Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiwaza nini?

Ana mabaya mengi kuliko mazuri
 
Kuna watu wanaojifanya miungu watu zaidi ya wachungaji wa makanisa haya yanayoitwa ya kiroho? Mbona hawafi sasa.

Acha kuhusisha kifo cha mtu na mambo ya kawaida. Wote njia yetu moja uwe raisi au uwe fukara
 
Alijivisha Utukufu wa Mungu, akina Kabudi na akina Mwanri wakaanza kumwita Mheshimiwa Mungu, naye kwa ujinga akawa anazungusha kashingo kake anachekelea kwa fahariiii...I mean kwa ujinga
 
Alijivisha Utukufu wa Mungu, akina Kabudi na akina Mwanri wakaanza kumwita Mheshimiwa Mungu, naye kwa ujinga akawa anazungusha kashingo kake anacheka kwa fahariiii
Unaweza ukawa na kavideo kake alivyokuwa anazungusha kashingo ili tupate kumsimanga mkuu?
 
Alikua na lengo zuri tu mbaba was watu, kwa nchi ilipofikia ilibidi awe mkali ili aweze kutimiza ilani yake
 
Kwamba hukuwah kulidhika na maneno kuwa hawezi kuongeza ata dakika 1 na ataendazake kulima kama Mzee Pinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua na lengo zuri tu mbaba was watu, kwa nchi ilipofikia ilibidi awe mkali ili aweze kutimiza ilani yake
Lengo zuri lililotaka kutimizwa kwa kuua,kutesa,kuteka,kupoteza na hadi kuua wengine ili utengeneze "regase"?#@?!#@*£’’’[]Β₯√
 
Umesahau hata papa Beneduct wa 16 alikufa zamani sana, utatuambia nini juu ya hili?
 
Lengo zuri lililotaka kutimizwa kwa kuua,kutesa,kuteka,kupoteza na hadi kuua wengine ili utengeneze "regase"?#@?!#@*£’’’[]Β₯√
Mbona unataja mabaya tu hakuna mazuri aliyoyafanya km miradi ya serikali kuitekeleza kikamilifu
 
magu ana nguvu sana nadhani
iwe kwa mabaya au mazuri ataendelea kuishi kwenye kurasa siku hadi siku
 
Magufuli tulimheshimu, hatukumuogopa.

Wahuni tu ndio walimuogopa maana alikuwa kiboko ya wahuni na vibaraka wote wa mabeberu.

He was a true Pan Africanist.

#kataawahuni
Hakuna pan africanist aliye kwapua fedha za umma na kugawa nyumba kwa vimada wake.
 
1. Vipi bashite
2. 1.5 trilioni je
3. Makanekia Noah mpaka vitumbua
5. Ununuzi wa ndege Nani anaujua

Kiufupi zee la ovyo sana limekopa kuliko rais yeyote huku likijitapa tunafanya kwa hela za ndani,
Limepeleka wapi hela lilizokopa?
 
Yeye aliyekufa mnamuona mshamba??
Nyie ambao hamjafa ni wajanja??
Kila mtu na Siku yake,hata ww unayeshangilia kifo Cha JPM,utakufa tu Siku moja.
 
Unashindana na kaburi huu ndio umasikini wa fikra !
Wanafikiri anawasikia 🀣🀣🀣🀣

Yaani wanamsema kama mwanamke anamfumbia hawara wa mumewe chumba cha pili! πŸ™†β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…