Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

Kilimanjaro ni mkoa WA kwanza kwa wananchi wake kuwa na makazi bora vijijini kwa 90%
Kilimanjaro vilevile ni mkoa WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa
Kilimanjaro ni mkoa wenye miundombinu toshelezi karibia 90% hakuna Shida ya shule,umeme Wala zahanati Kilimanjaro
Kilimanjaro ni mkoa WA kielimu
Njooni vijijin Kilimanjaro mushuhudie makazi ya watu kama ulaya
 
Kuna mchaga mmoja wa kirua anasemaga moshi kama Amsterdam[emoji23][emoji23]
Moshi ni Amsterdam ndio vijijin mahekalu
Kagera mnashindwa Hadi lishe watoto wanaugua marasmus hakuna mlo hebu ona HII AIBU ya utapiamlo
Kaondoe utapiamlo Huko uhayani ndio urudi hapa
 
Imagine[emoji23][emoji23]

Check matajiri wa nchi hii...wanajiita most successful tribe[emoji23][emoji23] ya nyoko labda...

Tanzania ni ile ile umaskini upo kila mahali

View attachment 2554399
Hilo ni Soko la muda masoko ya namna hiyo yapo nchi nzima
Wachaga wanaishi maisha bora kwa 90%,hawaishi Ktk Soko la samaki takwimu za nbs zinatutanabaisha
Kilimanjaro umaskini ni 10% tu wakati Kagera umaskini ni 40%
Kilimanjaro watoto hawakai sakafuni kama Kagera
Kilimanjaro hakuna utapiamlo kama Kagera
Kilimanjaro IPO Juu Juu Juu zaidiView attachment 2556395
 
Nadhani hapo wapo wapare wa kutosha wakifaidi angalau harufu
 
Yan hatupumui mnatuandama sana wiki hii
Niachie hawa nawamudu,wamechukua picha ya Soko la muda ati ndio Wana define Kilimanjaro
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wananchi hawalali nyumba za nyasi?
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wenye umeme vijiji vyote n'a vitongoji vyote 100%
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa usio n'a Shida kabisa ya shule Wala zahanati?
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa ambao ni WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa? Yaani wastani WA kipato ukiondoa dar , Kilimanjaro ndio mkoa watu wake mmoja mmoja Wana wastani WA kipato kizuri
 
Pointless and defensive mechanism.


Hamna cha maana tunao kibao wanakopa tu hapa mjini na dhulmat...kamkoa gani kadogo nyumba zipo migombani ..
 
Hâta USA ni nchi yenye uchumi mkubwa duniani lakini Kuna ombaomba
Uchumi haupimwi kwa MTU mmoja kukosa Hela ya hospital
Kilimanjaro Haina utapiamlo kama kwenu
 
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wananchi hawalali nyumba za nyasi?
Kilimanjaro HAKUNA Nyumba za nyasi. Ila Kuna Nyumba za TOPE na MBAO)MABANZI
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wenye umeme vijiji vyote n'a vitongoji vyote 100%
Kilimanjaro yote isipokuwa Moshi ni VIJIJINI
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa usio n'a Shida kabisa ya shule Wala zahanati?
Kwasababu Kilimanjaro ni kimkoa kidogo sana, na wakaazi ni wachache sana hasa wazee maana vijana wengi wanakimbia huu mkoa.
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa ambao ni WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa? Yaani wastani WA kipato ukiondoa dar , Kilimanjaro ndio mkoa watu wake mmoja mmoja Wana wastani WA kipato kizuri
Per capital huwa inakokotolewa kwa idadi ya watu gawa kwa uchumi
Ukishakuwa na idadi ndogo ya watu, per capital inapanda. Na Mara nyingi siyo halisi.
 
Kukopa ni dhambi? Ukiona MTU kakopa ujue Ana uwezo maana asingekuwa na uwezo asingekopesheka
Karibu uchagan vijijin usafishe macho ewe mdigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…