Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

Sawa ila kwa mda gani? Kumbuka hospital zote hazijaanza na ushahidi ninao so Rais ana mzigo wa kuzimalizia na zianze huduma na kujenga mpya.

Kimsingi kwa sasa kila wilaya imepata hospital za Wilaya Kazi ya mama ni vituo vya afya na zahanati .
Watu wanabeza juhudu hizi za Mama, tuweke political interest pembeni kazi na juhudi inaonekana,
 
Rais Samia ukiacha kwamba ameanza kuwalipa posho madiwani,wenyeviti wa vijiji/ mitaa,maafisa tarafa nk lakini pia serikali yake imetenga bil.149 kwa ajili ya kuanza kutoa bima kwa wote na wamesema wataanza na makundi ya vipaombele sasa hili ni jambo jema.
 
Watu wanabeza juhudu hizi za Mama, tuweke political interest pembeni kazi na juhudi inaonekana,
Tozo zimewachanganya na wanaofanya haya kama kawaida ni chadema na mataga/wafuasi wa Magu alnaarufu wazee wa legacy πŸ˜†πŸ˜† lakini ni WA kupuuzwa maana matokeo yanaonekana na walitegemea ashindwe.

Mwisho huko kwenu Mwanza nimeona kuna muwekezaji anataka kujenga ghorifa 22 hatutakujywa maji 😝😝
 



No, alizungumzia budget sio Vituo vilivyokamilika tu,
Tunaposema vituo 487 maana yake hata vile ambavyo bado havijasimama ila pesa ipo tunaaccount kama tayari kipo,
 


😡😡
 


Facts, Shida wapigaji wa hii nchi ni hatari,
 



Andika tu Kiswali tutakuelewa mkuu,
 
Miradi mingi ya afya site zipo on, na hela znafika kwa wakati, vituo vya afya vikiwa vingi itakuwa rahisi kupata huduma za afya..and hence will rise our life expectancy... hongera sana MH. Raisi. KAZI IENDELEE πŸ‘



πŸ€›πŸΏ πŸ€›πŸΏ πŸ€›πŸΏ πŸ€›πŸΏ
 


πŸ€›πŸΏ πŸ€›πŸΏ πŸ€›πŸΏ
 


πŸ€›πŸΏ πŸ€›πŸΏ πŸ€›πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…