Alilazimishwa na nani? Kikwete?
Ndio na Kikwete mwenyewe juzi kati akiwa Arusha kwenye mkutano na vijana alikili wazi kuwa ndie aliempendekezea Magu juu ya Makamu wa Rais kuwa Mwanamke na akampendekeza Samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alilazimishwa na nani? Kikwete?
Chuki zenu za yeye kuwa mwanamke zitawatesa mpaka uzeeni.Hakuna statement inaniudhi kama hiyo eti anapotoshwa na walio mzunguka, ila kadiri wanavyozidi kuihubiri ndo wana admit alichokisema mtoa mada kwamba ndugu yetu ni empty set maana anapelekeshwa tu yeye hana anachokijua
Kuna muda ni vizuri ukajitahidi sana hata kama unasikia unawashwa sana basi funga na kumuomba Mungu wako akusaidie usionyeshe ujinga wako kwa watu. Tunajadili kiongozi wala sio jinsia yake ila kwa sababu wapambe na walamba nyayo wake mmekosa hoja za kujibu mnaibukia kwenye jinsia mara dini n.k. Waambieni waliowatuma kwamba kazi ya kumtetea ni ngumu kama kuuza nguo za jeshi sokoni maana haziuziki.Chuki zenu za yeye kuwa mwanamke zitawatesa mpaka uzeeni.
Ni misingi ipi hiyo ndani ya CCM?Kwanini amchague mtu anayemtaka yeye?. Hakuna rais aliyeweza kuweka mrithi wake anayemtaka mwenyewe.
Alishindwa Mwalimu Nyerere kumuweka Salim Ahmed Salim angeweza JPM ambaye hakuwa na misingi ndani ya CCM?.
Ukiona mtu amekataliwa na Magufuli ujue huyo mtu ni takataka.Kwenye mkutano mkuu wa ccm 2020 Magufuli alisema wazi kabisa kwamba yeye chaguo lake namba moja la mgombea mwenza alikuwa Hussein Mwinyi ila wazee wakamchagua Samia yeye hakumpenda kabisa ila chama kiliamua
Kazi ya kumtetea haina ugumu wowote. Yupo tofauti sana na mtangulizi wake.Kuna muda ni vizuri ukajitahidi sana hata kama unasikia unawashwa sana basi funga na kumuomba Mungu wako akusaidie usionyeshe ujinga wako kwa watu. Tunajadili kiongozi wala sio jinsia yake ila kwa sababu wapambe na walamba nyayo wake mmekosa hoja za kujibu mnaibukia kwenye jinsia mara dini n.k. Waambieni waliowatuma kwamba kazi ya kumtetea ni ngumu kama kuuza nguo za jeshi sokoni maana haziuziki.
Juzi alisema Kenya wamekimbilia kuwekewa bendera kwenye jengo refu la Dubai kumbe iliwekwa toka 2019.Samia + intellect?
You serious?
Uko sahihi Kabisa mkuu...Uliona wapi mtu anachagua msaidizi smart kuzidi yeye
Na Magufuli alikuwa chaguo la nani.?Kikwete kathibitisha hilo. Maza alikuwa ni chagua la JK. As we all know, JK huwa anaangalia sura kuliko uwezo. Hasa kwa hiyo jinsia. Teuzi zake nyingi zilisababisha kudilute hai ya ngazi nyingi serikalini hasa Ukuu wa Wilaya.
Nakubaliana na wewe 100 %. Hawa failures wa O level hawawezi kuwa na akili au uwezo ya kuongoza Taifa.Hili Jambo nililisema humu hata kabla ya DPW.
SSH alichaguliwa Kwa sababu,
👉Ni Mdhaifu
👉Ni mzanzibar
👉Ni Mwanamke.
Bahati mbaya sana Rais JPM Kwa Uwezo wake mkubwa alokua nao, haikua shida kwake, TATIZO NI KIFO CHAKE, KIFO CHA JPM, NA KATIBA MBOVU, NDIO VIMETUUZIA MBUZI KWENYE GUNIA
Wewe mtu kasoma Kwa kufelifeli weeeeee mpaka hapo alipo.
Hawa kiasili wanakuaga na ujuha wa kuzaliwa, wadhaifu na waoga, Watu Hawa Huwa kwenye kutafuta UKUU, wapo radhi kufanya mambo ya Hatari sana, Kwa sababu wanajua, hawana Uwezo na hivo muda wote wanahisi kudharauliwa .
Hali kama hii, huwafanya kutumia Kila Silaha wanayoweza ,kupambana na mtu anayeonekana ni Tishio !!.
Angalieni Genge lilomzunguka, Genge Zima, ni watu wanaofanana kielimu , Sasa unategemea Nape au Makamba, Wamshauri nn??
Hakujawahi kutokea kua na Rais mbovu kama huyu !!!.
Sahizi tuna makesi mengi mahakaman, hayo yote unaambiwa, Ni makosa ya JPM...Alaaaaa!!.
JPM alipokua hai, hizo kesi uchwara mbona hazikuwepo???.
Tuna Kiongozi mbovuuu kushindwa hata ubovu wenyewe
He was a chancer. Jackpot inimuangukia.Na Magufuli alikuwa chaguo la nani.?
haha watu mnachekesha nyie, ni nani wakumshinda samia 2025?Una mawazo ya kitoto kabisa wewe, bila shaka ni Nape mwenyewe. Lete hoja acha vitisho Samia hafai kuwa Rais, ana uwezo mdogo sana. Msijidanganye kwamba mambo yatakua "mserereko" kwenye uchaguzi wa 2025
Mtu huyo ni Rais Samia!
Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani].
Kamala yeye alichaguliwa na Biden kuwa mgombea mwenza kwa sababu ni mwanamke mweusi [ingawa kiuhalisia ni chotara wa Kihindi na Kijamaica].
Kamala ni mweupe kabisa. Yaani hovyo to the nth degree. Anaongeaga mashudu tu [word salads].
Hana kabisa uwezo wa kuongoza. Yeye ni kucheka cheka tu na kuongea mambo yasiyoeleweka.
Ukimwangalia Biden, unaona kabisa jamaa anapaswa awe nyumbani. Kazi ya urais wa Marekani kwa sasa haiwezi.
He is a creepy old guy. Hebu angalia hapa
Hivi alikuwa anafanya nini hapo kwa hako katoto? Na hiyo ni wiki iliyopita alipokuwa Finland baada ya kutoka Lithuania kwenye mkutano wa NATO.
Biden muda wowote anaondoka. Iwe kwa kujiuzulu, kuamua kutogombea tena muhula wa pili, au hata kufa [ingawa kifo hakina mwenyewe].
Wazo la Kamala kuja kuwa Rais wa Marekani endapo Biden ataondoka, linatisha watu wengi sana.
Haya, tuje kwa huyu wa kwetu hapa.
Huyu naye alichaguliwa kwa sababu ya identity politics tu. Ni mwanamke na ni Mzanzibari.
Kwa ninayoyaona, ni mtu asiye na uwezo wa kiuongozi ngazi ya Rais wa nchi.
Hakuchaguliwa kutokana na sifa zake za kiuongozi.
Inavyoonekana Magufuli alikuwa anataka sifa ya kuwa na mgombea wa kwanza wa CCM kumchagua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake.
Haiwezekani kabisa kuwa Samia alichaguliwa kutokana na sifa zake kiutendaji [kwa sababu hana].
Jahazi limeshamshinda hivi sasa. Kabaki kutoa vitisho na kutumia dola kukabiliana na wanaompinga.
Na ukiongeza na inferiority complex aliyonayo kutokana na jinsia yake, ndo kabisa anakuwa paranoid kwamba kila anayempinga, anafanya hivyo kwa kusukumwa na chuki dhidi yake kwa sababu yeye ni mwanamke!
Rais Magufuli hakuwa kiongozi mzuri. Nilishasema mara nyingi tu kuwa yeye alikuwa msimamizi/ mnyapara mzuri.
Yeye mpe kazi au mradi ausimamie, halafu umpe mamlaka ya kutosha kuweza kufanya maamuzi ndani ya ukomo fulani, utampenda maana hakuwa wa mchezo mchezo.
Sidhani kabisa kuwa Magufuli aliwaza kuhusu yeye kuishia njiani na kumwacha Samia ndo awe Rais.
Nadhani alidhani kuwa atamaliza vipindi vyote viwili na kustaafu kama walivyofanya waliomtangulia.
Lakini haikuwa hivyo. Tumeachiwa huyu Samia.
Makamu wa Rais, Dkt. Mpango, kwa mtazamo wangu, ni bora mara 100 kuliko Samia [I got bars too 😀].
Alaumiwe kikwete.ndo aliyemleta huyum saa100Mtu huyo ni Rais Samia!

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango, kwa mtazamo wangu, ni bora mara 100 kuliko Samia [I got bars too [emoji3]].
Waliomchagua magufuli ndio hao hao waliomchagua samiaHe was a chancer. Jackpot inimuangukia.
Mama anafanya kazi nzuri sana kwa miaka miwili na kuendelea amefanya mambo makubwa ya kupigiwa mfano .Alaumiwe kikwete.ndo aliyemleta huyum saa100
Anamsikiliza nani wakati watu wamekataa bandari isiuzwe hajawasikiliza? Mara ngapi watu wanaomba kumwambia kero zao anawafukuzia mbali kwa kishindo kikuu? Au ana ka kikundi kake anakokasikiliza? Awamu iliyopita iliwasikiliza na kuwajali woteKazi ya kumtetea haina ugumu wowote. Yupo tofauti sana na mtangulizi wake.
Anasikiliza matatizo ya watu kwa ukaribu, mtangulizi hakutaka kupingwa alijiona yupo sawa muda wote.
Anaruhusu ubunifu wa wasaidizi wake ufanye kazi kwa faida ya nchi na matunda yanaonekana. Hataki kila kitu kukifanya yeye tu akidhani anajua kila kitu.
Biashara zinastawi sana awamu hii kwani hakuna unyanyasaji wala uporaji wa mali za watu.
Awamu iliyopita ilisababisha vifo vya baadhi ya wafanyabiashara kwa kuendekeza upuuzi wa kunyanyasa na kupora mali za watu kwa kutumia TASK FORCE.
Huo ujinga ulimnyang'anya mali hayati Mbughuni mjasiriamali mzalendo alizochuma kwa jasho kwa miaka mingi na akapewa Musiba na kwa mbwembwe akawa anawatukania wazee wa CCM!.
Mbughuni mpaka anaaga dunia alikuwa kwenye michakato ya kurudisha mali zake kutoka mikononi mwa chama.
Samia anaweza kuwa na udhaifu lakini hana unyama kama huo nilioutaja hapo juu, hivyo awamu yake ni nyepesi kulinganisha na hizo za wajuaji.