Hayati Magufuli alikuwa Rais mwovu, Samia Suluhu ni Rais dhaifu. Binafsi heri Rais dhaifu kuliko mwovu

Bado hamjachoka na propaganda za kumchafua marehemu?
Kila mkipima mnaona bado anapendwa hivyo kuongesa kasi ya uongo wenu.
Eti Rais wa ovyo na mwovu.

Kipindi cha Magu ndiyo sheria ziliheshimiwa kupita vipindi vyote! Siyo sheria za barabarani, sheria za kulipa kodi, sheria za kazi nk. Ndiyo kipindi nilishuhudia hata mahakimu wanahakikisha kesi zinaisha ndani ya muda waliowekewa! Polisi walikuwa na nidhamu! Ukiingia ofisi za umma unasikilizwa. Magu tutamkumbuka daima.

Akiongea dunia inasikiliza. Siyo Afrika tu, Ulaya na marekani, walifuatilia mwamba anaongea nini. Ni kutokana na umakini wake na kutokubali kuchezewa chezewa. Watanzania wengi walimpenda ndiyo maana alichaguliwavkwa wingi kwenye uchaguzi ukiacha hizo porojo zenu za wizi wa kura za akina Mdee!
 
Unamimba ya Magufuli ndo maana umeandika huu uozo
 
Mlaumu mamako kuzaa kilaza km wewe.
 
Yaani wewee ndiyo mwenye akili timamu kwenu? Waliobaki je? Aibu mpk basi.
 
Ukishaakuwa dhaifu maana yake ni zaidi ya 100 ya uovu unaotaka kuusema kwa mantik hii
1.Utaruhusu madawa ya kulevya
2.Utawaua watu kwa kuruhusu fedha za maji kuliwa na wachache
3.Utaacha kukusanya kodi na kwenda kukopa
Hautataka kukosolewa hivyo wakosoaji wako unawaita mezani na kuwalambisha asali.
Spika wa bunge atakayekukosoa utamlazimisha kujiuzuru
 
Umeona watu wote wamekuona hamnazo usirudie tena kutoa maoni ya kitopolo.
 
Rais kasema pesa za pre bargain zimeibwa ziko China lakini wezi hawataji.
 
Kwa hili la kuchaguliwa napinga, Magufuli aliua mihimili yote ikawa vibogoyo, bunge kibogoyo, mahakama kibogoyo, yeye tu akawa jeshi la mtu mmoja, hakuna utawala wa aina hiyo ukawa mzuri.
 

Mwovu kwenye nn.?
Uovu wake hauna ushahidi just hear say Tu na story za vijiweni

Leo ukiulizwa magu alikuwa muovu kwenye nn Huna majibu sahihi
 
Mwovu kwenye nn.?
Uovu wake hauna ushahidi just hear say Tu na story za vijiweni

Leo ukiulizwa magu alikuwa muovu kwenye nn Huna majibu sahihi
Kila sekta.
But uovu wake mkuu ulijicjimbia kwenye uuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…