Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.

Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC leo.

Mfanyabiashara Maarufu na Tajiri mkubwa tu Bin Slum (Mdau wa Coastal Union FC ila pia ni mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.

Yanga naomba mtulie na mkihoji kwanini akina Malima na Ummy wanatoa Ahadi na Kugawa Pesa hivi nanyi jiulizeni kwanini Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi ( mwana Yanga SC ) na Mbunge na sasa kawa Naibu Waziri kama sijakosea Antony Mavunde ( mwana Yanga SC ) nao kwa Nyakati tofauti walitoa Ahadi kama hizi kwa Timu za Biashara United FC ( ya Mara ) na Dodoma Jiji FC ( ya Dodoma ) zilipocheza dhidi ya Timu wanayoichukia ya Simba SC.

Wachezaji wa Coastal Union FC ya Tanga Kazi Kwenu na Utajiri ndiyo huu hivyo Kazeni leo ama mshinde au mtoke hata Sare tu mkicheza na Yanga SC Leo ili mle 'Bingo' hii ( hiyo ) ambayo naamini wengi wenu itaweza Kuwabadilishia hata Maisha yenu magumu mliyonayo na mkizingatia mpo huko Mkoani ambapo Pesa ni ngumu mno hadi mje huku Mjini Dar es Salaam.
Wewe jamaa nilikuwa nakuheshimu kumbe Bure kabisa,yaani milioni hamsini ndo utajiri kwa timu nzima yenye watu takrinani thelethini! Waambie hao Makolo wenzio waongeze ofa ,sisi Yanga hayatuhusu na hatuwezi kulalamikia vitu kama hivyo.Ta ya ta ,tunawadonoaa.
 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.

Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC leo.

Mfanyabiashara Maarufu na Tajiri mkubwa tu Bin Slum (Mdau wa Coastal Union FC ila pia ni mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo.

Yanga naomba mtulie na mkihoji kwanini akina Malima na Ummy wanatoa Ahadi na Kugawa Pesa hivi nanyi jiulizeni kwanini Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi ( mwana Yanga SC ) na Mbunge na sasa kawa Naibu Waziri kama sijakosea Antony Mavunde ( mwana Yanga SC ) nao kwa Nyakati tofauti walitoa Ahadi kama hizi kwa Timu za Biashara United FC ( ya Mara ) na Dodoma Jiji FC ( ya Dodoma ) zilipocheza dhidi ya Timu wanayoichukia ya Simba SC.

Wachezaji wa Coastal Union FC ya Tanga Kazi Kwenu na Utajiri ndiyo huu hivyo Kazeni leo ama mshinde au mtoke hata Sare tu mkicheza na Yanga SC Leo ili mle 'Bingo' hii ( hiyo ) ambayo naamini wengi wenu itaweza Kuwabadilishia hata Maisha yenu magumu mliyonayo na mkizingatia mpo huko Mkoani ambapo Pesa ni ngumu mno hadi mje huku Mjini Dar es Salaam.
Mi nilidhani ungeendelea kukemea hayo mambo bila kujali watu wa timu gani wanafanya hayo mambo kumbe bure kabisa wewe[emoji3525][emoji3525][emoji3525]...kwa uzi huu bado nxt time vigogo wa Yanga wakiahidi hela timu inayocheza na Simba bado utalia lia?
 
Back
Top Bottom