Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kuna mkoa wa Pwani hata mmoja ?Hâta USA ni nchi yenye uchumi mkubwa duniani lakini Kuna ombaomba
Uchumi haupimwi kwa MTU mmoja kukosa Hela ya hospital
Kilimanjaro Haina utapiamlo kama kwenuView attachment 2556415
Sasa Kuna maajabu gani hapo🤣🤣? Mbona ushamba ni mzigoKukopa ni dhambi? Ukiona MTU kakopa ujue Ana uwezo maana asingekuwa na uwezo asingekopesheka
Karibu uchagan vijijin usafishe macho ewe mdigoView attachment 2556416View attachment 2556417View attachment 2556419
Hivi ni vipicha vya wakati wa masika. Njoo Sasa hivi upige picha vumbi huko vijijini na vichakaniEE mchaga Kijijin ndio makao makuu
Kuna makazi Safi na usafi WA Hali ya Juu
Karibuni uchagan View attachment 2556410View attachment 2556411View attachment 2556412View attachment 2556414
Umesoma Hadi la ngapi ewe mdigo? Ukiona MTU kakopa ujue Ana dhamana ya kukopesheka means Ana uwezoPointless and defensive mechanism.
Hamna cha maana tunao kibao wanakopa tu hapa mjini na dhulmat...kamkoa gani kadogo nyumba zipo migombani ..
USHAMBA ni nyie mnaolala nyumba za nyasi Hadi sasahvSasa Kuna maajabu gani hapo[emoji1787][emoji1787]? Mbona ushamba ni mzigo
Kukopa ni kushinda kukizi mahitaji kwa wakati husika ..Umesoma Hadi la ngapi ewe mdigo? Ukiona MTU kakopa ujue Ana dhamana ya kukopesheka means Ana uwezo
Unajua mmiliki WA Ile taasisi ya eckenford kule kwenu? Kuanzia chekechea Hadi university anaitwa bw Tarimo
Nyumba ya nyasi ila sijadhulumu mtu ,sijatapeli , naishi kwa fresh navaa napendeza sisi hatuna stress ndo maana tunaishi mda mrefu ...Mengi yupo wapi na ule mjengo si kaacha😂😂.USHAMBA ni nyie mnaolala nyumba za nyasi Hadi sasahv
Sisi nyumba hizo zilikuwa miaka ya 1920's
Nireteeni Priscus TarimoMbunge wa hapo ni nani
Barabara za uchagan hâta zile local zinapitika masaa 24,madaraja ya kisasa yapo vijijin kabis tazama hapaHivi ni vipicha vya wakati wa masika. Njoo Sasa hivi upige picha vumbi huko vijijini na vichakani
Acha bange na mirungi.Barabara za uchagan hâta zile local zinapitika masaa 24,madaraja ya kisasa yapo vijijin kabis tazama hapa
Nb
Kilimanjaro mbuzi na ngombe zinalala kwenye block house wakati mikoa ya wenzetu hâta nyumba ya bati ni mtihani
The blessed Kilimanjaro.View attachment 2556429View attachment 2556433View attachment 2556435
Basi wewe hujaenda shuleKukopa ni kushinda kukizi mahitaji kwa wakati husika ..
Wangapi wanakopa wanashindwa kulipa madeni yao?
Kukopa ni slogan ya kujiamini tu ! Ila Haina uhusiano zaidi ya kutokuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yako kwa wakati husika . serikali maskini ndo hukopa kila siku .
Takwimu hazidanganyi,debe Moja la udogo haliwezi chafua bahariAcha bange na mirungi.
Tukianza kupiga picha mtaanza kutuuta haters
Hilo ni eneo la muda sio officiel markethapa sio Kigoma kweli
Hizo ni défense mechanism za maskiniNyumba ya nyasi ila sijadhulumu mtu ,sijatapeli , naishi kwa fresh navaa napendeza sisi hatuna stress ndo maana tunaishi mda mrefu ...Mengi yupo wapi na ule mjengo si kaacha[emoji23][emoji23].
Takataka za kupita hatuna slogan ya uwizi , utapeli ,ulevi
Circulation na katika uchumi wa riba ...Hujaenda shule au wewe hujielewi.Basi wewe hujaenda shule
Hujui kukopa Kuna stimulate circulation ya fedha? Au naongea na form four lever?
wanatufedhehesha wameahindwa na kampeni za kataa ndoa zimefeli ndio maana wamekuja kutushambulia wachaga. Pumbavu zao. .Niachie hawa nawamudu,wamechukua picha ya Soko la muda ati ndio Wana define Kilimanjaro
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wananchi hawalali nyumba za nyasi?
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa pekee wenye umeme vijiji vyote n'a vitongoji vyote 100%
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa usio n'a Shida kabisa ya shule Wala zahanati?
Hawajui Kilimanjaro ni mkoa ambao ni WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa? Yaani wastani WA kipato ukiondoa dar , Kilimanjaro ndio mkoa watu wake mmoja mmoja Wana wastani WA kipato kizuri
Mama aliagiza wachuuzi wapelekwe maeneo ya masoko.Hili ndilo soko kuu la samaki Moshi Kwa sasa lililopo eneo la Mailisita katika wilaya ya Hai
Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa samaki waliohamishiwa eneo hilo walikabidhiwa eneo hilo lisilokuwa na miundombinu yoyote inayoendana na aina hiyo ya biashara.
Hakuna miundombinu ya vyoo maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara hao, bali hutumia vyoo vilivyopo jirani na eneo hilo.
Mfumo wa maji safi na taka hakuna kutokana na. Kuwa magari huleta samaki wabichi na wengine huoshea eneo hilo hilo kabla ya kukaanga hapo na Kusafirisha.
Miundombinu ya jiko hakuna bali kila mtu hukaanga samaki hapo hapo anapoona Panafa.
Mvua na jua vinawaathiri kutokana na kuwa ni eneo la wazi na halijajengwa kwa namna yoyote ile ili liweze kuwangika na mvua wafanyabiashara hao.
Wakati huo huo hutozwa ushuru kila siku wa soko.
View attachment 2554409View attachment 2554410View attachment 2554411
Priscus Tarimo Yeye Atakuwa anaishi Shanty Town nadhani, ila 2025 ajiandae kwenda kupasua mbao huko RomboMbunge wa hapo ni nani
Napajua apoEE mchaga Kijijin ndio makao makuu
Kuna makazi Safi na usafi WA Hali ya Juu
Karibuni uchagan View attachment 2556410View attachment 2556411View attachment 2556412View attachment 2556414