🤣🤣🤣🤣🤣Wewe umetengenezwa na mbowe na imeachwa kama mwamke mjane
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe umetengenezwa na mbowe na imeachwa kama mwamke mjane
USSR
Well mkuuHaya alishakufa miaka 2 sasa ilitosha kusifiwa akiwa hai. Mtu akifa na bado akaishi mioyoni mwetu hakika hakulazimisha kupendwa ila alipendwa kwelikweli. Tanzania watu waliowahi kupendwa wa kwanza ni magufuli akifuatiwa na nyerere
Umepiga panapouma aiseeKuna mambo yanafurahisha sana kwenye siasa!!
Hivi unaanzaje kumsema Mwamba yule kuwa hakuwa na ushawishi wowote majukwaani!?
Labda nikusaidie tu. Kuelekea uchaguzi wa 2025 tutajua kama Magufuli hakuwa na ushawishi wowote kwa Watanzania kama unavyotaka kutuaminisha hapa. labda ungesema Magufuli hakuwa mwanasiasa mzuri bali alikuwa Rais anayejituma, kufanya kazi kwa bidii na aliipenda nchi yake. Huenda alikuwa na madhaifu yake lakini yule mzee tuacheni unafiki alikuwa anapiga kazi. Na hadi vizazi na vizazi atabaki kwenye historia.
Sasa nyie mnaojiita wana demokrasia shangilieni sasa kwani sasahv hakuna rushwa, maisha ya wananchi yamekuwa mazuri, demokrasia imeleta watalii nchini, kodi na tozo hakuna tena, umeme na maji vinapatikana kwa wingi, deni la taifa limepungua na pia demokrasia imeimarisha uwajibikaji kwa mawaziri na watumishi wa serikali. Sasa hivi ukienda maofisini watu wanachapa kazi.
Ama kweli demokrasia imefungua nchi. Ripoti ya CAG inafanyiwa kazi kwani demokrasia imesababisha wala Rushwa wachukuliwe hatua za haraka. Machinga wanafanya biashara kwa uhuru. Nani kama Wapinzani walioleta maridhiano????
Magufuli kwakweli aende zake in Peace!
Aibu aione mama yakoAcha uongo, huoni hata aibu!
🤣🤣🤣 Nyani haoni kunduleKwani ninyi huwa inakuwaje mnapoongozwa na mwenyekiti huyo huyo miaka yote?
Alikutwa baharini kwenye kiroba ?Hakuna utawala ambao haujawahi kuua, kuteka wala kupoteza watu kwa africa
Katiba zetu mbovu ndiyo zinawafanya watawala wafanye wanavyotaka
Kwani Dr mwamboka alitekwa kwenye utawala wa Magufuli? Na Mawazo aliuwawa kwenye utawala wa Magufuli?!
Dah! Umepiga panapouma akikujibu nitagMimi siyo mwanasiasa,Ila ukweli Ni kwamba hata mbowe ni mungu wenu pale chadema.
Na ameisimika vema ideology yake maarufu ya "Mimi ndiye chadema na chadema ndiyo mimi. Nitakufa nikiwa mwenyekiti,Mimi ndiyo mbowe".
Hiyo ni ibada kamili, vinginevyo neno ibada umelipa maana yako ya kujitungia,tofauti na uhalisia wake.
Toeni kwanza hilo boriti kabla hamjamtaja Magufuli kila saa.
Siasa zenu bongo mmeweka unafiki mbele.
Kwa comment yako hii jamaa anathibitisha alichokisemaMbowe anaingiaje hapa,huyu mtu hakauki midomoni na akilini mwenu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nimependa ulivyoiweka. Waulize kwamba ni kwa nini wanataka kuua legacy ya Magufuli? Sababu iko wazi, wanataka ikifika 2025 asiwe anatajwa tena mana itawapa tabu dhidi ya wananchi ambao wameshatambua kila kinachoendelea na watalinganisha. CCM inakosea sana kuacha JPM abomolewe hivi, watataka kumtaja vizuri wakati wa uchaguzi lkn itakuwa too late!Kuna mambo yanafurahisha sana kwenye siasa!!
Hivi unaanzaje kumsema Mwamba yule kuwa hakuwa na ushawishi wowote majukwaani!?
Labda nikusaidie tu. Kuelekea uchaguzi wa 2025 tutajua kama Magufuli hakuwa na ushawishi wowote kwa Watanzania kama unavyotaka kutuaminisha hapa. labda ungesema Magufuli hakuwa mwanasiasa mzuri bali alikuwa Rais anayejituma, kufanya kazi kwa bidii na aliipenda nchi yake. Huenda alikuwa na madhaifu yake lakini yule mzee tuacheni unafiki alikuwa anapiga kazi. Na hadi vizazi na vizazi atabaki kwenye historia.
Sasa nyie mnaojiita wana demokrasia shangilieni sasa kwani sasahv hakuna rushwa, maisha ya wananchi yamekuwa mazuri, demokrasia imeleta watalii nchini, kodi na tozo hakuna tena, umeme na maji vinapatikana kwa wingi, deni la taifa limepungua na pia demokrasia imeimarisha uwajibikaji kwa mawaziri na watumishi wa serikali. Sasa hivi ukienda maofisini watu wanachapa kazi.
Ama kweli demokrasia imefungua nchi. Ripoti ya CAG inafanyiwa kazi kwani demokrasia imesababisha wala Rushwa wachukuliwe hatua za haraka. Machinga wanafanya biashara kwa uhuru. Nani kama Wapinzani walioleta maridhiano????
Magufuli kwakweli aende zake in Peace!
Mlevi mbwa! unashabikia ulevi kwenye kifo cha mtu. Ndiyo tabia kama zako za uvivu na unywaji pombe kumkomoa mtu zinazoturudisha nyuma kama taifaNchi ilizizima Kwa furaha alipokufa watu mabaa yalifunguliwa upyaaaaa na yaliyobakiza wanywaji wawili kufumba na kufumbua kukawa na wateja kama wote Arusha mbeya dar acha kabisa Arusha ngombe na mbuzi walichakaa!
Madikteta wote huitwa kwa sababu tu ya propaganda ya vyombo vya Magharibi. Huyu JPM ni nyumbu tu ndo walimwita hivyo kutokana kasi yake ya kuleta vitu vya maendeleo binavyoonekana. Wao waliamua tu wamchafue kwani aliwafunika hawana la kusema, yale yote waliyowish yafanyike magu aliyafanya so mwishowe walikosa hoja. Huyo ndo JPMMagufuli alikuwa dikteta. Madikteta wote duniani sifa yao ni kuwa na watu wa kuwatukuza na kuwasifu. Ndiyo maana alifanikiwa. Namfananisha Magufuli na Chavez. Wote walikuwa populist waliodhani wanasaidia nchi zao kumbe wanaziletea majanga makubwa.
Kama Chavez alivyofia madarakani Magufuli naye alifia madarakani. Tofauti ndogo kati ya hawa wawili ni kuwa Chavez alikuwa na mrithi anaeendeleza ujinga wake. Magufuli alikuwa bado hajaanda mrithi wa kueendeleza udikteta wake
Usishindane na aliyejaaliwa , halafu wala hata sikumbuki kama nilishinda chochote JF , lengo la mimi kuandika jf ni kuelimisha tu , sikulenga kushinda chochoteErythrocyte sijui ulishindaje tuzo ya JF mpaka ilibidi niulize, kumbe kusifia chadema tuu ht kama wanafanya upumbavu kunaweza kukupa tuzo.
Kuelimisha ni kwenye jambo la upande mmoja tuu ht kama upande mwingine ukifanya mazuri.?Usishindane na aliyejaaliwa , halafu wala hata sikumbuki kama nilishinda chochote JF , lengo la mimi kuandika jf ni kuelimisha tu , sikulenga kushinda chochote
Na siwezi kushindana na aliyejaliwaUsishindane na aliyejaaliwa , halafu wala hata sikumbuki kama nilishinda chochote JF , lengo la mimi kuandika jf ni kuelimisha tu , sikulenga kushinda chochote
Kwa mfano uzi huu si ni wa ccm na Magufuli , au umeona Chadema hapa ?Kuelimisha ni kwenye jambo la upande mmoja tuu ht kama upande mwingine ukifanya mazuri.?
Ww jamaa bhana dah, sasa hy ccm na huyo Magufuli umezungumziaje.? Ww huon kuwa umeweka chuki.? Kwan hakuna mazuri yao.?Kwa mfano uzi huu si ni wa ccm na Magufuli , au umeona Chadema hapa ?
Mkuu 'Erythro'; nimekuja kutambua uwezo wako mkubwa wa kuibua mada zenye uzito mkubwa sana, hata pale inapokuwa wewe umelalia upande wa pili, tofauti kabisa na mada unayoianzisha.
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi , lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni , yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni , kwamba angalau pamoja na kuiba kura , angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague .
Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho , hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni , maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia , hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa , ni kulinda imani kufa na kupona , kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi , kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa , jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona .
Kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee , wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo ccm , hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki , mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa ?
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .
Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima ?