Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Achana na hao wajinga, wanajikuta wanamchukia JPM hata kama hoja yake ilikuwa na mantiki lakini kwa sababu wao hawampendi hata alichosema kwa maslahi ya nchi nacho wanakichukia.Magufuli kwenye covid aliona mbali na alijitahidi sana.
Magufuli hakutaka kuwajaza watu hofu na ujinga maana covid ipo tu. Hofu siku zote ni mbaya kuliko ugonjwa wenyewe.
Kwenye covid Magufuli anapaswa kupongezwa 100%.
WHO inasema covid itaendelea kuwepo labda hadi 2025 huko, miaka yote hiyo ungefungia watu ndani wasile chochote eti covid, hizo ni akili au matope.
Toka Covid imeanza mwaka juzi mwishoni imeua watu milioni 4, njaa huua watu milioni 18 kwa mwaka, kwa hiyo kwa miaka 2 hii njaa tayari imeua watu milioni 37 huku covid imeua watu milioni 4, kwamba vifo vya covid ni muhimu kuliko vifo vya njaa?
Mlitaka Magufuli afungie watu ndani wafe kwa njaa kuliko kufa kwa covid? Hizo akili ama mavi?
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuweka locke down nchi kama hii ambayo mtu ili apate chakula lazima atoke kwenda kutafuta, ukiweka lock down unawaua watu wengi zaidi