Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

Na ndio michezo wanacheza sasa vituko juu ya vituko wanaleta alafu magazet ,tv,redio,mitandao ya kijamii kwenye peji kubwa .wanapewa maelekezo walipaishee hilo jamboo kwa muda wa wiki au cku kazaa ..wtz tulivyo ss benderaaa fata upepo nasi tunapepeaaaa
 
Jamaa kazingua, sema alijua kuruka vyema baada ya kuona kesi si ya kitoto. Binafsi nampongeza Afisa wa TRA kwa kuwa na busara muda wote wa mazungumzo na huyo mbunge. Angekuwa hana break, mambo yangekuwa si mambo kama angejibu kwa jazba. Kongole kwa Afisa wa TRA kwa kuzingatia maadili ya kazi
 
Kweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu naona kuna Divergences nyingi sana kwenye mitandao ,huyo Ommy hiyo G Wagon yake ina zaidi ya miaka miwili anadunda nayo inakuwaje leo ndiyo ionekane ni Fogery ,hakika Spin Dcotors wanatuchezea.
We ni mheni mkuu, watu wanakaa na gari miaka na kinawalamba, mfano yule dogo ally nipishe alihonhwa gari na lidada la kipemba kaka nayo mwaka akaja kudakwa kua hiyo gari ni ya wizi iliibiwa zanzibar
 
Aliekamatwa na gari ashaambiwa kwanini amekamatwa na karidhika ofisa halazimiki kumjulisha mtu asiehusika kwanini amekamata hilo gari. Pia mwenye gari yupo kama ameonewa au anahisi anatekwa angesema.
 
Sasa kwanini Ommy asimueleze mwenyewe kinamzuia kitu gani?
 
Watumishi mnakuwaga na jeuri zisizo na maana
Legal Exceptions to Confidentiality
Under Section 21(2) of the Tax Administration Act, tax officials are permitted to disclose taxpayer data only under the following specific circumstances: [1, 2]
  1. Intra-Agency Use: The data is shared with another current TRA employee who requires it to fulfill their official duties.
  2. Tax Enforcement: The disclosure is necessary for carrying out specific provisions of a tax law.
  3. Official Authorization: The Commissioner General explicitly grants written permission to share the data.
  4. Legal Proceedings: The information is requested as part of official proceedings before a competent court or tax tribunal.
  5. International Cooperation: The data is exchanged with foreign tax jurisdictions under bilateral double-taxation treaties or mutual administrative assistance agreements.
 
Under Section 8 of the Tanzania Revenue Authority Act and Section 21 of the Tax Administration Act, any person employed or engaged by the TRA must keep all taxpayer income, expenditure, and financial dealings secret from unauthorized persons. [1, 2]
 
Lissu kwafundisha😅😅
 
Wala haihitaji kuwa na degree kujua haya. Nashangaa watu wanaomlaumu huyo ofisa na kumtrtea baba levo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…