Hayati Magufuli alikuwa akielekeza vitendo vya kihalifu?

Niliposikia utetezi wa mkuu wa wilaya SABAYA sikuamini masikio yangu ,hivi Ni kweli awamu ya tano tulikuwa na IGP,mkuu wa majeshi JWTZ,mkurugenzi wa usalama wa Taifa,WAZIRI MKUU,JAJI MKUU,SPIKA ? Kama sabaya aliyafanya hayo kwa kujiamini bila kukemewa leo hao watu tajwa hapo juu wanafanya Nini katika ofisi za umma? Wote wanapaswa kujiuzulu kwa kutaka,kushauri na hata kulazimishwa, haiwezekani raia wafanyiwe vitendo dhalimu kiasi hicho Kisha sabaya aonekane shujaa.

Hakimu wa kesi hii SABAYA ameshakiri kufanya kosa Haina maana yoyote kuendelea na kesi hii fanya kulingana na SHERIA itakavyo.

Mbowe aliwahi kumuuliza waziri MKUU "kwa Nini mmetuletea mkuu wa wilaya muhuni? Kasim alimjibu kuwa Kama mkuu wa wilaya Ni muhuni basi aliyemteua yupo hivyo.

Inauma Sana kuona tuhumu zinaenda kwa makamu wa Rais na Gavana wa fedha huku bado wapo kwenye ofisi za umma,Hawa wanapaswa kuondoka ofisini.
 
Salute...
 
Tulianza kutengeneza a GANGSTER REPUBLIC lakini Mungu anatupenda.
 
Tena uhalifu wa kishetani. Hebu fikiria uhalifu alofanya wa kudukua mawasiliano ya watu, kuchukua hela ktk acc za watu, kufunga biashara za watu, kina saa nane,azroy, na viroba mto ruvu ni uhalifu wa kishetani huo syo wa kibinadamu
 
ulikua hujui
 
Maduka ya fedha za kigeni arusha na kilimanjaro alichukua fedha zote hadi wafanyabiashara wengine walipata stroke. Ni ushetani tu, na hizo hela zilipelekwa CHATNA
 
Lile lizee nililichukia sana maana najua lilikuwa libaguzi na lenye roho ya kishetani
 
Akihojiwa Kihongosi, Chalamila, ailyekua RC Iringa, etc wote watamtaja Makufuli
 
Ni jukumu letu kuendelea kuwaelimisha ili waijue na kuiamini kweli.
Mbona mnataka kuaminisha uongo kuwa ndio ukweli?
Sabaya kasema bila kumung'unya kuwa uhalifu alioufanya alitumwa na Magufuli.
Huo ndio ukweli wa mahakamani.
Sasa ninyi mliomsaidia kutekeleza hilo Sabaya tuelezeni ukweli wenu.
 
Si jambo la kuuliza,refer Bashite pale clouds. Me nasema hivi Mungu yupo,na waliofanya uhalifu wa lissu malipo yaja
 
Yule mwehu huko aliko ni mwendo wa mateso dakika 99, mapumziko dakika 1.
Tulimuonya sana hakusikia akakubali kuabudiwa na wapumbavu wenzake
 
Mbona mnataka kuaminisha uongo kuwa ndio ukweli?
Sabaya kasema bila kumung'unya kuwa uhalifu alioufanya alitumwa na Magufuli.
Huo ndio ukweli wa mahakamani.
Sasa ninyi mliomsaidia kutekeleza hilo Sabaya tuelezeni ukweli wenu.
Hakuna anayepinga kuwa alitumwa na JPM ila aliyoyafanya ya kuiba pesa na kuwekea watu midomoni bastola hayo ni yake, hakuambiwa achukue rushwa dogo come to your senses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…