Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

Point yako ni nini hapa? Maana najaribu kusoma lakini nikionacho ni abunuwasi akijaribu kusimulia abracadabra zake.
 
Acha uwongo, upingaji wako usivuke mipaka na kuanza kuongopa. Pinga kwa hoja, jicho lako halina uwezo wa kuona Km million 50
Mnafundishwa ujinga huko Bakiif naona.
Mars inaonekana kwa macho kila baada ya miaka kadhaa inapokuwa karibu na dunia

 
Swali la maisha baada ya kifo limesumbua akili za watu wa dini zote na zama zote. Pia kuna mtazamo wa ukana Mungu kwa ambao wanakejeli mambo hayo
Limewasumbua nyinyi tu. Wengine halijawasumbua. Kwa nini useme kwa niaba ya dini nyingine wakati hauamini hizo dini wala haziamini mungu wako?
 
Sijakupongeza, nimeuliza swali. Point yako ni nini? Bado haujajibu swali.
Swali si umeshajijibu mkuu: Kwamba ''Maana najaribu kusoma lakini nikionacho ni abunuwasi akijaribu kusimulia abracadabra zake.'' Sasa nikupe jibu gani hapo tena?
 
Acha fix wewe. Huyo alikuumba wewe ulimuona wapi? Wadangaje wajinga wenzako mimi nishushe nimefika.
 
Kama Mungu anatupenda kweli angepambana na shetani yeye mwenyewe kuliko kutuachia msala sisi. alafu yeye akaenda kujificha
 
Ulivyo kua kabla hujazaliwa ndivyo utakua baada ya kifo. Achana na ngonjera nyiingi zisizo na kichwa Wala miguu
 
Ukiachana na Imani kifo si mchezo nmeshuhudia vifo vingi ndo kitu pekee kinachofanya niamini kuna vitu vipo hatuvijui
SAKARATUL MAUTI naweza kusema ni pale ambapo brain inaanza kua deprived na oxygen hivo mtu anapata neurological deficits anaanza kuona watu wanaomtisha na ni kweli utaona mtu anaogopa anajificha
Kutoa haja si lazima ila ni common sababu bladder na njia ya nyuma ukiwa unakata roho kunakua hakuna innervation ya sphincter muscles zinazoshikilia
Ila kama marehem ataempty bladder punde kabla ajakata roho ni uncommon kujiokojolea
ALLAHU AALAM
 
Acha uwongo, upingaji wako usivuke mipaka na kuanza kuongopa. Pinga kwa hoja, jicho lako halina uwezo wa kuona Km million 50
Hongera,naona umetayarisha fimbo za kutosha,Kila anayenyanyuka unae.

Ndani ya hizo siku arobaini atatokewa na malaika mara tatu,,,nifunulie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…