Hayati Magufuli alikuwa Rais mwovu, Samia Suluhu ni Rais dhaifu. Binafsi heri Rais dhaifu kuliko mwovu

Mtoa mada nadhani unahitaji kufikiri badala ya kuhemka. Unapotetea uchotwaji wa mabilioni kisa tu humpendi Magufuli nashindwa kukuelewa. Nanusa harufu ya udini na uchawa usio na maana yoyote.
1.5T aliyoibua Assad na kuishia kutumbuliwa nayo unasemaje?
 
Eti marehemu anapendwa, labda kama anapendwa na mamako. Where is 1.5T?
 
Tulishawaomba ushahidi wa uovu wake, cha ajabu kinachoelezwa ni tetesi tu na uzushi.
Hebu tuambieni kwa ushahidi halisi (vivid evidence) kwamba alikuwa mwovu

Ushahidi wa mwenye udhaifu najua uko dhahiri hata watoto wadogo wanaweza kuuonesha
Jiwe alikuwa muuaji!!!!!!!!!!!!
 
Yes magufuri alikuwa mwovu/shetani

Yes Samia muadilifu lakini sio dhaifu anafuata utawala wa sheria
 
Mnavomsema jiwe ni kama hamuoni ujinga unaofanyika saivi pesa zinaliwa walaji wanaambiwa wale kwa urefu wa kamba zao hawawajibishwi wanaitwa wapumbavu tu na wanasonywa basi wakati walipa kodi hamtakiwi hata kufanya u machinga barabarani. Mnavoambiwa kwamba swala la Uhuru wa miiliyenu lisiwahusishe watoto yan kwamba ni green light to #LGBTQ

Mko apa mnamjadili marehemu tu na hamna fact za kueleweka asa kama alikua na weakness na hamkuzisema kipindi kile na weakness za huyu pia mtazisema akishakufa Akhii nji nzima itavaa pedi
 
Kwa hili la kuchaguliwa napinga, Magufuli aliua mihimili yote ikawa vibogoyo, bunge kibogoyo, mahakama kibogoyo, yeye tu akawa jeshi la mtu mmoja, hakuna utawala wa aina hiyo ukawa mzuri.
Kwaiyo utawala wa kuruhusu watu kuiba ma bilioni ya pesa Ili Hali wengine wakifa Kwa kukosa maji safi umeme wa uhakika.
 
Kwaiyo utawala wa kuruhusu watu kuiba ma bilioni ya pesa Ili Hali wengine wakifa Kwa kukosa maji safi umeme wa uhakika.
Watu hawajali as long as circle zao hazipati madhara na sio kwamba hazipati madhara sijui n upofu wa kifikra labda
 
Mnaoneka hayawani nyie mnaosema JPM ni muuaji Kwa Sababu mnasahau hata awamu ya kikwete hata mkapa watu wengi tu waliuawa.ndo maana hapa mnapata negative comments nyingi Kwa maoni yenu yaliyo ovyo.nafuu mnyamazr Tu msijiaibishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…