Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

Unaweza mtaja hata mmoja ambaye alishitakiwa na kukutwa na hatia ya kuuza madawa?
Je wajua hata familia yake ilimshinda kuiendesha au na hili utahitaji ushahidi uwekwe hapa? Kama familia tu ilimshinda then wew unaamini kuwa aliweza kuendesha Taifa! CAG ambaye alikuwa kanyooka hakumtaka na baadhi ya sehemu za manunuzi yake hakutaka kukaguliwa ila leo wewe unamwita mzalendo na shujaa wako 😂😂😂
 
Unaweza mtaja hata mmoja ambaye alishitakiwa na kukutwa na hatia ya kuuza madawa?
Kutokutwa na hatia na kutofanya kosa ni mambo tofauti kabisa,endelea kujifunza.
yupo jamaa hapa na mkewe walishikwa kipindi cha magufuli wamekuja kutoka utawala wa mama.
Kwa mujibu wa sheria hao sio wahalifu,ila kiuhalisia ni wahalifu.
Je wajua hata familia yake ilimshinda kuiendesha au na hili utahitaji ushahidi uwekwe hapa?
weka tu ushahidi,kama unao.
mange anawaharibu sana nyinyi.
Kama familia tu ilimshinda then wew unaamini kuwa aliweza kuendesha Taifa!
wewe na wenzako ndio mnaona taifa lilimshinda,watanzania wenye akili wanaona taifa lilipata mtu.na yeyote atakayesimama pale juu atalinganishwa na jamaa ktk maamuzi,uongozi wa nchi sio uadmin wa group la watsapp.
CAG ambaye alikuwa kanyooka hakumtaka na baadhi ya sehemu za manunuzi yake hakutaka kukaguliwa ila leo wewe unamwita mzalendo na shujaa wako 😂😂😂
CAG ambaye aliamini hicho cheo ni haki yake ya kuzaliwa🤣🤣,mpaka kesho akihojiwa analalamika alionewa,huoni kuna shida kwa huyo CAG wako??
 


Nani wa upinzani kamtukana Mama? Maana Makonda juzi kasema mawaziri ndiyo wamemtukana Mama na Lema kasema hivyohivyo. Sasa ni wakina Nani hao ambao unasema ni upinzani wanatukana? Au CCM wakitukana wanaitwa upinzani?? Au Yule Dada wa Kipare Kimambi sasa ndiyo upinzani!?. Yaani badala ya kutatua matatizo mnajikita kila kitu upinzani hata kama waliosema ni CCM tena mawaziri!!!. Tukiwa na ubaguzi wa hizi hatuwezi kupata haki kwenye hii nchi ya machawa
 
Lakini yeye demokrasia ndo iliyompa naifasi, alizokuwa nazo

alifika hapo alipofikia kabla mauti kumfika kwa njia ya demokrasia

Labda nikuulize nchi yenye makabila 120+ na dini kibao utatawala kwa mgumo upi? ukizingatia tuliunganishwa na wakoloni siyo hiari yetu

Hiyo magufulification ilifail dogo kama zilivyofail siasa ya ujamaa za Nyerere

Dogo! Kaa fikiria vitu vyenye akili vya kuandika siyo huu upuuzi
 
Ukiwa na akili ndogo kama hizi kuipenda demokrasia ni vigumu sana. Magufuli alikuwa na akili ndogo ndo mana akafia kwenye bustani pale mzena akiwaacha makomandoo na mitutu yao mlangoni
 
Kama hauoni me sina msaada na wewe
Machawa hamjitambui. Umeandika blah blah nyiiingi, matusi unayosema hakuna.

Kama ulimaanisha Mange, yule ni ccm mwenzenu.

Acheni ujinga wa kujipendekeza.

Halafu rais ni mtumishi wa umma, kukosolewa haiwezi kuwa dhambi.
Ajabu kuna wajinga wengi mtawala akikosolewa wao hudai ni matusi
 
Matusi yapi katukanwa rais, sisi tunataka tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, ww unatuletea huruma za kujipendekeza?! Kuna matusi makubwa kuliko kupora uchaguzi? Au kupora uchaguzi kwako ni sawa?
 
Kama alikuwa sahihi mbona kafa na udikteta wake.

UDIKTETA wanauweza walioingia madarakani kwa mtutu wa bunduki tu. Mfano akina Paul Kagame, Museveni au hawa miamba wa Burina Faso, Niger na Guinea.

Huyo mjinga wenu tulimpigia kura kidemokrasia halafu hazikutosha, ikabidi akina Januari na Kinana waited kura za Lowassa kupitia kituo cha Masaki. Baada ya hapo eti anataka awe DIKTETA??

Haiwezekani na ndiyo maana ALIKUFA
 
Ukiona mtu anatukana ujue mtu huyo ni chizi !
Maana uchizi sio mpaka mtu avue nguo zake !
Uchizi upo namna nyingi !
Hata kukosa adabu pia ni Uchizi !!
 
Matusi yapi katukanwa rais, sisi tunataka tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, ww unatuletea huruma za kujipendekeza?! Kuna matusi makubwa kuliko kupora uchaguzi? Au kupora uchaguzi kwako ni sawa?
 
Pole sana mkuu, lakini kuna siku akili zitakukaa sawa na utajua kuwa bwana yule alikuwa hafai. Mtu ambaye hataki kukaguliwa ila wewe unamwita mzalendo wako, sasa wewe ni mtu wa aina gani! Lakini watu kama nyie kila sehemu mpo hamkwepeki.
 
Pole sana mkuu, lakini kuna siku akili zitakukaa sawa na utajua kuwa bwana yule alikuwa hafai. Mtu ambaye hataki kukaguliwa ila wewe unamwita mzalendo wako, sasa wewe ni mtu wa aina gani! Lakini watu kama nyie kila sehemu mpo hamkwepeki.
Hataki kukaguliwa???ripoti asadi aliitolea wapi??

Halafu swala la ubora wake litapimwa na viongozi wanaomfatia,kama wataendelea kuwa kama huyu mama yako mdogo,kazi ipo.
 
Hataki kukaguliwa???ripoti asadi aliitolea wapi??

Halafu swala la ubora wake litapimwa na viongozi wanaomfatia,kama wataendelea kuwa kama huyu mama yako mdogo,kazi ipo.
So sababu ya kumtoa ilikuwa ipi? Unakumbuka swali aliloulizwa Assad? Kwamba nasikia kina pesa zimeibiwa😂😂😂😂
Wakati akijua kabisa siyo kazi yake kusema kama zimeibiwa au lah. Ndege tu hakutaka kukaguliwa. Kifupi alikuwa hataki watu walionyooka ndiyo maana watu wake walikuwa watu kama Bashite, Saambaya,Gumbo na yule ambaye mpaka alivua akili na kujiita kuwa katoka jalalani
 
Ukiona reference yako ni Mange basi huna tofauti na wale mnao jiita wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…