Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

Kuna watu humu wanaamini wasipoanzisha uzi wa kumkandia Magufuli hawatapata replies za kutosha, ndo maana ili uwe maarufu humu we mkandie Magufuli tu

Lakini wenye hekima hufahamu kuwa "kitanda kinacholia ndiyo kibovu"
Umeongea kitu muhimu sana.Watu wana stress sana za maisha,twende nao hivyo hivyo Mkuu.
 
Tutamsema hadi asikie huko makaburini. Na kabiri lingechapwa viboko, na Serikali inajua ndo maana linalindwa. Mbona la Mkapa halilindwi kwa SMG. Magufuli anaweza fukuliwa akachomwa moto ndo maana kaburi linalindwa kwa Silaha za kivita
Lakini Mkuu wewe kwa haya hii comment unaonekana ni very powerful,unaogopa nini kwenda pale Chato? Fika getini,wafokee wote wakupishe uingie mahari alipozikwa ukamfukue na kumchapa viboko.Vinginevyo hili povu la maneno matupu tena ukiwa na ID ya uwongo ni dalili ya uwoga mkubwa
 
Hata wewe ukifanya ubaya sitakuonea haya hata kidogo. Hata Rais Samia abolonge nitalala naye mbele. Sionei soni uovu. Pole sana. Sitabiriki
Huu ujasiri wa kujificha nyuma ya ID fake na kuonges utakavyo kila mtu anao.
 
Achana na mambo Lema na hizo tabiri zake sijui ndio unabii. Mimi nipo hapo kwenye kumshtakia Mungu, sijawahi kusikia Lema akisema anamshatakia Mungu kuhusu Magufuli bali haya mambo yanaongelewa baada ya kuona Magufuli kafariki.
 
Ulikua ni ujinga mwingi uliofanywa na mtu asiye na maarifa
 
Hiyo picha inaonyesha mke wa magufuli amenenepa
 
Ni jambo zuri kujiona kama Baba wa Taifa. Baba wa Taifa alikuwa ni kiongozi mzuri aliyeishinda tamaa ya mali. Kwa hiyo kiongozi anapojiona kama Baba wa Taifa ni jambo zuri maana anakuwa amemfanya Baba wa Taifa kuwa mfano wake wa kuiga.
 
Watu wanasahau mkuu, mbona kipindi cha Mkapa yalitokea mauwaji polisi waliuwa sana raia ila wamesahau na hata ukiwakumbusha watakwambia hayo ongelea wewe wao wanazungumza maovu ya Magufuli tu.
 
Akaanza watuma Kibajaji na Musiba wampigie Kampeni ili aongozezewe muda wa Uongozi kutoka miaka 10 hadi 40...Mbavu zangu.... alitaka kujigeza PAPA hadi afie madarakani..
 
Acha kuomba undugu kwa figganigga , yaani una mlailai ili asiongee ukweli?
Muache afunguke, hata yeye kama Mtanzania ni mhanga wa awamu ile
 
Una aleji na jiwe
 
Ni jambo zuri kujiona kama Baba wa Taifa. Baba wa Taifa alikuwa ni kiongozi mzuri aliyeishinda tamaa ya mali. Kwa hiyo kiongozi anapojiona kama Baba wa Taifa ni jambo zuri maana anakuwa amemfanya Baba wa Taifa kuwa mfano wake wa kuiga.
Baba wa Taifa... nani, huyu DIKTETA NDO KATULETEA YOTE HAYA.. tulipo pata uhuru tu, likatunga katIba inatutesa mpaka leo likatawala lenyewe.. kura tunapiga mtu na KIVULI...SHENZI KABISA....
 
Baba wa Taifa... nani, huyu DIKTETA NDO KATULETEA YOTE HAYA.. tulipo pata uhuru tu, likatunga katIba inatutesa mpaka leo likatawala lenyewe.. kura tunapiga mtu na KIVULI...SHENZI KABISA....

Mazingira yalikuwa yanahitaji maamuzi kama aliyofanya.

Mwalimu alichukua nchi ambayo haikuwa na utaifa.

Huwezi kuruhusu kelele nyingi wakati unapotaka kujenga utaifa.

Ni rahisi kujiona mjanja sasa hivi ukachukulia poa Tanzania unayoiona sasa hivi ambayo tunaongea Kiswahili mimi na wewe na tunaelewana.

Nchi zingine nyingi waafrika wanaelewana kwa lugha za wakoloni wao tu.
 
Kwa hiyo naye Magufuli alikuwa sahihi kwa alicho kuwa anafanya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…