Wakiambiwa katiba mpya wengine bado hawaelewi maana yake.au Maana ya never and never again.Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Kosa kubwa ilikuwa kumpa mtu mwenye kichaa uongozi wa nchi. Kikwete anahusika kwa uharibifu huuKulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Kazi nzuri zote alizofanya alilipwa accordingly. Sasa ule uhalifu uliofanywa na subordinates, na yeye akaufumbia macho, Ni dhahiri naye alikuwa mhalifu. Mungu mwenye haki amlipe kadiri ya matendo aliyowatendea binadamu wenzake.Ni mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Alifanya mazuri sana hata kuleta watu kama Sabaya ambae Leo anamdhalilisha kwenye halaiki namna hii!!!...Ni mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Hata Hitler, Idi Amini na Bokassa hatubezi kazi zao njema. tunalaani matendo ya kihalifu waliyoyafanya. Meko anahusika na uhalifu wa Sabaya na Makonda. Watu wameumizwa sana na watu wasiojulikana kwa maagizo yake.Ni mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Pamoja na uharamia wote alioufanya lakini selikalikali haimjui Kama gaidi lakini akitokea mtu kumbambana kwa maslahi ya nchi huyo ndio gaidi[emoji2][emoji3][emoji28]Yes Sabaya ameutangazia ulimwengu kuwa Rais Magufuli alikua mshirika wake mkuu wa matendo yote ya kijambazi aliyokua anafanya.
We ndo ujaelewa.Uelewa wa watu unatofautiana
Sabaya anatuhumiwa kufanya kosa katika siku fulani yeye ndio amesema hiyo siku hakuwepo maana siku hiyo kuna kazi maalumu alitumwa na raisi ili kuwa nje ya hilo eneo na akawataja viongozi wengine ambao pia wanajua kuwa siku hiyo alikuwa wapi
Sasa hawa wanaosema kuwa Sebaya alitumwa na raisi akafanye uhalifu ni kwamba hawakuelewa kilichosemwa au chuki zao tu ndio zinawasumbua
Sabaya naye alimchukia Magufuli ?Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Na ni mpuuzi tu asieona uhalifu waliofanyiwa baadhi ya WaTz kwa kigezo cha kutokuwa wafuasi wake .Ni mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Hahahah endeleeni tu kujitungia tamthiliya. ..Magufuli tunachojua alifanya haya hapaKulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Dikteta atakumbukwa na wapumbavu tuNi mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Wao watuambie kwanini walikuwa wanapora haki zawatanzania kwa kutolipa kodi. ..mkiwa mnasema muwe mnatueleza na hayaJPM pora pora mali za wafanya biashara.....
Sabaya nae alimchukia? acha kujitoa ufahamu mkuu!Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Sawa kama sisi watanzania ni wapumbavu tutamkumbuka JPM milele kwa kazi hiziDikteta atakumbukwa na wapumbavu tu
Ni mpuuzi tu anaeweza kushangilia uharamia na uhalifu aliofanya mwendazake.Ni mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Ngosha, yaelekea mnawashwa sana!Sawa kama sisi watanzania ni wapumbavu tutamkumbuka JPM milele kwa kazi hi xi
Sasa tumwangalie huyu Monster sifa Zale
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
Yani Sabaya huyuhuyu alimchukia Magufuli?!Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.