Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Kiongozi wa upinzani aliyeshiriki mazishi ni mrema tu kwanini sio chadema tuanzie hapo halafu tuingie kwa mlinzi wa dkt slaa kujeruhiwa na red bridged chumba cha siri!
Mimi na viongozi wa Chadema tulikuwepo kwenye mazishi yale , ndio maana kwenye makala hii tumeomba sana ukiweka jambo uwe na ushahidi , chama kilichofurumushwa na wananchi kingewezaje kushinda uchaguzi wa marudio ? jiangalie sura halafu jicheke kidogo .
 
Mahakama ilimkuta Mbowe ana Kesi ya kujibu ya Ugaidi

Mama akamuonea huruma hivyo DPP amemweka Chini ya Uangalizi 🐼🔥
 
Viongozi wa Chadema waliokuwepo ni Halima Mdee, Esther Bulaya, Lazaro Nyalandu na Mchungaji Msigwa 😂😂
 
Andiko reeeeefu lakini uchafu mtupu

Hayo ni maoni yako. Hatahivyo huna pa kusimamia kwa sababu umehemeka tu.

Ukweli ni Kwamba Wazungu ndio walianzisha kampeni ya Kumchafua. Wewe ni wakala wao. Na sio kampenibya kumchafua tu, bali na Psychological wafrare.

CHADEMA kama vibaraka wa Hawa wazungu nao wamenga'a ng'ania hapo hapo-kuendeleza kampeni za kupaka matope kwa lengo la kuwafanya Vijana wasiwe na mawazo ya Kujitawala kwa Uhuru wa Ukuu wa Taifa.-Sovereign integrity for lack of a better word.

Magufuli alikuwa na Sovereign Integriry, vita mnayompiga, matusi mabaya n.k ambayo nina Uhakika huwa yanawafanya hamlali kwa raha, Indirectly yanalengwa kwa vijana kuwa na Fikra hizo. Kuwa huru.

Mchafu Mbowe atubu dhambi zake na asijifiche kwa kutaka asamehewe nyuma ya pazia ya Maridhiano.
 
Yaani bado mnashindana na mtu aliyekwisha fariki?kweli mzimu wa Magufuli ni mkubwa kuliko hivyo vyama vyenu ovyo.
 
Viongozi wa Chadema waliokuwepo ni Halima Mdee, Esther Bulaya, Lazaro Nyalandu na Mchungaji Msigwa 😂😂
Ukilewa usiandike jf , utachekwa , lazaro Nyalandu na Bulaya waliingia Chadema lini na Wangwe alizikwa lini ? uzi huu utawadhalilisha wanafiki wote !
 
Muongo mkubwa matapeli wakubwa walipeni wale waandishi wa habari huna lolote hakuna aliyetia pua pale mimi nilikuwepo nikiwa na kiongozi wangu Mrema hatukuona chadema yeyote baada ya wakurya kupandisha mori!
 
Thibitisha .
 
Yaani bado mnashindana na mtu aliyekwisha fariki?kweli mzimu wa Magufuli ni mkubwa kuliko hivyo vyama vyenu ovyo.
Hawa watu ni wajinga huwezi amini yaani, Chadema huwa wanasema eti imekusanya watu wasomi, wasomi gani aina hii, watu ambao badala ya kumwaga sera zao, wanamuongelea hayati?

Jinga sana aisee
 
Hawa watu ni wajinga huwezi amini yaani, Chadema huwa wanasema eti imekusanya watu wasomi, wasomi gani aina hii, watu ambao badala ya kumwaga sera zao, wanamuongelea hayati?

Jinga sana aisee
Kuna nyuzi 20 zinakuja bakisha matusi usije ukaishiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…