Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

Magufuli aliyetuma usalama wa mchongo amtolee Nape bastola ndiye aliyekuwa anampenda nape [emoji847]
Mnalazimisha Legance kwanguvu ya gongo....
 
mmeanza kuhamisha upepo,ama kweli laana hii itawafilimba.

hakuna jicho la mmoja wenu litaishi kwa amani[emoji28][emoji28][emoji28].
 
Je!
Uliwekwa ushahidi wa hiyo hela au kupitia chadema na kwingineko, au stori za vijiweni kwenu mkisubiri kujaribu tena 2025?
Msikilize aliyeibua hiyo shida, sema wafuasi wa mwendazake mpo kama vipofu hata CAG wote mnawashambulia,hata aliyeteuliwa na Magufuli

 
unafiki ni moja ya tabia anakuwa nayo mtu ktk DNA,watu aina ya nape ni hatari sana bahati mbaya mama haoni kitu.
 
Magufuli alimpa nape uwaziri kamili kwa nn bado unamtukana unataka karma ikutafune? Nape badilika umepata uwaziri lkn kila kukicha unamtukana Magufuli lkn haya yote yana mwisho wake
Lazima historia ya nchi ijadiliwe..ambao hawajifunzi kutoka kwenye history wapo hatarini kurudia makosa
 
Alipopokonywa uwaziri, Nape alikaa akajitathmini, na baadaye akaamua kwenda kuomba radhi kwa Magufuli. Magufuli mwenyewe alisema hadharani kwamba alikuwa akipokea maombi mengi tu kwamba Nape anataka kuja kumuomba radhi. Siku ya siku kibali kikatoka; tukamuona Nape akitembea kipande kirefu tu ndani ya Ikulu kwenda kumuona Rais. Akamwambia mimi ni kijana tu, nilipotoka na sasa nimeona makosa yangu. Naomba unisamehe. Rais akasema kukosea ni ubinadamu. Maadam umeona uliyokosea na unaomba msamaha, mimi ninakusamehe.
Leo hii, Nape anarusha ndogondogo kwamba Magufuli alikuwa mbaya sana. Sasa huo msamaha ulioomba ulikuwa wa nini? Hypocrisy tu? Hata huko kumsifia Samia unakofanya hivi sasa, tutajuaje kama utaendelea hivyo hivyo hata baada ya Samia kutokuwa madarakani? Baada ya kuona uliyomfanyia Magufuli, siwezi kuwa na imani na wewe.
 
Ni siasa tu hizo kiongozi. Wanasiasa wako tayari kufanya chochote bila kujali kama afanyalo linamuumiza au kumkera mtu au umma. Si wote wako hivyo ila tu recently hapa kwetu nimeona hii tabia imeota mizizi. Unamnanga fulani kumsifia au kumfurahisha fulani. Hatuhitaji hayo sisi. Tunahitaji wanasiasa wetu waje na action plans za matatizo yetu!
 
Kwa nini ssa alimrekodi kuanzia Getini hadi anaingia Ikulu? Magufuli alikuwa takataka tu, ile siyo kitu ya kufanywa na Rais na kutuonyesha wananchi!!

Muache waendelee kumdhalilisha ndiyo zamu yake sasa hata kama amekufa. Shetani mkubwa yule
 
Msikilize aliyeibua hiyo shida, sema wafuasi wa mwendazake mpo kama vipofu hata CAG wote mnawashambulia,hata aliyeteuliwa na Magufuli

Wacha kuleta porojo. CAG ni taasisi siyo mtu mmoja anayelalamika kwa kukosa cheo cha kuongoza taasisi hiyo. Ripoti za CAG chini ya utawala wa Magufuli wakati hiyo mlalamikaji akiwa CAG ni hizi hapa, zisome niambie ni ipi inayosema trilioni 1.5 zimepotea.
 

Attachments

hiyo taarifa aliitoa kipindi kile kabla hajatumbuliwa,
 
Je!
Uliwekwa ushahidi wa hiyo hela au kupitia chadema na kwingineko, au stori za vijiweni kwenu mkisubiri kujaribu tena 2025?

Ushahidi ungewekwa na nani wakati alikuwa na kundi lake la watu wasiojulikana, waliokuwa wakiteka watu wanaonika ukweli mchungu wa serikali yake? Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
hiyo taarifa aliitoa kipindi kile kabla hajatumbuliwa,
Elewa kuwa CAG ni taasisi yenwe watu wengi sana. CAG siyo Assag tu. Unataka kusema kuwa kabla hajatumuliwa alikuwa hajui hizo 1.5 Trilion ila baada ya kutumbuliwa nipo akazigundua? Na Je Zito yeye aliztowa wapi kkabla Assad hajatumbuliwa? Acha udakiaji wa mambo na kuendekeza uwongo.
 

Huyo CAG si mpaka alivuliwa uCAG kwasababu hiyo? Au kwakuwa ukweli huo unafichwa unadhani ukweli huo haufahamiki?
 

Kupanick hakuondoi ukweli. Na vitisho vilivyoendelea kuhusu fedha hizo tuliuona.
 
Magufuli alimpa Nape uwaziri kamili kwa nn bado unamtukana unataka karma ikutafune? Nape badilika umepata uwaziri lkn kila kukicha unamtukana Magufuli lkn haya yote yana mwisho wake

Shetani lazima atukanwe maana hiyo ndio stahiki yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…