangu kabisa
 
Kuna uzi mmoja upo humu nilishawahi kuwaonya maintrovert kuhusu kujitenga sana

Sasa hivi kila mtu introvert Aaaaagh !

Alafu imekuwa ni Kama sifa
 
Kuna uzi mmoja upo humu nilishawahi kuwaonya maintrovert kuhusu kujitenga sana

Sasa hivi kila mtu introvert Aaaaagh !

Alafu imekuwa ni Kama sifa
Sometimes hua nashawishika kuamini kwamba wengi walio katika huu mtandao ni introvert. Ndio maana sio wote wanaweza kuendana na mtandao huu. Since it's anonymous Platform mtu anaweza kujifanyia maujinga yake bila kujulikana. Hapo ndio utakuta watu wanaigiza kua waongeaji sana ila kiuhalisia sio waongeaji. Okopa sana wanaojifanya wakimya humu ndio hua waongeaji saaaana
 
Back
Top Bottom