Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiwaza nini?

Kama ni ivo angeanza kufa kim jong aka kiduku wa korea north. Jamaa anaogopwa na kuabudiwa shetani mwenyewe anaona wivu.
 
Muulize Lissu akuhabarishe, Mwendazake alikuwa ni uchwara wa kiwango gani![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
At least huyo Lissu ni mwenye akili. Amekuwa na msimamo tangu mwanzo na hajabadilika. Wanaojitokeza hivi sasa ni wajinga tu.
 
Acheni ujinga, hakuna anemtukuza wale aliekuwa akimtukuza zaid ya heshim na uoga kwa mkuu wa nchi

Ni kweli jamaa alikuwa akiogopeka hiyo sabbu ya ukali wake kwa wazembe na wapuuzi, so hata reactions za viongoz pindi akiwepo huyo bwana lazma ziwe za kusifu na kuogopa ili kumfurahisha bosi na kumpa heshima yake, tofaut na hapo wapinzani muache chuki na Uongo wakipuuzi kama mnahis jamaa alkuwa akiabudiwa bas mtakuwa hamumjui putin, xi jin pin, na kim wa north korea, hawa ndio hufanyiwa hizo munazotaka kutuaminisha kuwa ni sifa na kuabudu maana huko ni full udicteta,.

Nje na hapo, mzee magu alijuwa kuwanyoosha wapumbav mpka leo hamkomi kumuongelea, hiyo ni proof kuwa spana zake ziliwakolea[emoji23][emoji23]
 
Tuacha ujinga wa kusema watu waliotangulia mbele za haki.
Kifo ni funzo la sisi tuliopo, kifo ni ibada yenye tafakuli pana na wala sio sehemu ya kukejeli au kuwananga marehemu.
 
Huna ndugu zako waliokufa?je walisifiwa ndo wakafa?
Vipi watoto wadogo wanaokufa nao walibeba utukufu wa Mungu akawaua?,vipi mimba zilizoharibika zilijivuna hata Mungu akaziharibu?

Heri yako wewe mwema maana hutakufa.
 
Tuacha ujinga wa kusema watu waliotangulia mbele za haki.
Kifo ni funzo la sisi tuliopo, kifo ni ibada yenye tafakuli pana na wala sio sehemu ya kukejeli au kuwananga marehemu.
Kwa hiyo unawapangia watu la kutoa mawazoni mwao?Waache watoe sumu iliyotengenezwa na utawala dhalimu.
 

Mwendazake kashaenda
Kujadiri Mambo yake hakusaidii kitu mm nadhani sana atabaki kama reference kwa mazuri yake na mabaya pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…