Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

Tutamsema hadi asikie huko makaburini. Na kabiri lingechapwa viboko, na Serikali inajua ndo maana linalindwa. Mbona la Mkapa halilindwi kwa SMG. Magufuli anaweza fukuliwa akachomwa moto ndo maana kaburi linalindwa kwa Silaha za kivita
[emoji2962] duh!
 
Not next, Magufuli was Lucifer himself! In fact Magufuli alitenda maovu ya ajabu hadi kupelekea hata mashetani wengine walibaki midomo wazi wakimshangaa!
Asante Mungu
[emoji2957][emoji51]
 
Hakika ntamshukuru Mungu daima kwa zawadi hii aliyotupa kwani alituonesha kwa vitendo kuwa tukiamua inawezekana, hakuna asie na makosa wala alie mkamilifu Mungu amlaze mahali pema Rais wetu mpendwa JPM kwa utumishi wake uliotukuka.
Alianzia mbali sana [emoji26][emoji22]
 
Kuna watu humu wanaamini wasipoanzisha uzi wa kumkandia Magufuli hawatapata replies za kutosha, ndo maana ili uwe maarufu humu we mkandie Magufuli tu

Lakini wenye hekima hufahamu kuwa "kitanda kinacholia ndiyo kibovu"

Kama kumkandia Magufuli kunaleta umaarufu, basi acha iwe hivyo.
 
Subili mda ufike utakuambia. RIP King, katufumbua sana na watakuja makufuri wengi baadae. Mpira ndokwanza kipindi cha kwanza. Wait my call [emoji338]
Umesha zoom mzee[emoji3166]
 
Kweli wewe sio mfuatiliaji wa Mambo.

Rejea Kauli ya Lema iliyosababisha mpaka akawekwa gerezani! Kwamba asipoacha anayoyafanya Atakufa na akaenda mbali zaidi kusema ameota jamaa amekufa! Ikawa issue yamkini yeye alikua miongini mwa waliomlilia Mungu kwa kadhia aliyoleta Duniani!
 
Kuna watu humu wanaamini wasipoanzisha uzi wa kumkandia Magufuli hawatapata replies za kutosha, ndo maana ili uwe maarufu humu we mkandie Magufuli tu

Lakini wenye hekima hufahamu kuwa "kitanda kinacholia ndiyo kibovu"
Yaani mpaka leo huwezi Amini..Kuna mtu anateseka about the Past.
Huku nikujionesha ngozi nyeusi ni laana na haitokaa iendelee.

Mambo yalisha pita lakini unakuta Kunguru bado anarudia rudia thread za mambo ya miaka ya nyuma.

Kenya mwaka 2008 walichinjana kama kuku lakini huwezi ona kwenye Forum zao wakijadili mambo ya Nyuma ya kuchinjana kwao.

Ila ninyi watanzania wale machawa wa Taifa msio penda kulima kwenda shamba.

Kutwa kujipendekezaa.

Mtajaliwa ohooo.
 
Hayawezi kupita hivi hivi wakati bado kuna watu wenye akili kama zake bado mpo.
 
Binadamu tupunguze kiburi cha Uhai, maisha ni Mapito tuishi kwa wema. Wapinzani wa CCM sio Magaidi. Siasa si Uadui.[emoji1752][emoji817][emoji818]

Hata ccm wenyewe sio magaidi.
 
ALIKUWA ANATAKA KUWA RAIS WA MALAIKA.

AKINA KABUDI, SHEHE WA DAR, NA WAJINGA WENGINE WENGI WALIMWITA...

Magufuli ni zaidi ya Mungu
Ila kufuru zilizidi jamani. Binadamu kufikia kuitwa "MUNGU" na hashituki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…