Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

Bado samaki wale wabichi sato na sangara kutoka mara ziwa victoria na wale wa kutoka bukoba moja kwa moja maana moshi kuna soko kubwa la samaki wabichi, kuna mchaga anaitwa lymo huchukua samaki wabichi ziwa rukwa kwa bei chee anapeleka kwao, anatumia scania za friji kama mbili hivi,
 
huwa anazunguka arusha na moshi na huwa anaripoti negative issues tu futilia mada zake utagundua
So hapaswi kulipoti matatizo yenu huko...inabidi apost mazuri tu[emoji848]
 
Hujui tuna nyumba ya mungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila leo wachaga kama hawapo vile
Imagine[emoji23][emoji23]

Check matajiri wa nchi hii...wanajiita most successful tribe[emoji23][emoji23] ya nyoko labda...

Tanzania ni ile ile umaskini upo kila mahali

 
baran Africa na Asia tunachangomoto sana ktk mazingira ya ufanyaji wa kazi, naonaga kama wale waPakistan wanagereji nzuri wanaunda vitu konki kabisa, wanafyatua adi engine za pikpk na magari, blocks, na vipuli vingi tu tena ni next level lakin ukiangalia ayo mazingira yao sasa dah ovyo ovyo
 
Nyie si mnasemaga moshi ni kama new York sijui Amsterdam[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ni eneo isolated walipopelekwa ,HII kasumba IPO maeneo mengi ya nchi,hâta iringa juz wamachinga walipelwkwa makaburini
 
Nawaona matajiri wa moshi wakiisema bk na stendi yetu ya matope...kumbe kwao ni matopeni...

Kwanza hao samaki wanawatoa wap[emoji23]
Hilo ni Soko temporary,wamepelekwa for temporary
Mbona kwenu kamachumu vumbi Kali na funza hatusemi?
 
Hujui tuna nyumba ya mungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila leo wachaga kama hawapo vile
Wachaga ndio wanaoongoza kwa kujenga makazi bora vijijini kwa 90%
Wachaga hawaishi kwenye Soko la samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…