Unaweza mtaja hata mmoja ambaye alishitakiwa na kukutwa na hatia ya kuuza madawa?Huna taarifa kuna waliofungwa,waliokuwa mahabusu wameachiwa juzi juzi hapa!!!!
Walikuwa wauza pesa.
Unadhani kuna tajiri anakupenda wewe,serikali,ama mwanao???mwachie tajiri(mfanyabiashara)upenyo kidogo uone atakachokufanya.
Rudi juu,labda bado ulikuwa unahangaika na shule kipindi hicho.
Na wote hao wamerudishwa kazini,kwa akili zako unadhani shida ni magufuli,wao,au waliokwaruzana nao???
Je wajua hata familia yake ilimshinda kuiendesha au na hili utahitaji ushahidi uwekwe hapa? Kama familia tu ilimshinda then wew unaamini kuwa aliweza kuendesha Taifa! CAG ambaye alikuwa kanyooka hakumtaka na baadhi ya sehemu za manunuzi yake hakutaka kukaguliwa ila leo wewe unamwita mzalendo na shujaa wako 😂😂😂
Huna taarifa kuna waliofungwa,waliokuwa mahabusu wameachiwa juzi juzi hapa!!!!