econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kaingia mitiniAliahidi kututajia majina, sikuwa na bando tangu asubuhi.... vipi tayari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaingia mitiniAliahidi kututajia majina, sikuwa na bando tangu asubuhi.... vipi tayari?
Ccm haing'ang'anii mamlakani ni wananchi ndio wanaipenda,nyie endeleeni kupiga picha za matukioMkuu bila kupoteza muda naomba unipeleke sehemu au ukarasa wowote au mkutano wowote ambao chadema wameonekana wakishangilia matusi anayotukanwa mama tafadhali. Tatizo la wapumbavu ni kuwa wanaona kila anaekosoa ni adui na ni chadema. Kama hamtaki kukosolewa tokeni madarakani mfanye kazi nyingine. Kama mnaona hamtakiwi mnachong'ang'ania ni nini?
Mkuu kwa Makonda kasema upinzani ndio wanao mtu kana Samia?? Mbona unahimisha mada?? Vipi tena??Habari wanajf
Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae?
Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite kwenye hoja kushambulia awamu yake badala yake wakaanza kumtukana matusi mara wanamwita nyapara wa barabara n.k , walimzomea bungeni na kutoka nje wakati wa kuhutubia bunge, maneno yalikuwa mengi kwa upinzani kupinga uraisi wake.
Kupitia haya na mengine ndipo Magufuli kapiga marufuku mikutano ya kisiasa kwasababu badala ya watu wajikite kwenye hoja badala yake wanafanya personal attack na akaona kwa Tanzania wanaamini ili kuwe demokrasia ni pale tu kutakuwepo na uhuru wa kutukana na kudhalilishana ndio maana akaenda mbali zaidi.
Nikija kwenye huu uongozi wa Mama Samia ameona kuwa na uhuru wa kuongea na kuimairisha demokrasia ndio maana akaruhusu mikutano ya kisiasa, akawaachia wanasiasa wa upinzani walikuwa jela lengo ni kuifanya Tanzania wawe wamoja.Japo Mimi binafsi sio muumini wa hii awamu ila kwenye hili ni lakupongeza pamoja na kufanya hivi watu wanatumia uhuru huo vibaya ndio maana Magufuli aliona hili mapema.
Kwanini mnatukana huyu Mama kuna haja gani? Kwanini hatuwezi kuwasilisha hoja zetu bila matusi na udhalilishaji na kizuri ameshawaeleza kama kuna vitu hulizishwi navyo awamu yake ongea watavifanyia kazi, kama no kukosoa kosoa muhimu usivunje sheria na kuwe na mipaka kwa hivi mnavyomtukana nae akaamua kuchukua maamuzi ya awamu ya Magufuli kuhusu demokrasia mtasema amewaonea?
Kwa mamlaka gani ulionaoBasi Kaa kimya upunguze kelele.
Ni nani kutukana na katukanaje? Maana nyie sukuma gang mkiambiwa ukweli mnasema mmetukanwa. Weka hapa tuone kama kweli ni matusiHabari wana-JF
Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae?
Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite kwenye hoja kushambulia awamu yake badala yake wakaanza kumtukana matusi mara wanamwita nyapara wa barabara n.k , walimzomea bungeni na kutoka nje wakati wa kuhutubia bunge, maneno yalikuwa mengi kwa upinzani kupinga uraisi wake.
Kupitia haya na mengine ndipo Magufuli kapiga marufuku mikutano ya kisiasa kwasababu badala ya watu wajikite kwenye hoja badala yake wanafanya personal attack na akaona kwa Tanzania wanaamini ili kuwe demokrasia ni pale tu kutakuwepo na uhuru wa kutukana na kudhalilishana ndio maana akaenda mbali zaidi.
Nikija kwenye huu uongozi wa Mama Samia ameona kuwa na uhuru wa kuongea na kuimairisha demokrasia ndio maana akaruhusu mikutano ya kisiasa, akawaachia wanasiasa wa upinzani walikuwa jela lengo ni kuifanya Tanzania wawe wamoja.Japo Mimi binafsi sio muumini wa hii awamu ila kwenye hili ni lakupongeza pamoja na kufanya hivi watu wanatumia uhuru huo vibaya ndio maana Magufuli aliona hili mapema.
Kwanini mnatukana huyu Mama kuna haja gani? Kwanini hatuwezi kuwasilisha hoja zetu bila matusi na udhalilishaji na kizuri ameshawaeleza kama kuna vitu hulizishwi navyo awamu yake ongea watavifanyia kazi, kama no kukosoa kosoa muhimu usivunje sheria na kuwe na mipaka kwa hivi mnavyomtukana nae akaamua kuchukua maamuzi ya awamu ya Magufuli kuhusu demokrasia mtasema amewaonea?
Mimi nadhani kama mtu anaona mwenendo wa wapinzani siyo mzuri basi aanzishe chama chake awe yeye mpinzani.Bongo hakuna wapinzani kuna wanaharakati wachache,ambao nao maslahi yao yakihakikishwa kuna uwezekano mkubwa wakabadili misimamo.
Mange sijawahi kumchukulia kama mwanaharakati wala mpinzani,yule ni mtu asiye na cha kupoteza,mtu anayeuza video za utupua za wengine,anaweza kuuza chochote cha kwake au cha mtu mwingine ili apate hela tu.
Na muda wa kufanya mambo yake binafsi amwachie nani!!!Mimi nadhani kama mtu anaona mwenendo wa wapinzani siyo mzuri basi aanzishe chama chake awe yeye mpinzani.
Uchawa siyo kazi mkuu. Na kufanya siasa kwa upande wa upinzani siyo kitu rahisi hasa wananchi wakiwa waoga waoga na wasiyojua haki zao. Kama watu wanaandamana kumshukuru Rais kwa kutimiza wajibu wake hapo kuna watu wanaojielewa kweli.Na muda wa kufanya mambo yake binafsi amwachie nani!!!
Ndio maana watu wameamua kuwa machawa,ili wajilipe haraka maana kila kitu hakifanyi kazi.
Hayo maandamano ya kushukuru pia hatuwezi kuyapkkea kama ni kweli yametoka kwa wananchi,yana watu nyuma yake.Uchawa siyo kazi mkuu. Na kufanya siasa kwa upande wa upinzani siyo kitu rahisi hasa wananchi wakiwa waoga waoga na wasiyojua haki zao. Kama watu wanaandamana kumshukuru Rais kwa kutimiza wajibu wake hapo kuna watu wanaojielewa kweli.
Wananchi wengi ni masikini,na masikini wengi hujisikia faraja pale tajiri anapopata matatizo, kwani masikini anadhani umasikini wake umetokana na huyo tajiri. Jiwe alipendwa sana na watu masikini ambapo aliwabatiza jina la wanyonge. Ili kuwapumbaza akili zao akaanza kuwakomoa matajiri mpaka kufikia kusema matajiri wataishi kama mashetani, masikini so called wanyonge walifurahia sana hii kauli bila kujua waathirika wakuu watakuwa wao. Mpaka anafariki hao wanyonge hakuwafanyia lolote la kutoka huko kwenye unyonge. Hata kutoa ajira tu ilishindikana lakini leo hii kuna watu wanamwita eti shujaa wao. Ukimuuliza huyo shujaa wako alifanya nini kukutoa huko kwenye unyonge hana jibu.Hayo maandamano ya kushukuru pia hatuwezi kuyapkkea kama ni kweli yametoka kwa wananchi,yana watu nyuma yake.
Mtanzania halisi,kakosa imani na serikali na hata upinzani pia,magufuli alikuwepo hapa,watu wakawekeza nguvu kumfanya aonekane si lolote si chochote eti dictator,wakati ndiye alikuwa jicho la wananchi.
Mwananchi gani ataendelea kuwatilia maanani wapinzani wa namna hii!!
Watanzania tunaishukuru sana corona kwa kulifyekelea mbali lile jinamizi la chato vinginevyo nchi ingekuwa kuzimu kabisa hii. Ewe mwenyezi Mungu epushia mbali nchi isijepata jitu dhalim kama lile tena.Habari wana-JF
Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae?
Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite kwenye hoja kushambulia awamu yake badala yake wakaanza kumtukana matusi mara wanamwita nyapara wa barabara n.k , walimzomea bungeni na kutoka nje wakati wa kuhutubia bunge, maneno yalikuwa mengi kwa upinzani kupinga uraisi wake.
Kupitia haya na mengine ndipo Magufuli kapiga marufuku mikutano ya kisiasa kwasababu badala ya watu wajikite kwenye hoja badala yake wanafanya personal attack na akaona kwa Tanzania wanaamini ili kuwe demokrasia ni pale tu kutakuwepo na uhuru wa kutukana na kudhalilishana ndio maana akaenda mbali zaidi.
Nikija kwenye huu uongozi wa Mama Samia ameona kuwa na uhuru wa kuongea na kuimairisha demokrasia ndio maana akaruhusu mikutano ya kisiasa, akawaachia wanasiasa wa upinzani walikuwa jela lengo ni kuifanya Tanzania wawe wamoja.Japo Mimi binafsi sio muumini wa hii awamu ila kwenye hili ni lakupongeza pamoja na kufanya hivi watu wanatumia uhuru huo vibaya ndio maana Magufuli aliona hili mapema.
Kwanini mnatukana huyu Mama kuna haja gani? Kwanini hatuwezi kuwasilisha hoja zetu bila matusi na udhalilishaji na kizuri ameshawaeleza kama kuna vitu hulizishwi navyo awamu yake ongea watavifanyia kazi, kama no kukosoa kosoa muhimu usivunje sheria na kuwe na mipaka kwa hivi mnavyomtukana nae akaamua kuchukua maamuzi ya awamu ya Magufuli kuhusu demokrasia mtasema amewaonea?
Kafanye utafiti wako sawia,magufuli hajaanzwa kupendwa akiwa rais,magufuli alianza kukick masikio ya watu akiwa waziri wa ujenzi,uchukuzi.labda ulikuwa bado unasoma.Wananchi wengi ni masikini,na masikini wengi hujisikia faraja pale tajiri anapopata matatizo, kwani masikini anadhani umasikini wake umetokana na huyo tajiri. Jiwe alipendwa sana na watu masikini ambapo aliwabatiza jina la wanyonge. Ili kuwapumbaza akili zao akaanza kuwakomoa matajiri mpaka kufikia kusema matajiri wataishi kama mashetani, masikini so called wanyonge walifurahia sana hii kauli bila kujua waathirika wakuu watakuwa wao.
uyonge aliuondoa kwa kutokatakata umeme,heshima ya watumishi kwa wananchi,kutopandiisha gharama za maisha hovyo hovyo,hicho ndicho kitu kama kiongozi unawezafanya kupunguza mkazo kwa walalahoi.Mpaka anafariki hao wanyonge hakuwafanyia lolote la kutoka huko kwenye unyonge.
Nani atakosa jibu labda kama hutalipenda!!!!mtu ukwambia tu,hajawahi kushuhudia umeme umezima bila sababu toka magufuli aingie,unasema hana jibu!!!!au unaamua tu kuwa mbuzi??Hata kutoa ajira tu ilishindikana lakini leo hii kuna watu wanamwita eti shujaa wao. Ukimuuliza huyo shujaa wako alifanya nini kukutoa huko kwenye unyonge hana jibu.
Mkuu na wewe ni mmoja wa waliomwagiwa mbegu hawamu ya JPM?Tapeli kamkumbuka Tapeli, nenda kazikwe naye.
Lissu waliompiga lisasi kashawataja?Kaingia mitini
Hao unaosema walikuwa wauza madawa kesi zao ziliishia wapi?Kafanye utafiti wako sawia,magufuli hajaanzwa kupendwa akiwa rais,magufuli alianza kukick masikio ya watu akiwa waziri wa ujenzi,uchukuzi.labda ulikuwa bado unasoma.
Kuhusu kukomoa atajiri,hizi ni propaganda za waliokata tamaa na maisha,tajiri gani unayemfahamu alikomolewa na magufuli,ukiachana na wale shemeji zenu wauza madawa,na wakwepa kodi???
uyonge aliuondoa kwa kutokatakata umeme,heshima ya watumishi kwa wananchi,kutopandiisha gharama za maisha hovyo hovyo,hicho ndicho kitu kama kiongozi unawezafanya kupunguza mkazo kwa walalahoi.
Nani atakosa jibu labda kama hutalipenda!!!!mtu ukwambia tu,hajawahi kushuhudia umeme umezima bila sababu toka magufuli aingie,unasema hana jibu!!!!au unaamua tu kuwa mbuzi??

Je, ni nani amemtukana mama?kwa hivi mnavyomtukana nae akaamua kuchukua maamuzi ya awamu ya Magufuli kuhusu demokrasia mtasema amewaonea?
Huna taarifa kuna waliofungwa,waliokuwa mahabusu wameachiwa juzi juzi hapa!!!!Hao unaosema walikuwa wauza madawa kesi zao ziliishia wapi?
Walikuwa wauza pesa.Je wale matajiri wa kubadilisha fedha Arusha na wao walikuwa wanauza madawa?
Unadhani kuna tajiri anakupenda wewe,serikali,ama mwanao???mwachie tajiri(mfanyabiashara)upenyo kidogo uone atakachokufanya.Yaani unyonge unaondolewa kwa umeme kutokatika??
Kuna Tajiri yeyote Tanzania ambaye aliwahi kumkubali Jiwe au wote walikuwa wauza madawa na magendo?
Rudi juu,labda bado ulikuwa unahangaika na shule kipindi hicho.Hao unaosema walikuwa wauza madawa kesi zao ziliishia wapi?
Na wote hao wamerudishwa kazini,kwa akili zako unadhani shida ni magufuli,wao,au waliokwaruzana nao???Je wale matajiri wa kubadilisha fedha Arusha na wao walikuwa wanauza madawa?
Yaani unyonge unaondolewa kwa umeme kutokatika??
Kuna Tajiri yeyote Tanzania ambaye aliwahi kumkubali Jiwe au wote walikuwa wauza madawa na magendo?
Angalia hata watu wake wa karibu utajua Jiwe alikuwa mtu wa aina gani
. Saambaya
. Bashite
. Gumbo
. Bushiru
. Slow slow
. Kabundi
. Misiba
. Hapi
Sasa hapo nani ana nafuu??