Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

Mleta Uzi nipo opposite na wewe .baba Revo yupo sahihi kwa asilimia mia Moja
Pamoja ana mapungufu yake
Nampa maua yake

Ipo hiv
Baba Revo yupo kwa ajili ya mwanainchi na mwanainchi ni ommy dimpozy
Aliiba uchaguzi wa Kigoma Mjini, ni bora hata akajifanya anashughulika na masuala ya Kigoma Mjini sio ya Dar es Salaam anapozurura kutwa kucha.
 
Baba Levo ni mwizi wa uchaguzi
 
Baba Levo ni mwizi wa uchaguzi, sio mwakilishi halali wa wanananchi wa Kigoma, Dimpozi ni mkazi wa Daslamu.
 
Baba levo yupo sahihi kwa kiasi chake... unajua hao hao wanaojifanya maafisa wa serikali ndo wtekaji wakubanwa wanajificha kwenye vyeo km hivo ili kutupoteza watanzania hii ni ngumu kumeza
Baba Levo ameingia bungeni kupitia kubebwa, wizi wa kura na uchaguzi ulioua maelfu ya vijana.
 
Wanatusumbua na Magari expensive, je yamelipiwa kodi kihalali?
Hayo magari kulipa kodi ni ngumu mkuu wapo kwenye msako muda mrefu wanayatafuta mengi yaliingia na kulipiwa kodi pungufu kwa watu waliotumia SADC paper wanapigwa faini na kuongezea kile ambacho alikikwepa ndio ishu hiyo hakuna kingine..
 
Kwa kodi kubwa mnazoweka huko mtaendelea kukamatana mpaka mwisho wekeni kodi rafiki ili Wananchi walipe kodi bila kukwepa mnatumia gharama kubwa wakati mngepunguza watu wangelipa Fortuner ya 2025 mnataka 65m ina nini cha maana ile gari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…