Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

Hata yeye hakuweka ushahidi kukanusha alichoandika cag. Hivyo hela aliipiga. Rais ambaye alikuwa msafi Ni mmoja tu naye ni Nyerere ndo Mana hasemwi. Rais anayeongoza kusemwa vibaya ni jpm pekee
Itabidi ujiulize kwanini nguvu kubwa inatumiaka kumsemea marehemu. Wafanye Mambo mazuri ili wasifiwe waachane na kumsemea vibaya marehemu ambaye hawezi kuzungumza
 
Vyombo viliwapa Magufuli alikuwa less participant kwenye hilo. Hakuwa na uwezo wa kugomea makamu kwenye chaguzi zilizopita.

Msalimie makonda sabaya na wengineo hapo kwenye viunga vyenu
 
Ahahahahah hana competency sasa mtajuaje kama yupo? KAshuka kwenye edikopta tayari anatafta kiki ya kutokea akiwa ardhini
 
Unasumbuliwa na uzushi tu. Kila anaytamka hapa 1.5 trilioni huwa ni mzushi.Let ripoti ya CAG yeyote inyoonyesha kuwa Magufuli alipoteza 1.5 trilion...
Watanzania wanapenda kusikia kuliko kusoma na kuujua uhalisia sitoshangaa ulivyompa credible sources ila bado ataendelea kukubishia.
 
Itabidi ujiulize kwanini nguvu kubwa inatumiaka kumsemea marehemu. Wafanye Mambo mazuri ili wasifiwe waachane na kumsemea vibaya marehemu ambaye hawezi kuzungumza
MUNGU fundi ukiwazuia "the innocents" kuzungumza kisa una bunduki nawe kifo ndio itakuwa limitation yako.
 
Bora alivyokufa bana, Nchi imekuwa na amani sasa unajiongelea vyovyote vile unavyotaka Serikali iko bize tu mambo yake, lkn kipindi chake mpaka maneno yakuongea eti utafute! Samia tunamtukana kila siku watu hawapotezwi' huu ndio uhuru ambao ulipote kipindi kile,
 
Na Mungu akaamua Nape huyuhuyu awe waziri wa habari na Bwana yule arejee mavumbini.

Mipango ya Mungu haina makosa
Mavumbini alienda Yesu na mitume na manabii ije kuwa jiwe ndio asiende ? Yesu kafa akiwa kijana mdogo kabisa kwenye Miaka 30 je hapa Napo tuseme Yesu alikuwa muovu hivo Mungu akaingilia Kati ?

Hoja za kifo ni wendawazimu,sikumkubali Jiwe lakini kumsema kisa kifo ni wehu,yeye kafia kitandani peaceful na aliungama,je wewe utafia wapi ?

Mimi natamani Mungu anipe kifo Kama Cha jiwe unakufa huku ukipata muda wa kutubu dhambi ,Jiwe alitesa watu lakini alimuomba msamaha Mungu wake
 
Watanzania wanapenda kusikia kuliko kusoma na kuujua uhalisia sitoshangaa ulivyompa credible sources ila bado ataendelea kukubishia.
Kuna mwingine hapo juu anamsifia Samia eti sahivi hata ukimtukana Samia hukamatwi, So wanataka tuwe na Taifa la matusi Kila Kona.

Watanzania wengi wanapenda kuibiwa,ni kheri Awamu Ile hatukusikia wizi hata Kama upo,sahivi tunaibiwa na inatanganzwa na HAKUNA kinachofanyika
 
Mavumbini alienda Yesu na mitume na manabii ije kuwa jiwe ndio asiende ? Yesu kafa akiwa kijana mdogo kabisa kwenye Miaka 30 je hapa Napo tuseme Yesu alikuwa muovu hivo Mungu akaingilia Kati...
Na wewe ungevikoromea vidudu vya corona vikushughulikie kama mwendazake. Ungededi kifo chema kabisa
 
Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake

Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn kama kawaida ya watoto waliolelewa kwa kubembelezwa Magufuli alionekana Mbaya sana na hatimaye Nape akatengeneza Chuki kwa Magufuli lkn wakati ni mwalimu mzuri Sana ipo siku Nape atayakumbuka maneno ya Magufuli
Nape yuko smart sana. Yeye kafika hapo kwa juhudi zake mwenyewe. I can assure you Magufuli hana mchango wowote kwenye political status ya Nape. Ila Nape anaweza kufuta huo ujinga wenu mliopandikizwa na DIKTETA Magufuli kwa propaganda zake
 
Unasumbuliwa na uzushi tu. Kila anaytamka hapa 1.5 trilioni huwa ni mzushi.Let ripoti ya CAG yeyote inyoonyesha kuwa Magufuli alipoteza 1.5 trilioni, hata Assada ambaye anamchukia sana Magufuli hawajawahi kusema kuwa Magufuli alipoteza au alijinufaiasha 1.5 triliono za umma. Ripoti zote za Cag ziko hapa


Mimi nimesoma ripotie zote zile, hakuna inayoonyesha serikali kupoteza au kufanya ubadhilifu wa trilion 1.5. Kabla ya kudakia mambo, jipe muda kujitafutia ukweli kuliko kudakia maneno ya watu wengine hata wasiojua wanaongea nini,

Nimekupa link ila ukishindwa kupata PDF reports zenyewe niambie mimi ninazo zote nitakutumia.
Tuambie wewe Tsh 1.5 Trillion zilitumikaje
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom