Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Yaaani bro upo kama mimi yaani sipendi kujumuika na watu kabisa leo nimetoka chumbani nimekaa kaa njeee nasikia kama battery low daaa
Unaepuka mengi ila ndio hivo unaweza kufa kwa kukosa mtu wa kukuchotea maji ya kunywa.
255763868910_status_1a44d8709f764ca29ccdd07c8b21787d.jpg
 
Sipendi Kusema nimeenda wapi, sipendi kuulizwa upo wapi, sipendi kuulizwa vipi haliyo unaendeleaje, Sipendi Kuambiwa Pole. Napenda niwe mimi tu Just me☺️🤗
Huyu ni mimi mtupu nafurahia sana maisha niliyonayo.

Ndugu wameshasema wee, wapenzi wamesema weee ila ndo hivyo tena najiona mimi yaani sijui km nitabadili haya maisha.
 
Yaaani bro upo kama mimi yaani sipendi kujumuika na watu kabisa leo nimetoka chumbani nimekaa kaa njeee nasikia kama battery low daaah
Asante Mungu kwa kunifanya introvert umeniepusha na mengi sana [emoji3590]



Introverts to the world [emoji288]View attachment 2529921
Upweke siyo mzuri,Sanaa unajikuta unawaza mambo mabaya
 
Kweny maisha lazima uwe na mtu ambae asipoona simu yako siku hyo au ww usipoona yake unahisi kupungukiwa.
Sio lazima awe ni mchumba ako, Mtu huyo anaweza kua yyte yule ambae anajali, anaupendo, kuna baadhi ya vitu mnafanana na kuheshimiana....
You're Quite right ma'am.

My problems I push forks away
 
Back
Top Bottom