Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Sipendi Kusema nimeenda wapi, sipendi kuulizwa upo wapi, sipendi kuulizwa vipi haliyo unaendeleaje, Sipendi Kuambiwa Pole. Napenda niwe mimi tu Just me☺️🤗
Huyu ni mimi mtupu nafurahia sana maisha niliyonayo.

Ndugu wameshasema wee, wapenzi wamesema weee ila ndo hivyo tena najiona mimi yaani sijui km nitabadili haya maisha.
 
Upweke siyo mzuri,Sanaa unajikuta unawaza mambo mabaya
 
Kweny maisha lazima uwe na mtu ambae asipoona simu yako siku hyo au ww usipoona yake unahisi kupungukiwa.
Sio lazima awe ni mchumba ako, Mtu huyo anaweza kua yyte yule ambae anajali, anaupendo, kuna baadhi ya vitu mnafanana na kuheshimiana....
You're Quite right ma'am.

My problems I push forks away
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…