Ushirombomoya
Member
- May 11, 2021
- 77
- 143
Legal Exceptions to Confidentiality
Under Section 21(2) of the Tax Administration Act, tax officials are permitted to disclose taxpayer data only under the following specific circumstances: [1, 2]
- Intra-Agency Use: The data is shared with another current TRA employee who requires it to fulfill their official duties.
- Tax Enforcement: The disclosure is necessary for carrying out specific provisions of a tax law.
- Official Authorization: The Commissioner General explicitly grants written permission to share the data.
- Legal Proceedings: The information is requested as part of official proceedings before a competent court or tax tribunal.
- International Cooperation: The data is exchanged with foreign tax jurisdictions under bilateral double-taxation treaties or mutual administrative assistance agreements.
Inahusu nn na hiyo Gari yake?Wanadai Kashindwa kulinda Mgongo wake
Kuna jambo sio buree, lolWanatusumbua na Magari expensive, je yamelipiwa kodi kihalali?
Lako vipi lipo oky ,?😛😛Kuna jambo sio buree, lol
Yess.Lako vipi lipo oky ,?😛😛
Tafuta video 2 baba levo alijibiwaMambo hayako hivyo, Baba levo Yuko n Ommy hapo hapo.
Kuna tatizo l a communication kwa Watumishi wengi has Sisi waafrika.
Mfano angesema:
Gari hii tunaikamt kwa sababu tuna operesheni maalum ya kukagua magari
Tunaangalia kama imetimiza vigezo vyote vy usajiri na Kodi
Tunaangalia na kuthibitisha usajiri wake kama ulizingatia Sheria
Tunchunguza madeni
Hizi zote ni sababu za kumjibu mtu na akakuelewa na then wewe ofisa unaendelea na mambo yako huku Mhusika ameshatulia na kurelax
Ndio maana niliangalia tahadhari yangu kwenye comment yangu, kwamba clip Ile haitoi taarifa zoteTafuta video 2 baba levo alijibiwa
Alijibiwa Hilo gari liliwasilishiwa taarifa za uongo Ili kukwepa Kodi.
Sasa ulitaka ajibu vipi zaidi ya hapo !
Hapo ndio utajua akili za watanzaniaWala haihitaji kuwa na degree kujua haya. Nashangaa watu wanaomlaumu huyo ofisa na kumtrtea baba levo.
Mihemko kama Mama mwenye mimbaNdio maana niliangalia tahadhari yangu kwenye comment yangu, kwamba clip Ile haitoi taarifa zote
Na kasoro itakuwa kwenye kodi, wale jamaa ni professionals sana. HawakurupukiEndeleeni kuishi kwa mazoea
Huko na connection
Ila ukiona TRA walimspot hilo gari washaona kasoro linalo
Na mmiliki ashaambiwa afisa hawezi ku expose hapo hadharani
Ova
Aliondoka chap. Kwasababu akajua kumtetea mkwea kodi msala. Hafu hiyo si case ya kuhujumu uchumi?Tafuta video 2 baba levo alijibiwa
Alijibiwa Hilo gari liliwasilishiwa taarifa za uongo Ili kukwepa Kodi.
Sasa ulitaka ajibu vipi zaidi ya hapo !
Hapa yangezaliwa maswali kibao maafisa wanakuaga na Tablet zenye mifumo ya Usajili na Uingizaji Magari ukiona unaambiwa uweke gari pembeni jua tayari wameshajiridhisha kuwa kuna mambo hayako sawa Kifungu cha 21 cha sheria ya Usimamizi wa kodi kinazungumzia mambo ya usiri Baba levo alikua ni Third party halafu amekuja ana record tukio hapo Officer lazima anyooshe Mbunge hajatajwa kisheria kupewa taarifa za kikodi kwa TRA Ommy Dimpozi ni Mteja/Mlipa kodi yaani waliitana kienyeji kwa kuwa una mwanao Mbunge unamuita aje akuchomoe Officer kanyoosha.Mambo hayako hivyo, Baba levo Yuko n Ommy hapo hapo.
Kuna tatizo l a communication kwa Watumishi wengi has Sisi waafrika.
Mfano angesema:
Gari hii tunaikamt kwa sababu tuna operesheni maalum ya kukagua magari
Tunaangalia kama imetimiza vigezo vyote vy usajiri na Kodi
Tunaangalia na kuthibitisha usajiri wake kama ulizingatia Sheria
Tunchunguza madeni
Hizi zote ni sababu za kumjibu mtu na akakuelewa na then wewe ofisa unaendelea na mambo yako huku Mhusika ameshatulia na kurelax
Kitendo tu cha Failure Baba Levo kuwa Mbunge kimatudhalilisha Watanzania wote mbele za Watu na Mataifa mbalimbali yenye Watu serious na wanaojua wanafanya. nini.Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili zake kisoda anaendelea kufosi apewe taarifa za kwa nn gari inakamatwa!
View attachment 3678393
Watu ambao hawajaenda shule kuna kitu kinawatafuna utaona kila jambo wanarukia upande wa kujifanya victim utasikia “unaniona mimi sijasoma” au “ Mimi sijasoma lakini nakuzidi vitu vingi” Baba Levo , Msukuma ndio mitindo yao hiyo.Tatizo ni elimu, baadhi ya viongozi wa kisiasa wanadhani sheria wanazopitisha wenyewe haziwahusu kabisa. Pia kwakuwa Nchi hii watu wake wengi uelewa wao ni mdogo wanaweza kudhani mbuge akipiga makelele ndio mchapa kazi.
Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi, kifungu cha 26, kinamkataza mkusanya taarifa kutoa taarifa bila idhini ya mhusika. Ukiangalia mazingira ya tukio mhusika akutoa idhini hiyo wakati mbuge huyo alipoomba taarifa ambazo hausiki nazo.
Lakini pia kitendo cha mbuge kuingilia au kuzuia afisa asifanye majukumu yake kwa kumkingia kifua mtuhumiwa ni kosa kwa mujibu wa kifungu 208 cha sheria ya Ushuru wa forodha ya Africa Mashariki ( East African Community Management Act,2019).
Pia kurekodi video ya afisa huyo na kiusambaza mtandani bila idhini ya afisa huyo ni kosa sheria ya makosa ya kimtandao, kifungu cha 15 imeeleza.
Sasa unaweza kuona jinsi mbuge huyo ambavyo hajui kitu, silaha yake ni kutaka kuonekana anadharauliwa kwasababu ya elimu yake utafikiri amezuiwa na yeye kusoma. Bado tuna safari ndefu sana.
Kwa heche hivi vifungu sikuviona, ila afisa mwenzenu mnajitahd kuleta vifungu ?haya yangu machoHapa yangezaliwa maswali kibao maafisa wanakuaga na Tablet zenye mifumo ya Usajili na Uingizaji Magari ukiona unaambiwa uweke gari pembeni jua tayari wameshajiridhisha kuwa kuna mambo hayako sawa Kifungu cha 21 cha sheria ya Usimamizi wa kodi kinazungumzia mambo ya usiri Baba levo alikua ni Third party halafu amekuja ana record tukio hapo Officer lazima anyooshe Mbunge hajatajwa kisheria kupewa taarifa za kikodi kwa TRA Ommy Dimpozi ni Mteja/Mlipa kodi yaani waliitana kienyeji kwa kuwa una mwanao Mbunge unamuita aje akuchomoe Officer kanyoosha.
View attachment 3678574View attachment 3678575
Asante Troll JF kwa maelezo na reference, hata Mimi sijasema atoe Siri lakini anaweza kutoa Tu maelezo ya jumla jumla ya kwanini anazuia Gari, hii ni kupunguza tension ambayo Mteja anakuwa nayo wakati huo.Hapa yangezaliwa maswali kibao maafisa wanakuaga na Tablet zenye mifumo ya Usajili na Uingizaji Magari ukiona unaambiwa uweke gari pembeni jua tayari wameshajiridhisha kuwa kuna mambo hayako sawa Kifungu cha 21 cha sheria ya Usimamizi wa kodi kinazungumzia mambo ya usiri Baba levo alikua ni Third party halafu amekuja ana record tukio hapo Officer lazima anyooshe Mbunge hajatajwa kisheria kupewa taarifa za kikodi kwa TRA Ommy Dimpozi ni Mteja/Mlipa kodi yaani waliitana kienyeji kwa kuwa una mwanao Mbunge unamuita aje akuchomoe Officer kanyoosha.
View attachment 3678574View attachment 3678575