Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.

Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC leo.

Mfanyabiashara Maarufu na Tajiri mkubwa tu Bin Slum (Mdau wa Coastal Union FC ila pia ni mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.

Yanga naomba mtulie na mkihoji kwanini akina Malima na Ummy wanatoa Ahadi na Kugawa Pesa hivi nanyi jiulizeni kwanini Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi ( mwana Yanga SC ) na Mbunge na sasa kawa Naibu Waziri kama sijakosea Antony Mavunde ( mwana Yanga SC ) nao kwa Nyakati tofauti walitoa Ahadi kama hizi kwa Timu za Biashara United FC ( ya Mara ) na Dodoma Jiji FC ( ya Dodoma ) zilipocheza dhidi ya Timu wanayoichukia ya Simba SC.

Wachezaji wa Coastal Union FC ya Tanga Kazi Kwenu na Utajiri ndiyo huu hivyo Kazeni leo ama mshinde au mtoke hata Sare tu mkicheza na Yanga SC Leo ili mle 'Bingo' hii ( hiyo ) ambayo naamini wengi wenu itaweza Kuwabadilishia hata Maisha yenu magumu mliyonayo na mkizingatia mpo huko Mkoani ambapo Pesa ni ngumu mno hadi mje huku Mjini Dar es Salaam.
 
Wachezaji 11 wawe matajiri kwa 50M?! We jamaa bhana. Hizo ni motivations tu za kawaida ila haziwezi kuwafanya wawe matajiri au wakizikosa eti watakua maskini hadi kufa kwao, nahisi we utakua maskini wa mawazo unataka kurithisha umaskini wako kwa hao wachezaji
 
Nimeandika hivyo Kiutani tu na walionizoea wamenielewa, ila kwa Mpumbavu Wewe ndiyo limekuuma na Kushangaa ( Kunishangaa )
 
pccb hii ni rushwa
Sio rushwa mkuu bali inaitwa motisha. Simba Walipiga kelele kwa biashara na dodoma jiji kisa kuahidiwa pesa wakiifunga Simba lakini nao wameufyata nakuona fresh kabisa. Binafsi sioni tatizo timu kubwa zikikaziwa na timu ndogo kikubwa tu mpira uchezwe na sio kucheza rafu za kutaka kuvunjana.
 
Nami naahid coastal mkifungwa na YANGA Kila mchezaji atapata Bajaj
 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.

Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC leo.

Mfanyabiashara Maarufu na Tajiri mkubwa tu Bin Slum (Mdau wa Coastal Union FC ila pia ni mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.

Yanga naomba mtulie na mkihoji kwanini akina Malima na Ummy wanatoa Ahadi na Kugawa Pesa hivi nanyi jiulizeni kwanini Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi ( mwana Yanga SC ) na Mbunge na sasa kawa Naibu Waziri kama sijakosea Antony Mavunde ( mwana Yanga SC ) nao kwa Nyakati tofauti walitoa Ahadi kama hizi kwa Timu za Biashara United FC ( ya Mara ) na Dodoma Jiji FC ( ya Dodoma ) zilipocheza dhidi ya Timu wanayoichukia ya Simba SC.

Wachezaji wa Coastal Union FC ya Tanga Kazi Kwenu na Utajiri ndiyo huu hivyo Kazeni leo ama mshinde au mtoke hata Sare tu mkicheza na Yanga SC Leo ili mle 'Bingo' hii ( hiyo ) ambayo naamini wengi wenu itaweza Kuwabadilishia hata Maisha yenu magumu mliyonayo na mkizingatia mpo huko Mkoani ambapo Pesa ni ngumu mno hadi mje huku Mjini Dar es Salaam.
Leo ndiyo utaijua Yanga na ukubwa wake. Hao viongozi wanashindwa kutoa hela kwa wanafunzi waliofanya vizuri wanatoa hela kwa ushubwada
 
Wachezaji 11 wawe matajiri kwa 50M?! We jamaa bhana. Hizo ni motivations tu za kawaida ila haziwezi kuwafanya wawe matajiri au wakizikosa eti watakua maskini hadi kufa kwao, nahisi we utakua maskini wa mawazo unataka kurithisha umaskini wako kwa hao wachezaji
Maajabu......na hapo bado na benchi la ufundi nao wamo kwenye mgao
 
Mpira ni uwekezaji ata Kama Cost wakiahidiwa nyumba kwakila mchezaji Kama hakuna uwekezaji na maandalizi ni kazi Bure.
 
Nakuonea huruma Makolos mnacmvyoteseka kwa ajili ya Yanga hii.. bac Leo muwalete wachezaji wa Mikia pia ili washirikiane na c,union kuifunga Yanga..

Mikia mnateseka kwa sababu gani wakati tushawaa.bia nyie endeleeni kukamatia nafasi ya 2 hyo kama si ya 3
 
Leo huko CCM Mkwakwani Tanga kuna ( ipo ) Shughuli Mkuu na Moto utawaka.
Na qudadeq hawa zomeazomea fc wana poteza ama kutoa kudroo leo, jumlisha na urejeo wa mzee wa kufent, hiii! Huruma sana! Cjui semaji la dunia atakua na hali gani.
 
hapo mnapigia mbuzi gitaa uto na hao wagosi wa ndima mdhamini wao ni mmoja
 
Back
Top Bottom