Haya ndio makadirio ya gharama (ukitumia rate za kiserikali) kusafirisha wasanii 40 Korea

Hii ni Kodi anayokamuliwa mfanyabiashara ambaye amepata hasara
 
Hizo Pesa wangetunza na kununulia mbolea, badala yake TCRA ikaacha kuingilia mitandao na kuwapangia bei ya Bundle (ili wapate TOZO kwenye bundle); wasanii hawa wangeweza kuingiza kazi zao zaidi kwenye social media hivyo kujipatia vijisenti; Au hizo pesa wangewapa zote cash mzunguko wa pesa ungeongezeka sababu wangekula bata na chenji wangenunulia hata laptop ya kuwasaidia kwenye kazi zao; badala yake tumekwenda kuongeza mzunguko wa pesa wa kina Jummong na walamba asali,,,,
 
Wanaupiga mwingi.!
 
Yote ni kwa vile tu kuna mtu anataka kuendelea kuwa Rais hivyo anataka kuonekana yeye ni mtu wa watu ndiyo maana anajitahidi kujaribu kufurahisha kila kundi,hakuna cha kwenda kujifunza wala nini ila hiyo ni "takrima" ili wampigie debe mtu.
 
Bila kuwapeleka mashehe na mapadiri itakuwa hawawatendei haki, mzee wa Msoga angalau alionesha njia kwa kuwapeleka.
 
Hii nchi ukitaka kuishi vizuri jifyatue akili kuwa kama ling'ombe lililokosa mchungaji..... Ukiwa serious tu unaweza jilipua kama Al-shabaab
 
Huku kuna wagonjwa wanakosa hata milioni 2 mpaka Malisa anachangisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…