Haya ni maajabu!! Rais anashinda ndani kama utumbo?!!

Newton's third law of motion state that: For every action there is an equal and an opposite reaction.Hii inamaanisha kitendo alichokifanya Samia tarehe 29/10/2025 Cha kuwaua hovyo wapigania haki na kuziacha familia za wahanga kubaki na maumivu na msongo wa mawazo ndivyo Hivyo hivyo na yeye ataumia hadi mwisho wa maisha yake
 
Mbwa wa mama wako kazini mwenyewe yupo Mkunazini anakunwa na mkunaji wake
 
Anamisiwa na wana ibilisi.Binadamu halisia wangefurahi sana kama ICC eangemchukua mapema, asiwepo kabisa nchini, maana uwepo wake nchini unasambaza laana ya damu alizozimwaga.
 
Hakuchaguliwa babu. Hiyo inaitwa nitoke vipi
 
Kukaa kimya ni busara kuliko kusema isivyo stahili, mkamuandama tena.
 
😂 The Delegating President.
 
Nongwa zinawatesa wabongo, JK alipozurura dunia nzima mkamuita Vasco Da Gama.

Ukifika muda atakwenda tu huko ughaibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…