Kwa hiyo JK ndiye aliyemwua JPM kusudi asiuliwe yeye!Rais gani ambaye unafikiri success yako ni kuwaua watangulizi wako. Alimuua mkapa na next target ilikuwa jk sema jk kwa sababu ni mtoto wa mjini akakikwepa kikombe kile Mana mpaka Sasa jk angekuwa marehemu. Yule baba alikuwa katili Sana na kifo chake kila mtu kakifurahia mmi tu nilikunya cret ya bia siku hiyo
Hizi hapa.Tuwekee pdf hizo tujisomee wenyewe inaonesha unajua zaidi kuliko assad 😁
Assad ni mwiba wewe acha kbsa.....ule mwaka ulikuwa mbaya sana kwa JPM na alikasirika sana ishu kama zile kusomwa hadharani mbele akeCAG kumbe alikuwa chadema?yule ni mzalendo sema mlikosea kumpa kile cheo mkidhani fisi mwenzenu.
Zitto ndio CAG prof Assad..? Ripoti katupa Assad ya kutoelewa wapi imetumika 1.5TUkishazungumza 1.5 trilioni tu, basi unakosa credibility katika arguments zako zote bali unajitangaza kama mfuata mkumbo wa maneno ya Zitto tu.
Hivi aliungama kweli alipata hyo nafasi ama aliungamishwa??? Hii nayo ni yakutengenezewa Documentary....Mavumbini alienda Yesu na mitume na manabii ije kuwa jiwe ndio asiende ? Yesu kafa akiwa kijana mdogo kabisa kwenye Miaka 30 je hapa Napo tuseme Yesu alikuwa muovu hivo Mungu akaingilia Kati ?
Hoja za kifo ni wendawazimu,sikumkubali Jiwe lakini kumsema kisa kifo ni wehu,yeye kafia kitandani peaceful na aliungama,je wewe utafia wapi ?
Mimi natamani Mungu anipe kifo Kama Cha jiwe unakufa huku ukipata muda wa kutubu dhambi ,Jiwe alitesa watu lakini alimuomba msamaha Mungu wake
Naona mnavuka mstari bila kujua au kwa kujuaKwa hiyo JK ndiye aliyemwua JPM kusudi asiuliwe yeye!
Yule mtu wa Allah swala 5 na pia CAG huwa haingiliwi ndio maana akishateuliwa hatolewi kibabe sema jiwe alivyoona anamzd na ana fukua uchfu wakw akamtoa kabla ya muda sahihiCAG kumbe alikuwa chadema?yule ni mzalendo sema mlikosea kumpa kile cheo mkidhani fisi mwenzenu.
Zitto nae alizitoa wapi ....ni majumuisho tuuu[emoji23][emoji28][emoji1787]ndio maana ASSAD aliulizwa kimtego sana na mkuu wa nchi ati kuna pesa imepotea....ASSAD KWA UNYENYEKEVU MKUBWA KBSA AKAJIBU "HAPANA MJE.RAIS" nae JPM akajibu "BASI KETI CHINI CAG"Ulimsikia Ex CAG Assad alivyofafanua kuhusu hii 1.5 Trillioni?
Haukuwa uzushi wa Zito
Haukuwa unajua tangu mwanzo...na anMpenda sana NAPEHuyu Kichuguu ni mbumbumbu tu pengine ni Sukuma Gang
Hapana unafiki unafundishwa kutokana na mazingira na taasisi....hebu niambie ndani ya CCM jamaa wakiwa mjengoni ni ndioooo....wakiwa nje utawasikia kivingine kbsaa....sasa huo unafiki wotee walizaliwanaounafiki ni moja ya tabia anakuwa nayo mtu ktk DNA,watu aina ya nape ni hatari sana bahati mbaya mama haoni kitu.
Na ndicho kipindi kila kiongozi aliekua na tuhuma alijiuzulu. Ila kwa magu tuliishia kudanganywa na maneno ya kitapeli. Wakati mkuu mwenyewe wa awamu 5 alikua fisadi toka kipindi anajiuzia nyumba za serikali na tenda anajipa mwenyewe. Tenaa tyacheni Mungu anaipenda hii nchiUmesahau kuwa awamu ya Kikwete ndiyo awamu pekee iliyowafunga mpaka mawaziri kwa ufisadi?
Tanzania hatujapata Rais bora na mwenye muono mpana na aliyeibadilisha Tanzania kama Kikwete.
Nyingi ya "tuhuma" kwa Kikwete ni uongo mtupu na propaganda za majitaka tu.
Tunasubiri sasa wale wale waanzishe shutuma kwa Mama. Tunawaona mitandaoni humu wakijitahidi kurusha uongo uleule wa propaganda za kijinga. Wenye kufikiri tunafahamu yanaanzia wapi hayo.
Sasa inamaanisha nn kwa sasa ivi??Naoe hawezi kupiga kelele kwa awamu iliyopita HAPANA...sasa tunamuokoaje napeLazima historia ya nchi ijadiliwe..ambao hawajifunzi kutoka kwenye history wapo hatarini kurudia makosa
kina nani ?Oppps jamaa kwani NAPE still anamtukana MAGUFULI??....MM NIONA ATLEAST NAPE kidogo hasemi sana ila kuna watu kama 4 hvi bila kuisema ADMINISTRATION iliyopita hotuba zao wanaona kama zimechacha
Ni kweli Nape alikwenda kuomba msamaha...na kwenda kwake alitembea kipisi kirefu iliwamchukue video..na wakati wa kurudi pia...ule ulikuwa ni UJUMBE TUU...KWA KAMBI INGINE...ila tangu NAPE apate uwaziri ni lini kamsema MAGU....wapi kamsema MAGU....kuna watu,mawaziri wanamsema MAGU wazi kbsa Hata ktk hotuba zao kiza ni waziri tuu...ati tulikotoka kulikuwa na HALI MBAYA sana...[emoji1787][emoji28][emoji23]Alipopokonywa uwaziri, Nape alikaa akajitathmini, na baadaye akaamua kwenda kuomba radhi kwa Magufuli. Magufuli mwenyewe alisema hadharani kwamba alikuwa akipokea maombi mengi tu kwamba Nape anataka kuja kumuomba radhi. Siku ya siku kibali kikatoka; tukamuona Nape akitembea kipande kirefu tu ndani ya Ikulu kwenda kumuona Rais. Akamwambia mimi ni kijana tu, nilipotoka na sasa nimeona makosa yangu. Naomba unisamehe. Rais akasema kukosea ni ubinadamu. Maadam umeona uliyokosea na unaomba msamaha, mimi ninakusamehe.
Leo hii, Nape anarusha ndogondogo kwamba Magufuli alikuwa mbaya sana. Sasa huo msamaha ulioomba ulikuwa wa nini? Hypocrisy tu? Hata huko kumsifia Samia unakofanya hivi sasa, tutajuaje kama utaendelea hivyo hivyo hata baada ya Samia kutokuwa madarakani? Baada ya kuona uliyomfanyia Magufuli, siwezi kuwa na imani na wewe.
ngoja nijikumbushe kidogoHizi hapa.
Nimekosa ile ya maulidKati ya Bashite na Nape nani alipendwa zaidi na Bwana yule?
Tuanzie hapo kwanza
Ripoti za CAG hizo hapo; soma utuonyeshe hizo 1.5trilioni kama siyo kufuata uzushi wa Zitto tuZitto ndio CAG prof Assad..? Ripoti katupa Assad ya kutoelewa wapi imetumika 1.5T
wapo watu hawafanyi huo umama.Hapana unafiki unafundishwa kutokana na mazingira na taasisi....hebu niambie ndani ya CCM jamaa wakiwa mjengoni ni ndioooo....wakiwa nje utawasikia kivingine kbsaa....sasa huo unafiki wotee walizaliwanao