Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mle mle.Mi pia ni introvert... and i hate it. Tatizo kubwa kabisa tulilonalo sisi ma introvert ni kwamba hatuna ile art of interaction. Tunapenda kukaa pekee. Mtu kama unakosa art of interaction hata connection hupati. Maisha sikuhizi yanahitaji connection, kazi, biashara mishe mbali mbali ya kimaisha inahitaji watu. But us we choose to be alone. Nimeanza kujifunza art of interaction taratibu lakin naona nashindwa. Ila tukiwa nyuma ya keybord tunamaneno mengi hatari[emoji28]
Jirekebishe maisha hayo mabaya sana,Huyu ni mimi mtupu nafurahia sana maisha niliyonayo.
Ndugu wameshasema wee, wapenzi wamesema weee ila ndo hivyo tena najiona mimi yaani sijui km nitabadili haya maisha.
Kwa ni angegundulika baada ya sekunde 0.1 wangemfufua?Jirekebishe maisha hayo mabaya sana,
Jamaa yangu alikufa wiki aligundulika kwa harufu tu na Nzi madirishani..
Nakazia.Naciki
Nafikiri kuoa hakutatui ilo tatizo, mimi nimeoa, ila tabia za mke ndo zanifanya nitake kabisa kabisa kukaa mbali na yeye, ingawa hatujaachana, na pia zinafanya nikwepe ndugu zangu sababu akinikosa anaenda wasumbua.
Oa sababu umepata mtu na una mami katika familia, hizi mambo nyingine ni useless kabisa ukiziweka kama ssababu ya kuona.
Nakazia.Don't be afraid of minor things; death is reality and the ultimate end of all things is death and it can happen anywhere and anytime; having someone doesn't mean you won't die. Enjoy your life.
I won't buy that fear by the way its not even a fear its just imagination of what happen to them but its not necessary it will happen to you, kila mtu na destination yake na ni bora kujifia chumbani pekee yako bila maumivu kuliko kufa kwa maumivu uliyosababishiwa na toto la watu mlokutana ukubwani tena lamini, iko hivi..
Mi ni introvert niliyewahi kuishi na mwanamke na nimezaa nae mtoto mmoja, sijawahi kuwa na furaha kuishi naye vitimbwi, drama (99.9% ya wanawake wa na hizi vitu), nilijutia kwa nini nilifanya uamuzi wa kumkaribisha ndani, niliponea chupchup kumtia ndoige ya lala salama kwa maudhi yake nkatumia busara akapita hivi.
Since then Im happy alone and I enjoy life to the fullest, itanichukua miaka mingi sana kuishi na mwenza unless nikutane na spiritual minded like me.
Kitu nilichogundua kuhusu kuwa loner ni kwamba
"being alone has a POWER that only few people can ha
Unaona unaona.....! Me growing up sikuwa napenda kuongea na simu, Mtu akinipigia naona ni kero na ananitesa, Siku zinaenda, unakua.... unasogea... unafika kazini ambapo kila kitu ni cha lazima: kuzungumza mbele ya watu, kuongea na huyu na yule etc, kupigiwa simu ni lazima. Nafanyaje? Ikanitesa na kunisuffocate sana.Pressure inapanda na kushuka kisa kuniambia hivyo☺️
Jamaniii🤗🤗
🤣🤣🤣🤣 nani kakufundisha???Nakhuenjile mokhema🤗
Akiwa nazo babako inatosha.Huna akili
Mungu fundi sana kaipangilia nature/Mazingira na Roho/Soul/Subconscious mind zetu zifanye kazi kwa namna ya upekee sana. Kuna mtu anaweza kuja maishani mwako kwa ajili ya kukusaidia kitu fulani tu yaani hata ufanyeje haondoki. Na siku kitu hicho kikikamilika utaona tu mmepotezana.Unaona unaona.....! Me growing up sikuwa napenda kuongea na simu, Mtu akinipigia naona ni kero na ananitesa, Siku zinaenda, unakua.... unasogea... unafika kazini ambapo kila kitu ni cha lazima: kuzungumza mbele ya watu, kuongea na huyu na yule etc, kupigiwa simu ni lazima. Nafanyaje? Ikanitesa na kunisuffocate sana.
Hapa katikati marafiki wakapita wengine wakabaki for the sake of it!
Akaja kwenye maisha yangu rafiki yangu mmoja wa kike, akagundua tatizo langu na akaamua kunikomesha nalo... She will just call anytime, everyday. She will call video call at anytime she feels, i used to dodge her sometimes wala hakupunguza, yaani atapiga na atapiga tena na wala hajisikii vibaya usipopokea. Atapiga video call usiku atasema nilitaka tu nijue umelala au umetoka, ikawa hivyo hadi nikazoea aisee, sidodge calls zake siku hizi, atleast now anaweza kaa siku nzima hajapiga, imefika muda asipopiga nampigia mie mwenyewe!
Hua tungombana na mama pia tukiongea akisikia sauti ipo tofauti anauliza kama naumwa..nikimwambia najisikia vibaya tu basi ataanza kunisumbua na sms + simu. Basi sipendi hadi nakereka kila muda utasikia umekunywa dawa, Unaendeleaje, nenda hospital. Hua namwambia tu sipendi Kubembelezwa wala kuwa cared niache...kama nikizidiwa nitakueleza.Siku zinaenda zinakatika, akaja mume by then akiitwa mpenzi, kitu cha kwanza kumwambia baada ya kufahamiana nilimwambia kwamba ukitaka kitu nitumie sms sipendi kuwa on calls, he was like okay!! But guess what... Alikua anapiga simu muda wowote anaojisikia. Maisha yameenda nimebadilika na nina enjoy kuongea na simu na nawapigia watu, hata my mama nadhani anashangaa sana siku hizi. Zamani aliwahi kulalamika kwa dada mmoja kwenye saluni tunaendaga kuwa mwanangu fulani anaweza kusafiri akifika aendako hata hasemi kama amefika na hata ukimpigia hapokei akaja kukupigia a day after!
Can you be that person for me?? It will means a world to me! Sometimes upweke wanichosha kweli. Muvi pekee hazitoshi eti😟Oppss.. nimeandika gazeti Vinci, nilitaka tu kusema kuwa....we have to overcome our fears, inahitaji mtu mmoja tu kukuonesha your full potential. Its okay to be abnomal, lakini hakuna tatizo kabisa kuwa normal.....
I don't know why I feel these words Are just a Ruse. Deaf Gal Nakhuenjile for real, you know. Since back thenI love you and you know! cheers 😉
All things considered.. Sijawahi kuwa na tatizo na wewe from the first day... Tunaweza anzia hapo ila lazima nijihoji nia yangu na energy kama ninayo ya kufanikisha hili. Okay okay... Mdogo mdogo si ndio????For the first time naona umeondika gazeti asee Hongera.
Mungu fundi sana kaipangilia nature/Mazingira na Roho/Soul/Subconscious mind zetu zifanye kazi kwa namna ya upekee sana. Kuna mtu anaweza kuja maishani mwako kwa ajili ya kukusaidia kitu fulani tu yaani hata ufanyeje haondoki. Na siku kitu hicho kikikamilika utaona tu mmepotezana.
Huyo rafiki yako was a Heaven sent by nature to comfort and to help you get through your miseries. Kama bado mpo in touch...usimpoteze!
Hua tungombana na mama pia tukiongea akisikia sauti ipo tofauti anauliza kama naumwa..nikimwambia najisikia vibaya tu basi ataanza kunisumbua na sms + simu. Basi sipendi hadi nakereka kila muda utasikia umekunywa dawa, Unaendeleaje, nenda hospital. Hua namwambia tu sipendi Kubembelezwa wala kuwa cared niache...kama nikizidiwa nitakueleza.
Hua ananijibu kwamba...Siku ukiwa na mtoto nawe utajua uchungu naopitia pindi naposikia unaumwa. Basi nabaki naumia mwenyewe
Can you be that person for me?? It will means a world to me! Sometimes upweke wanichosha kweli. Muvi pekee hazitoshi eti😟
I don't know why I feel these words Are just a Ruse. Deaf Gal Nakhuenjile for real, you know. Since back then
Msaada ambao angepewa ni kuzikwa kwenye kaburi na kufukiwa. We huon ameinjoi kukaa kwake miaka minne juu ya kitanda chakeMwili wake uligunduliwa miaka minne baadae. Alifia kwenye kitanda chake mwaka 2018. NIGERIA ..
Alikuwa Engineer alipata shida na wife wake wakatengana. Wife alikuwa akiishi port harcout...mwamba akaenda ishi Oyo state. Akajenga nyumba yake huko Oyo akiindelea na kazi .. hakua mtu wa kujichanganya kabisa...kama ulivyosema, a loner.
Walipata mtoto mmoja na mke wake, binti ila alienda marekani.. so mzee akawa detached completely na familia yake. Hakuwa na story na majirani ..wala kazini zaidi ya fundi aliyekuwa akimjengea nyumba.
Alikuwa na pressure maana vilikutwa vidonge pembeni.. so katoka ktk mishe zake siku moja kapumzika... Labda alipata stroke.. akaenda moja kwa moja..
Mwaka wa kwanza ukapita...wa pili...wa tatu..wa nne..
Majirani wakashangaa mbona hii nyumba inazidi kuwa msitu... Serikali ya mtaa wakajipanga wafuatilie kulikoni... Walipoanza safisa eneo wakakuta gari nayo ishaanza pigwa kutu... Kwa mbali wakagundua mlango uko wazi... Kwenda kusukuma dirisha ndo wakamuona mzee kalala ka hivyo..
Sad story.
So wakaanza kutafuta ndugu na nini...mambo kibao. Familia ilipatikana baadae after a police struggle..
So kama unavyosema, u loner ukizidi ni ishu.. we have to check on each other.. walau hata kama ni ugenini tafuta mshikaji mmoja tu wa kuwa close.. just in case.
Watu wanataka wakifa waimbiwe mapambio ndo tatizo linapoanzia.. ukiondka umeondkaMsiogope vifo ndugu.
Kifo kinapumzisha mtu na tabu za dunia.
Kama vile magonjwa sugu yenye maumivu makali. Kuna wakifariki ndugu wanasema bora amepumzika kwa mateso aliyopitia.
Ishini kwa kuishi, usiiishi ukiwaza kifo, hakina tarehe wala saa, popote sehem yoyote kinaweza tokea bila kutegemea.
Hata mkiishi watu 60 kwenye chumba kikifika kimefika,
USIOGOPE KIFO