Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

Wewe jamaa nilikuwa nakuheshimu kumbe Bure kabisa,yaani milioni hamsini ndo utajiri kwa timu nzima yenye watu takrinani thelethini! Waambie hao Makolo wenzio waongeze ofa ,sisi Yanga hayatuhusu na hatuwezi kulalamikia vitu kama hivyo.Ta ya ta ,tunawadonoaa.
 
Mi nilidhani ungeendelea kukemea hayo mambo bila kujali watu wa timu gani wanafanya hayo mambo kumbe bure kabisa wewe[emoji3525][emoji3525][emoji3525]...kwa uzi huu bado nxt time vigogo wa Yanga wakiahidi hela timu inayocheza na Simba bado utalia lia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…