Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Mi pia ni introvert... and i hate it. Tatizo kubwa kabisa tulilonalo sisi ma introvert ni kwamba hatuna ile art of interaction. Tunapenda kukaa pekee. Mtu kama unakosa art of interaction hata connection hupati. Maisha sikuhizi yanahitaji connection, kazi, biashara mishe mbali mbali ya kimaisha inahitaji watu. But us we choose to be alone. Nimeanza kujifunza art of interaction taratibu lakin naona nashindwa. Ila tukiwa nyuma ya keybord tunamaneno mengi hatari😅
 
Maisha ya kuwa mwenyewe mwenyewe ni mabaya sana ila wengi hawalioni hilo. Kuna kaka mmoja alihamia mtaani, hakuwa na muda hata na majirani zake ni yeye na mambo yake kivyake, alikutwa ndani kafariki baada ya kuanza kutoa harufu.
Changamana na watu unaoishi nao kama majirani japo msizoeane sana.
Watumiaji addicted wa simu wana hii changamoto sana.
 
Mke wa tatu wa babu mkubwa hakubahatikaga kupata uzao. So babu alivyofariki, wajomba wakawa wanapeleka chakula tu lakin hakuna alietakaga kumchukua kuishi nae. All this kwa sabbu ya migogoro ya kifamilia.

Siku katika kukutana kimisiba, mtu akamuuliza hivi bibi unaishi mwenyewe kweli? Bibi akajibu " ndio naishi mwenyewe hata siku nikifa nitakutwa mdomo wazi haujajifunga maana hakutakuwa na wa kuufumba." Ikaishia hapo. Mwaka mmoja baada ya bibi kutamka hayo maneno kweli ikatokea kama alivyosema. Mwili wake ulikutwa ndani baada ya majirani kutomuona kwa siku tatu. Mlango kuvunjwa, akakutwa alishafariki kitambo mwili unatoa harufu.

Kuna mjomba wangu mmoja nae anapiga mishe za machimbo ya madini. Aliwahi pata shangazi lakin akaachana nae maana alimzingua. So mpaka sasa na miaka yake 65 hanaga mke. Anaishigi mwenyewe tu. Sasa kuna siku katoka mihangaikoni, akawa kanunua nyama. Akaingia ndani akaibandika kwenye jiko la gesi. Akakaa kitandani akapitiwa na usingizi.

Anaishi chumba kimoja. Ile nyama ikachemka mpaka ikaungua. Mara watu wanaona moshi. Gonga hodi sana no reponse. Wakaona hapa tutaungua wote. Ndo mlango kuvunjwa, moto ulikua ushashika kwenye vikaratasi vya kwenye chumba. Ndo watu kumuamsha, kuzima jiko, kulitoa nje. Almanusura nyumba ingewaka na yeye angefia ndani. Mpaka leo maisha yake its still a puzzle.

Yes kuwa introvert ni vizuri lakini atleast uwe na mmoja wa kukufahamu kiundani. Kila kitu ni risky. Choose your danger wisely...
Mambo ya kujifungia ndani siwezagi nimepanga na watu introvert lakini huwa na wachangamsha naweza enda hata kuwaazima kiberiti ili nisikie tu Sauti zao kuwa wamo ndani na ni wazima wakati kebriti ninacho ndani kwangu.
 
Ukweli ni kwamba uwe introvert au xtrovert utakufa tu!!!!

Uwe unaishi pekeako au uishi na mke/mume still ukifa utaoza tu

nothing exceptional,,, yaan uishi na mtu eti kisa atoe taarifa siku ukifa,, vp yeye ndo akatangulia kufa??? Vp ukifa yy akiwa kasafiri??????
Kufa tutakufa, ila tunaangalia umekufa katika hali gani??
 
So that Guy....alikua mgonjwa mgonjwa but he was a loner and eligible bachelor. Alifariki akiwa chumbani kwake aligundulika after 3 days. So Sad!😟😢
Do you know the story behind this..👇

download.jpeg

Inasikitisha sana .
 
Back
Top Bottom