wakataa ndoa watakuja kupinga kwa hoja, hii pia ilitokea mtaa ninaoishi kuna mbaba wa makamo kama 45 ivi, yuko zake bachelor amerudi kula ghambe akarudi nyumban kwake akalala mazima,
ni mkali nyumban kwake hafikagi mtu yeyote, na hana ata ndugu anayemtembeleaga, alifia ndani kwa siku 21 yaan wiki tatu, ikajulikana baadae kabisa ameshaoza amebaki fuvu tu, nyama zilibaki kwenye miguu pekee. ata finye wenyewe hatukuwaona tena maana aliteketea kabisa mifupa tu within 21 days.
hakuna mtu aliyewajua nduguze, hakuwa na ukaribu na majiran.