#COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

Hata Amne (RIP) watakuwa wamemsingizia tu hajafa kwa Corona.

Corona haipo.

Ila ngoja tunyooshe jinga moja moja. Tutaelewana mbele kwa mbele.
 
Cases 6 out 7 according to WHO aren't detected in Africa as of today.

Hii ni factor popote kwenye maelezo yako? Kama huna hayo ndiyo mavi yenyewe sasa!

Magufuli anapaswa kupongezwa na wapumbavu. Bado pia ni pongezi. Au nasema uongo ndugu yangu?
Kiongozi mpenda watu kama Magufuli hatutakuja kumpa kwa miaka mingi ijayo, tutaishia kupata puppet leaders kama huyu wa sasa kwa miaka mingi ijayo
 
Kiongozi mpenda watu kama Magufuli hatutakuja kumpa kwa miaka mingi ijayo, tutaishia kupata puppet leaders kama huyu wa sasa kwa miaka mingi ijayo

Jipe moyo ila damu nyingi ina mlilia:

Wengi wenu mmezoea madili ya wizi na kufanya mambo bila kufuata utaratibu ndio maana mnamwona jpm mungu. Watanzania tujifunze kufuata taratibu. Unaona kuna mambo SSH alikuwa anakokotwa tu lakini sasa mnaona hakubaliani nayo baada ya kuwa huru:
1. Sabaya: Mwendazake angekuwepo huyu leo angekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro au Arusha, lakini kumbe ni jambazi la kutumia silaa, asante Mungu kwa jambazi hili lipo pale linapostahili kuwepo na litakuwa pale kwa miaka 30!
2. Kodi za kulazimisha:...
3. Kuficha corona:..
4. Kuficha takwimu halisi, mfano hasara ya bilioni 150 kule ATCL,
n.k.
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea dhahama zote hizi. Najua mnomsapoti jpm mlikuwa mnafaidika na hovyo yake sasa mjifunze kuwa na utaratibu na utu!
 
Leo hii mtanzania yeyote hata Kikwete akijaj mjini Dar, lazima atapita kwenye mkeka ulioachwa na Dkt Maguful
Kwenye barabara Kikwete ndiye alijenga kilomita nyingi kuliko za wengine wote ukiziunganisha pamoja.
 
Wengi wenu mmezoea madili ya wizi na kufanya mambo bila kufuata utaratibu ndio maana mnamwona jpm mungu. Watanzania tujifunze kufuata taratibu. Unaona kuna mambo SSH alikuwa anakokotwa tu lakini sasa mnaona hakubaliani nayo baada ya kuwa huru:
1. Sabaya: Mwendazake angekuwepo huyu leo angekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro au Arusha, lakini kumbe ni jambazi la kutumia silaa, asante Mungu kwa jambazi hili lipo pale linapostahili kuwepo na litakuwa pale kwa miaka 30!
2. Kodi za kulazimisha:...
3. Kuficha corona:..
4. Kuficha takwimu halisi, mfano hasara ya bilioni 150 kule ATCL,
n.k.
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea dhahama zote hizi. Najua mnomsapoti jpm mlikuwa mnafaidika na hovyo yake sasa mjifunze kuwa na utaratibu na utu!
Maelfu yapi Mkuu au tunabeba hadi takwimu za Ecuador na Brazil?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, katika kuhandle issue ya Covid 19 JPM alijitahidi sana.
Haki ya jpm ni jela kama yule jambazi aliyeibia na kutesa watu kwa maagizo ya jpm.
 
Mkuu mimi mwenyewe yapo mambo ambayo sikukubaliana na JPM lakini sio kila kitu alikosea, uchumi wa dunia umeanza kufunguka je Covid 19 imeisha? Mbona curfew zinaondolewa? Msimamo wa kuruhusu watu wasifungiwe wakatafute mkate wao wa kila siku, hapa aliwajali Watanzania.

Mama kwa upande wake anafanya vizuri sana kwasababu kuna vitu havikuwa vizuri na anavibadilisha.
 
Tena alijitah Sana, jumatano iliyopita wakenya ndo wametolewa marufuku ya kutembea usiku, walifurahi mno , hata wanaovaa barakoa Kenya ni wachache mno , wanabaki polisi kuwafukuza wananchi et wavae barakoa kwa Hilo suala la Corona Magufuli alishinda pakubwa kuliko Rais yeyote Afrika na duniani
 
thread zozote zinazomzungumzia huyo kichaa ni za kudelete tu
 
Kwani Kabla ya Magufuri watu walikuwa hawafi?Dkt Sengondo Mvungi alikufa lini,Mwandishi wa abari Daudi Mwangosi,akina Dkt Horimboka walingolewa kucha na meno bila ganzi,watu wengi walikufa ata utawala wa Kikwete, uwezi kuzingua , serikali makini ikakuacha, utawala wote wako hivi,ni eli Mtu mmoja apotee kuliko kuangamiza taifa,Mwanadamu anapita lakini taifa linaendelea, Ndio maana Sasahivi Mbowe yuko nyuma ya nondo kwa kesi ya ugaidi,akipatikana na atia anapotezwa.
 
We umeleta ubunifu gani? Au utushauri hapa njia bora ya kupambana na Covid kama huna basi kaa kimya tu Covid haikuletwa na JPM muache apumzike.
 
Ndo kusema corona si ugonjwa unaoua bali watu kwenye nchi za wenzetu walikufa kutokana na kutangaziwa uwepo wa ugonjwa huo na kuwekwa lockdown na kwamba sisi tulisalimika kutokana na msimamo wa Magufuli. Seriously?
Hayo umesema wewe, lakini nikwambie hata walioweka lockdown wamekufa sana inawezekana ndo wamekufa wengi zaidi.

Uweke lock down nchi kama hii ambayo mtu asipotoka nyumbani hali, watu watakufa kwa njaa badala ya Covid.
Punguzeni kulaumu JPM hiyo lock down haikuwa na tija na wala haina tija ndio maana nchi nyingi zimeondoa lock down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…